Kila haki inapodaiwa inahusishwa na chadema kwanini tz? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kila haki inapodaiwa inahusishwa na chadema kwanini tz?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by augustino ameri, Jul 30, 2012.

 1. a

  augustino ameri JF-Expert Member

  #1
  Jul 30, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 267
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Migomo mingi imetokea tz dhidi ya serikali,mf wazee wa A.mashariki,madaktari na sasa walimu kila migomo hii inapotokea serikali imekuwa ikitaja chadema hata kama wanachodai ni haki yao.pia serikali ime kuwa ikianza kuchukua hatua baada ya mgomo kuanza,mgomo wa walimu ulitangazwa tangu mei 2012 hadi hii agust kasoro siku ndio wameamuka utadhani wenye kuongoza wamefufuka sasa.
   
 2. m

  mamajack JF-Expert Member

  #2
  Jul 30, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  wanajua fika chadema ni chama cha haki na uwajibikaji.kimewasidia wananchi kujua kipi ni haki.wananchi wameamka wamejua rasilmali za nchi ni zakwao hivyo inasikitisha kuona wachache wanafaidi!!!!
  let them blame chadema maana hawakuwahi kuwaza kwamba ipo siku wananchi watatamua haki zao.
   
Loading...