WanaCDM wamepwaya kuchangia ktk jukwaa la siasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

WanaCDM wamepwaya kuchangia ktk jukwaa la siasa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Avanti, Jul 24, 2012.

 1. Avanti

  Avanti JF-Expert Member

  #1
  Jul 24, 2012
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 1,209
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Kwa siku hizi za karibuni uchangiaji wa hoja jukwaa hili kutoka wapenzi na wanachama wa CDM kidogo umesuasua. Hii inaonesha hali sio nzuri CDM. Daktari Kitila Mkumbo hata na Zitto naona wameiga mbinu ya Mwigulu ambaye alikuja humu kwa kasi lakini siku hizi kakimbia kabisa.

  Vipi? ni kitu gani kinawasibu? Dr Slaa vipi Katibu wetu? Mambo ya ndoa bado yanasumbua? Mzee wangu Ndesa.. n.k hamuonekani sana siku hizi, nini kinafukuta? Sidhani km hii ni hali ya kawaida!!!

  Siku hizi naona hata CCM wanaanza kutaka kutawala humu jukwaa la siasa, kulikoni? Ama ndiyo pengo la Regia linaanza kuonekana? Hata Mzee Mwkjj naye siku hizi hoja zake zimekuwa butu tu, labda kdg alipojaribu kujivumisha kiasi fulani kwa kurusha ile clip ya Dr Ulimbo.

  Its Avanti me, 24 July 2012
   
 2. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #2
  Jul 24, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
   
 3. Avanti

  Avanti JF-Expert Member

  #3
  Jul 24, 2012
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 1,209
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Bangee, mhhhh bora ya gongo!
   
 4. Neiwa

  Neiwa JF-Expert Member

  #4
  Jul 24, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 730
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Avanti hizo zote ni kama rhetorical questions... Kwa hio unasemaje exactly?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. peri

  peri JF-Expert Member

  #5
  Jul 24, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  porojo
   
 6. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #6
  Jul 24, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  kumbe wengi tunawachukia hawa vilaza waccm!
  Kwa vitendo!
   
 7. kix

  kix JF-Expert Member

  #7
  Jul 24, 2012
  Joined: Mar 21, 2009
  Messages: 318
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kweli jukwaa hili la siasa limekua jepesi sana kutokana na ushabiki uliokithiri ndio maana viongozi wengi sana wamekua kimya na wengine kubadili ID zao halisi kwani wanahis ni kujishushia hadhi ya yao katika jamii.wajumbe wamekua na mapenzi sana hadi kushidwa kuchangia hoja za msingi wamebaki kutukana na kukashifiana.

  Ikiletwa hoja ya msingi jibu kwa hoja ndivyo ilivyokua mwanzo sasa unaleta hoja majibu unayoyapata ni kama hayo hapo juu masabur,gamba unalipwa.

  Inasikitisha sana ushabiki tena wa kishamba ule wa vijiweni unapoletwa huku jukwaa na pia baadhi ya vyama kuhisi wao wanahakimiliki zaidi kwenye jukwaa ukitoa hoja utajibiwa mods ondoa uzii huu.

  Tujifunze Tujirekebishe na Turudi kwenye Misingi ya Great Thinker.
  Ni mawazo tu
   
 8. h

  hans79 JF-Expert Member

  #8
  Jul 24, 2012
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  Ukileta hoja ya maana ni nani atakupinga? Wewe unayelalama unaonekana kabisa ni nyinyiemu, mfano unasema baadhi ya vyama ina maana huna uhakika.Ili kujenga toa mfano wa hiyo hoja na shabiki wake wa hicho chama harafu itaonekana kweli ilijadiliwa kiushabiki.Bila hivyo hoja yako haina maana.
   
 9. kix

  kix JF-Expert Member

  #9
  Jul 24, 2012
  Joined: Mar 21, 2009
  Messages: 318
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  usijafanye haujui yanatokea hapa kwenye jukwaa hili si ajabu na wewe ni mmoja wao kati ya hao wanaojiita mapro CCM na Mapro CDM.jukwaa hili ni bunge la wananchi huru.ushabiki huu unaouleta wewe ndio unasababisha malumbano yanakua mengi bungeni yasio na msingi na kusababisha sheria ya mbovu kupita kama ya Pension fund april 13.

  sasa imekua sheria ndo tunashtuka wakati wa wakilishi wetu wanabaki kulumbania vyama bungeni.
   
 10. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #10
  Jul 24, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Ametokea dampo gani? Mind you, CHADEMA sio Slaa, Dr. Mkumbo, Zitto, etc. Hao ni wanachama wa kawaida tu na watapita na kuiacha CHADEMA.
   
 11. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #11
  Jul 24, 2012
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Pumba za pro CCM zimezidi, mfano ni thread hii, wenye elimu dunia wanachoshwa na huu up.upu
   
 12. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #12
  Jul 24, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Hawana jipya tena. Kashfa zao , kebehi zao zimeishia hapo. Baada ya kuona Serikali haitetereki na propaganda zao wamebaki sasa kuumana wenyewe kwa wenyewe.
   
 13. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #13
  Jul 24, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,555
  Likes Received: 4,683
  Trophy Points: 280
  Jamvi limeingiliwa na wapuuzi kibao wanaondesha kamapeni za udini dhidi ya Chadema, sasa wana chadema wameamua kuwapuuza , waazishe thread zao za kijinga na wajibishane na kupongezana wenyewe kwa wenyewe jioni waende wakakinge posho hapo Lumumba, kukaa kimya ni jibu zuri kwa mpumbavu, Chadema wameamua kuwaacha wapumbavu waendeleze gumzo lao hapa, wao wako mwendo mdundo na M4C.
   
 14. a

  andrews JF-Expert Member

  #14
  Jul 24, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ukinywa gongo asubuhi matatizo yake ni hayo
   
 15. L

  Lugeye JF-Expert Member

  #15
  Jul 24, 2012
  Joined: Apr 18, 2011
  Messages: 1,067
  Likes Received: 1,364
  Trophy Points: 280
  ni aibu mtu mzima kutumiwa na mwanaume mwenzako kisa anakupa makombo ya chakula hapo lumumba
   
 16. sosoliso

  sosoliso JF-Expert Member

  #16
  Jul 24, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 7,519
  Likes Received: 1,857
  Trophy Points: 280
  Mmekuja kivingine ciku hizi.. Mnachanganya siasa na dini hapa jukwaani.. Mmeishiwa na mnaona kwenye posts zenu za udini hazina wachangiaji..

  Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
   
 17. MTU POLI

  MTU POLI Member

  #17
  Jul 24, 2012
  Joined: May 9, 2012
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mamluki mmekua wengi humu, ndio maana wengi hawataki kuchangia hoja, maana hoja zenu sisiem nyingi hazina mashiko
   
 18. Lawkeys

  Lawkeys JF-Expert Member

  #18
  Jul 24, 2012
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 1,110
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kumbe mkiona CDM wako kimya mnaanzisha thread za kipuuzi
   
 19. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #19
  Jul 24, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,253
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  no need to debate
   
 20. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #20
  Jul 24, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Unaazisha thread ya kuwatafuta wakina slaa Wapigieni simu umeona huna cha kupost?
   
Loading...