Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

  • Closed
hayawi hayawi yamekuwa. tayari vipeperushi , vijarida vimeanza kusambazwa kwa wingi miskiti na sehemu, vituo vyadaladala na sehemu nyegine zinazowataka waislam kususia sensa kwa kuwa...
0 Reactions
88 Replies
7K Views
Ni hivi punde Mh. Joshua Nassary ameomba mwongozo wa kiti kuhusu kashfa ya rushwa inayozikabiri kamati hizo za madini na ile ya mashirika ya umma..amemtaja Zitto na Mrema na ikiwezekana wafukuzwe...
4 Reactions
60 Replies
6K Views
President Jakaya Kikwete said in Arusha on Thursday that at the moment the total length of tarmacked roads in Tanzania is 6,000 kilometres. The president was officially opening the 47th African...
4 Reactions
120 Replies
10K Views
Kamati hiyo ya Haki, Kinga na Madaraka ya Bunge, inaongozwa na Mbunge wa Mlalo, Hassan Ngwilizi (CCM) na Naibu Mwenyekiti ni Mbunge wa Simanjiro, Christopher ole Sendeka. Wajumbe wengine wa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Migomo mingi imetokea tz dhidi ya serikali,mf wazee wa A.mashariki,madaktari na sasa walimu kila migomo hii inapotokea serikali imekuwa ikitaja chadema hata kama wanachodai ni haki yao.pia...
0 Reactions
1 Replies
995 Views
Jaji Joseph Warioba Tume ya kuratibu maoni kwa ajili ya kuandika Katiba mpya inatarajia kuzindua zoezi la ukusanyaji wa maoni kutoka kwa wananchi muda wowote kuanzia sasa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
IKULU Rekodi ya aibu ikulu Na Joster Mwangulumbi - Imechapwa 23 November 2011 IKULU ni mahali patakatifu. Lakini rekodi zilizopo sasa zinathibitisha kuona pamegeuzwa “pango la wanyang’anyi.” Ikulu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika hali ya kustaabisha serikali kupitia kwa maafisa elimu wilaya wamesambaza form zinazowataka walimu wajaze kama wanaunga mkono mgomo au la. Huku ni kujikanganya kwani chombo pekee kisheria...
3 Reactions
33 Replies
3K Views
Nimekuwa nikiwaangalia Chadema kwa muda mrefu sasa, jinsi wanaitatua migogoro yao inanifurahisha. Wakati ule Zitto kalamba dume mpaka akasema eti na yeye anagombea Uenyekiti wa Chama, Chadema...
0 Reactions
3 Replies
987 Views
Kufuatia mgomo wa Walimu, wanafunzi walikuwa wanaandamana, FFU wakawapiga mabomu ya machozi, na sasa watu wazima wameingilia. Mpaka umefungwa na kuna msururu wa matanki ya mafuta, hapakaliki muda huu
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Gazeti la majira limeandika kuwa chama cha mapinduzi nchini kimeanza harakati na mipango madhubuti ya kuanzisha benki.. Yake binafsi... My take hiyo benki ndo litakuwa fuko ma kapu la sadaka...
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Kwa kitendo cha CUF kushutumu wabunge wa CCM na CHADEMA kuwachukulia hatua wabunge wake wanaotuhumiwa kuchukua rushwa pasipo majina kamili kutajwa je? CUF ina uhakika kuwa wabunge wake hawamo...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Maoni ya Mzee Kingunge alipoulizwa kwa nini anafikiri Afrika bado iko nyuma! Alisema " Wakati wazungu walipofanikiwa na mapinduzi ya viwanda waasia wakajiuliza (wajapani) hivi ni nini siri ya...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
KADA wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma Golden Sanga (Sanga One), ametangaza nia ya kugombea uenyekiti wa chama hicho wilaya ya Songea katika...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kitendo cha shule zinazomilikiwa na Mchungaji Rwekatare kuhusishwa na kashfa ya kuiba unit za Luku Tanesko ni jambo la kushtusha, na pengine kuna mengi zaidi kwa wakubwa uchunguzi ukifanyika, huyu...
4 Reactions
67 Replies
7K Views
Aliyemteka Dr. ULIMBOKA NI SHUJAA WANGU WA KARNE" Kauli ya Diwani wa Kata ya Mondo-Kondoa,Dodoma(CCM) Namnukuu.......... "SIKU YA MASHUJAA NA SHUJAA WANGU WA KARNE... Jana ilikuwa Siku ya...
0 Reactions
99 Replies
10K Views
BUNGE LIMEKOSA UHALALI WA KUWAWAKILISHA WANANCHI Bunge la jamhuri ya Tanzania limekosa uhalali wa kuwatetea watanzania kutokana na baadhi ya sababu zifuatazo; 1. wabunge kuingia mikataba ya...
0 Reactions
0 Replies
875 Views
Wakuu kauli ya makinda ya leo kuwa serikali na nchi kwa ujumla inapitia katika kipindi cha mpito binafsi naiona kama ina utata kidogo maana inaelekea wanafanya kila jitihada kuzuia mabadiliko...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Leo kibao kimemgeukia sana ndugu Zitto na akina Ole Sendeka na wabunge Kadhaa wa CCM walipewa hongo ili kuitetea menejimenti ya tanesco, this is another setback deadlock kwa zitto ajiangalie Mara...
0 Reactions
292 Replies
22K Views
"watatusema sana kila zuri letu kuwa baya ,tuendelee kutumia maoni yao mazuri kuijenga tanzania ya wote.., Sasa mgao wa umeme umepungua sana,gesi inapatikana mjini kama nilivyohaidi ILI...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Back
Top Bottom