DK. Mwakyembe, kujiuzulu ni suluhisho kwa Lowassa pekee? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

DK. Mwakyembe, kujiuzulu ni suluhisho kwa Lowassa pekee?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by steering, Jul 24, 2012.

 1. s

  steering Member

  #1
  Jul 24, 2012
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Baada ya kutokea ajali ya meli ya mv. Skagit kuzama, Mwakyembe alinukuliwa akisema kujiuzulu si suluhisho la kila matatizo. Hata hivyo namshukuru waziri mwenye dhamana huku Zanzibar kuamua kujiuzulu.

  Iwapo Mwakyembe anasema haya, wakati kwa Lowassa alimalizia kusoma taarifa yake bungeni kuwa, aliyekuwa waziri mkuu huyo ayapime mwenyewe, kwanini asiache waziri mhusika ayapime naye mwenyewe?

  Napata mashaka na huyu waziri na it seems he is myopic and double standard in the issue of accountability!
   
 2. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #2
  Jul 24, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,016
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Ivi na meli ile ni ishi ya Muungano?
   
 3. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #3
  Jul 24, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,695
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Kwani alimwambia Lowassa ajiuzulu? Yeye alimkaanga, halafu akamwambia ajipime.
   
 4. Wile GAMBA

  Wile GAMBA JF-Expert Member

  #4
  Jul 24, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 1,809
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  niliisha poteza imani na huyu bwana mwakyembe siku nyingi sana baada ya kugundua anasumbuliwa na tamaa ya uongozi, hana lolote.
   
 5. M

  Mundu JF-Expert Member

  #5
  Jul 24, 2012
  Joined: Sep 26, 2008
  Messages: 2,719
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145

  Wewe vipi, Mwakyembe hata nusu mwaka hajamaliza toka ateuliwe...sasa ajiuzulu kwa kosa lipi? Ile meli imenunuliwa ikiwa Zanzibar, imefanyiwa upembuzi ikiwa Zanzibar na ni meli ya pili kudidimia baharini na huyo waziri wa Zanzibar amekuwepo kwa vipindi vyote...Amesutwa tu na dhamira ndio maana akaamua kuachia mchuma...Pia amepata shinikizo kutoka kwa chama chake.

  CCM kwanza hawawezi kumshinikiza Mwakyembe ajiuluzu... kwa sababu sio utamaduni wao. Pili ajiuzulu kwa lipi, hata kama ana nia njema?
   
 6. s

  steering Member

  #6
  Jul 24, 2012
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  kuwa makini! alikuwa anawajibu wale waliokuwa wanamtaka waziri wa mambo ya usafirishaji ajiuzulu kutokana na na ajali ya meli ya hv karibuni....unasema hata mwaka hajakaa....kwa mfano ukitokea upuuzi wizarani wake hatajiuzulu? Acha mapenzi binafsi!
   
 7. C

  Chiya Chibi JF-Expert Member

  #7
  Jul 24, 2012
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 485
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hana sababu ya kujiuzulu, mtafutien sababu nyngne. Mbona ilipozama ile ya mwanzo hamkumwambia wazir Nundu aliyekuwepo Ajiuzulu..!? Tena ile ndo iliua watu weng kuliko hii. Akikosea Mkosoen, akipatia msifien, hajakosea bas msimsingizie. Pimen uzito wa matukio kwanza, kujiuzulu bila sababu za msingi ni ujinga, huyo wa Zanzibar alishahil sana. Siupend utawala wa CCM lakn wapo wanaojitahid, 2wape nafas.
   
 8. b

  bdo JF-Expert Member

  #8
  Jul 24, 2012
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,712
  Likes Received: 1,611
  Trophy Points: 280
  hapo kwenye red: kwa kutozuia upepo kuvuma,na ukizingatia mamlaka ya hali ya hewa yapo wizarani kwake, japo si ya muungano
   
 9. Kwetu Iringa

  Kwetu Iringa JF-Expert Member

  #9
  Jul 24, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 359
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Hivi meli ilyozama iliandikishwa Bara au Zenj?? Kama iliandikishwa Zenj, Mwakyembe hahusiki!!
   
 10. Democracy999

  Democracy999 JF-Expert Member

  #10
  Jul 24, 2012
  Joined: May 26, 2012
  Messages: 947
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huyu Mwanasheria ni mhuni ile mbaya na ni Fisadi mtakuja mjua tu (hivi ile Kampuni yake ya kufua umeme wa Upepo vipi? Tangu mwaka 2004 mpaka leo naona kimya na pesa zetu zilitumika)
   
 11. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #11
  Jul 24, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,843
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  Anapaswa kujiuzuru kwani meli iliruhusiwa na vyombo vya usafiri vya bara na pia HAKUNA MANIFESTO KULE POLISI ILIYOWASILISHWA KUONYESHA IDADI YA ABIRIA na pia hali ya hewa ilionyesha utatanishi as per TMA.Msimtetee mwaceni apime uzito linamhusu sana tu.EL anasubiri auone uadilifu wa Mwakyembe kama kweli ni mwadilifu ktk kuchukua maamuzi.
   
 12. M

  Mjenda Chilo JF-Expert Member

  #12
  Jul 24, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 1,425
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  Pole hujajua maana ya accountability. Waziri si mtendaji ila ana dhamana. Ni dhamana inayomfanya ajiuzulu ingekuwa ni makosa yake direct anatakiwa apelekwe mahakamani. So to say hata kama umepewa uwaziri kwa siku ya kwanza na tatizo limetokea unamwaga manyanga mteuzi for this matter rais atapima na anaweza kukataa barua yako, akakubali na akakuteua tena ikibidi wizara hiyo hiyo. Umeipata maana ya kujiuzulu? simple scenario how easy u get is how easy u loose it. POLITICAL POSTS, Ndo maana bungeni yupo maghembe ambae ni prof na Lusinde std 7? enjoying same benifits as MPs

   
 13. Noti mpya tz

  Noti mpya tz JF-Expert Member

  #13
  Jul 24, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 936
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kuzama kwa meli ya SKAGIT na Spice Islander ni udhaifu wa sheria za SMZ, wao wanasajili kila meli hawajali quality wao wamekazana na Quantity tu ndo maana wamesajili hata meli za Iran na kuzipa bendera yetu ya Tanzania... Wapuuzi sana hawa.
  Ngoja tuwapeleke kwenye kona tuwabananishe na serikali moja ifutike kabisa Zanzibar kwenye uso wa kimataifa, watanganyika toeni maoni katiba mpya kuwe na serikali moja wakitaka waondoke zao.
   
 14. N

  Ngandema Bwila JF-Expert Member

  #14
  Jul 24, 2012
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 1,000
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mbona unajisumbua mkuu, MAGAMBA kujiuzulu labda umshikie Mtutu! Hivi hivi n'go hata six hawezi. Huyo alilyejiuzulu Zanzibar ni CUF mkuu angekuwa GAMBA ungesikia sababu lukuki za kujikosha kuwa hausiki!
   
 15. M

  Mundu JF-Expert Member

  #15
  Jul 24, 2012
  Joined: Sep 26, 2008
  Messages: 2,719
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Sina mapenzi kwa mtu yeyote katika Siasa za Tanzania hii...Hofu yangu usije ikatokea, unaingia leo kwenye kiti, kesho yake likatokea la kutokea unaambiwa ujiuzulu...Kujiuzulu isiwe ni fasheni. Mtu anatakiwa ajiuzulu kwa kosa la kushindwa kuwajibika, au kula rushwa, au kuwa fisadi na mambo yanayofanana na hayo!! Sasa mwakyembe amekosa kuwajibiika kwa lipi hapo? Yule wa zanzibar..hii ni mara ya pili linatokea katika mikono yake...na ana dhamana nalo...
   
 16. M

  Mundu JF-Expert Member

  #16
  Jul 24, 2012
  Joined: Sep 26, 2008
  Messages: 2,719
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  bdo....mambo vipi lakini? Umepotea sana
   
 17. a

  armanisankara JF-Expert Member

  #17
  Jul 24, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 283
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  waziri wa zanzibar ameshajiuzulu inatosha..
   
 18. M

  Mundu JF-Expert Member

  #18
  Jul 24, 2012
  Joined: Sep 26, 2008
  Messages: 2,719
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Sikubaliani na wewe...na hoja yangu ni ile ile...ajiuzulu kwa jambo jipi Mwakyembe?
   
 19. b

  bdo JF-Expert Member

  #19
  Jul 24, 2012
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,712
  Likes Received: 1,611
  Trophy Points: 280
  Nipo sana
   
 20. Manyi

  Manyi JF-Expert Member

  #20
  Jul 24, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 3,256
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hizi ndizo zinaitwa siasa wakuu!
   
Loading...