Dawa ya sheria mpya ya NSSF ni kujidai umekufa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dawa ya sheria mpya ya NSSF ni kujidai umekufa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ELIESKIA, Jul 24, 2012.

 1. E

  ELIESKIA Senior Member

  #1
  Jul 24, 2012
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 120
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hawa jamaa si wanataka kuhodhi hela sio zao.dawa yao unasingizia kufa kama umeachishwa kazi na mrithi wife anavuta hela tuone na ujanja wao wa kudhulumu utafikia wapi. mwaga mboga mwaga mchele tuone sasa
   
 2. k

  kijiwehikihiki Member

  #2
  Jul 24, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Dawa ni kutoa mawazo na ushauri wa namna bora wa kuboresha mfumo huo, lakini kuweka mbinu za wizi zitasaidia kitu gani pale itakapobainika kuwa mhusika hajakufa.
   
 3. Endeleaaa

  Endeleaaa JF-Expert Member

  #3
  Jul 24, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,223
  Likes Received: 314
  Trophy Points: 180
  si mpaka abainike, wangapi wanakufa na wanafufuliwa?
   
 4. mito

  mito JF-Expert Member

  #4
  Jul 24, 2012
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 7,612
  Likes Received: 1,991
  Trophy Points: 280
  kinachonishangaza zaidi ni hawa wabunge wetu kupitisha sheria kama hii
   
 5. D

  Determine JF-Expert Member

  #5
  Jul 24, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 257
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Naogopa kufa!.
   
Loading...