CCM inataka kuanzisha benki yake..!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM inataka kuanzisha benki yake..!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by sir.JAPHET, Jul 30, 2012.

 1. sir.JAPHET

  sir.JAPHET JF-Expert Member

  #1
  Jul 30, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 700
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Gazeti la majira limeandika kuwa chama cha mapinduzi nchini kimeanza harakati na mipango madhubuti ya kuanzisha benki.. Yake binafsi... My take hiyo benki ndo litakuwa fuko ma kapu la sadaka wanazotoa mafisadi,,? Au ndo hazina ya pesa za rada epa kagoda richmond dowans symbion? Wameamua kuwekeza huko..
   
 2. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #2
  Jul 30, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,314
  Likes Received: 5,605
  Trophy Points: 280
  Wangeimarisha zilizopo maana si wanadai ni sera zao??wataleta mgongano wa maslahi na wizi utatokea!!vipi wanachama waki default mikopo??hiyo biashara wangeachana nayo!!!!
   
 3. M

  Mmwaminifu JF-Expert Member

  #3
  Jul 30, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 1,096
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Sitaki kufikiri hizo sheria mpya watakazoweka ku favour hiyo bank!
   
 4. Emashilla

  Emashilla Senior Member

  #4
  Jul 30, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Je! Ni benki ya kuhudumia jamii au ni benki kwa ajili ya kutakatisha fedha za Mafisadi? Nadhani wameona shaka juu ya uwezekano wa mapato na matumizi ya baadhi ya watu kuwekwa hadharani au pengine ndio kuimarisha CCM. Huenda mikopo yake haitakuwa na riba. Tutakopa huko mafedha!!!!! Itaanzishwa lini?
   
 5. sir.JAPHET

  sir.JAPHET JF-Expert Member

  #5
  Jul 30, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 700
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  nahisi mweka hazina atakuwa mwigulu nchembe
   
 6. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #6
  Jul 30, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Mweka hazina au Mhasibu?
  Wataothubutu kuweka fedha zao huko wako bound kulia kilio cha ki-Deci, maana msambaratiko wa ccm hautaiacha salama benki hiyo, na fisadi mmoja atakapoamua kuondoa shares zake itakuwa ni mtafutano.
   
 7. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #7
  Jul 30, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Waache waanzishe hiyo benki kwani 2015 itataifishwa na kuwa benki ya wananchi.
   
 8. Msalagambwe

  Msalagambwe JF-Expert Member

  #8
  Jul 30, 2012
  Joined: Jul 11, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Wanazidi kulikoroga, taabu ni kulinywa.
   
 9. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #9
  Jul 30, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Walishindwa kuendesha duka (sukita) wataweza benki? Hivi wanauza nakala ngapi za lile gazeti lao la udaku wa kisiasa siku hizi?
   
 10. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #10
  Jul 30, 2012
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,068
  Likes Received: 4,000
  Trophy Points: 280
  mishahara yote ya wafanyakazi wa uma italazimishwa kupitia CCM Bank na pia wizara zoote za serikali zitalazimishwa kufungua account na kutunza fedha huko mbali na mambo mengine ya serikali! Na usubuthu kuweka fedha zako huko... mambo ya Meridian Biao ya benki kufilisika yatajirudia!
   
 11. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #11
  Jul 30, 2012
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Ni wazo zuri....kuna mwandishi mmoja aliwahi kuandika juu ya "YOU HAVE TO RUN WHILE OTHERS ARE CRAWLING" na tafsiri zisizo rasmi za kiswahili zikaelezea "TUKIMBIE WAKATI WENGINE WANATEMBEA" japo ni kutambaa,
  Wakati wengine hawajaanza hata mradi wa mchicha wewe nenda mbali zaidi ya hapo,watakapokuja kushtuka hutakuwa pale ulipokuwepo!
   
 12. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #12
  Jul 30, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Mhh haitopata wateja wadogowadogo maana hao jamaa wanaweza wakakurupuka na sheria mpya kwamba hamna mtu kutoa hela kwenye account mpaka atimize miaka 50 kwa vijana na miaka 90 kwa wenye zaidi ya miaka 50.
   
 13. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #13
  Jul 30, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  kukopa lazima uwe na kadi ya chama,hiyo benki watafaidi sana Zomba,Ritz!MAMAPOROJO,and the like! Afu pesa zetu wakiiba ndo watakuwa wanaweka huko,believe me or not ndani ya mwaka mmoja yenyewe ndo itakuwa inaiendesha BOT!
   
 14. Kiona

  Kiona JF-Expert Member

  #14
  Jul 30, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 936
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35

  wanahamisha hela zote za hazina wanahamishia huku ili wale haramu iliyohalalishwa

   
 15. sir.JAPHET

  sir.JAPHET JF-Expert Member

  #15
  Jul 30, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 700
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  i guess mkurugenzi mkuu atakuwa mkulo , na wajumbe wa bodi ya benki hiyo watakuwa kina el, ra, ae .. Kujipongeza na kula national cake.. Kwa nguvu mpya ari mupya na kasi zaidi.. Maisha bora kwa kila mtanzania..
   
 16. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #16
  Jul 30, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  kimbilho la wezi wa rasilimali za Taifa
   
 17. sir.JAPHET

  sir.JAPHET JF-Expert Member

  #17
  Jul 30, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 700
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Sipati picha nape atakuwa nani kwenye benki hiyo ..
   
 18. SONGOKA

  SONGOKA JF-Expert Member

  #18
  Jul 30, 2012
  Joined: Mar 8, 2012
  Messages: 1,710
  Likes Received: 877
  Trophy Points: 280
  ccm bank?????????????????????????
   
 19. K

  KipimaPembe JF-Expert Member

  #19
  Jul 30, 2012
  Joined: Aug 5, 2007
  Messages: 1,287
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Benki hiyo itakuwa imeshafirisika hata kabla ya kuanzishwa!!
   
 20. Iza

  Iza JF-Expert Member

  #20
  Jul 30, 2012
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,848
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Aisee Benki wakati huu? kweli nazidi kuamini CCM kinakosa maono ya kisasa na kufanya vitu vya ajabu sana...sasa Benki kwa chama tawala haileweki kwa kweli labda kama ni njia nyingine ya kutaka kufanya money laundering..!

  CCM achaneni na masuala ya Benki wekeni sera nzuri za kuwasaidia wananchi katika masuala ya fedha na mta-win their support sio viini macho hivi...!
   
Loading...