Chadema imeanza kuandaa njia kiaina

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,890
6,898
AyBO_zuCIAEdnd_.jpg

Wiki hii huko Kigoma kukiwa na jopo la uongozi wa juu kitaifa wa CCM kuendesha mkutano kujaribu kufuta nyayo za Chadema, wakati huo huo kuna kikozi cha nguvu kazi ambacho ni kundi la Wabunge vijana toka vyama tofauti, CCM, NCCR wakiongozwa na jopo la wabunge wa Chadema waliendesha tamasha la Music huku wakikonga nyoyo za Wanakigoma.

Jopo hili la wabunge linaweza kuwa chachu ya kuunda kikosi cha nguvu kazi kuelekea 2015 kwa kuunganisha nguvu ya wabunge vijana wenye mwelekeo sahihi katika kufanya ukombozi wa kweli kwa nchi.
 
Cha kushangaza hilo tamasha la CHADEMA limefunika kuliko ule mkutano wa magamba juzi ambao ulikuwa na watu kiduchu pamoja na kuhutubiwa na watu wenye "majina mazito" serikalini akina Wasira, Mwanri, Nchemba, Nape, et. al.
 
Sijaambulia kitu hapo,chadema wanaandaa njia ya kuelekea wapi?au ndo ile ya magogoni kupitia kigoma?
 
Hapa ccm labda ijinyonge. vijana awa ni nguvu kazi katika taifa ili, na nivijana maili sana wenye wivu wajinyonge
ccm kazi kwenu, naomba niwape ushauri wa bule ccm anzeni kujiuzuru talatibu ikija kufika 2015 nyote muwe mmeshaisha ccm ili aibu isiwakute, maana mwisho wa mnafiki ni aibu. kweli ccm mnamatumaini juu ya vijana awa mnaowaona katika upinzani? kimbia kabla ya aibu kazi kwenu, najua mmesikia na olewenu mjifanye si wasikivu, mtakiona cha mende alichokiona akichungulia mtu chooni.
 
Cha kushangaza hilo tamasha la CHADEMA limefunika kuliko ule mkutano wa magamba juzi ambao ulikuwa na watu kiduchu pamoja na kuhutubiwa na watu wenye "majina mazito" serikalini akina Wasira, Mwanri, Nchemba, Nape, et. al.

Nadhani tungebadili kwamba halikuwa tamasha la Chadema, bali tamasha la wabunge vijana wenye mlengo wa kimapinduzi katika jamii yetu. Sababu ya kusema hivyo, tamasha hilo lilifunikwa na wabunge wa vyama vitatu, Chadema, CCM na NCCR Mageuzi.

CCM walinywea kabla kuamua kwenda kufanya mkutano pale kwenye kakiwanja kadogo sijui uwanja wa mpira wa chandimu wakiogopa uwanja mkubwa wa Lake Tanganyika wangebaki kama timu ya mazoezi ya wacheza 22 na kocha wao Nape tu.
 
Sijaambulia kitu hapo,chadema wanaandaa njia ya kuelekea wapi?au ndo ile ya magogoni kupitia kigoma?

Angalia timu hiyo hapo juu kwenye picha, ambayo ilifunika uwanja wa Tanganyika wakati Nape amejificha kwenye uwanja wa wacheza mpira wa chandimu utapata jibu.
 
Back
Top Bottom