Baadhi ya wabunge wa CCM na Upinzani wadaiwa kuhongwa na menejimenti ya TANESCO | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baadhi ya wabunge wa CCM na Upinzani wadaiwa kuhongwa na menejimenti ya TANESCO

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by PhD, Jul 27, 2012.

 1. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #1
  Jul 27, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  Leo kibao kimemgeukia sana ndugu Zitto na akina Ole Sendeka na wabunge Kadhaa wa CCM walipewa hongo ili kuitetea menejimenti ya tanesco, this is another setback deadlock kwa zitto ajiangalie Mara mbili anapotoa matamko hata wenzake poac wamemruka kabisa hawajawahi kuitetea menejimenti ya tanesco.
   
 2. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #2
  Jul 27, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,698
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  zitto mwenyewe ndo huyu anayetaka kuwa rais
   
 3. F

  Fisadi Mtoto JF-Expert Member

  #3
  Jul 27, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 639
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hii nchi hii ina majasiri shupavu kweli kweli....ka
   
 4. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #4
  Jul 27, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Utakuwa Gamba wewe
   
 5. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #5
  Jul 27, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  hizi shutuma za yeye kupewa hela ili kutetea maslahi flani ndani ya tanesco mbona zitto hazikanushi? mpaka tunaanza kufikiria ni za kweli...kuna wakati nafikiria cdm inaweza kuja kua worse than ccm..mana bora ccm wameshakula matumbo yamejaa wakiingia watu ambao wana njaa na wao wanataka kushiba itakuaje
   
 6. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #6
  Jul 27, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Nimesikia bungeni sasa ivi wakimtuhumu kuwa kuna mbunge anausika na kutetea uozo...wabunge wa ccm wanashangilia..ebu nijulisheni jamani anaesemwa ni nani?? sababu ishu nimeikutia kati,alafu wanatumia mafumbo.
   
 7. Godlisten Masawe

  Godlisten Masawe Verified User

  #7
  Jul 27, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 739
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  PhD ebu ielezee vizuri
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. N

  Nyalutubwi JF-Expert Member

  #8
  Jul 27, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 572
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  Lakini angalieni nchi hii inavyoongozwa the issue is so serious for the negative impact to the growth of our Nation economy and we as citizens of this Nation are taking and discussing very lightly. Should we have one voice that demanding all those implicated in the matter to be prosecuted in the court of law?
   
 9. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #9
  Jul 27, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  Zitto na kukubali sana lakini imani juu yako inapungua kila kukicha.
  Zitto umeingia kwenye mtego, nilisema kila siku zitto haiwezekani wana ccm wakuchekelee walikuwa wana kutafuta ili wakunyamazishe.
  Hizi zinaweza zikawa shutuma tuu, tusubiri tuone ukweli.

  Na kwanini hukanushi?
   
 10. magosha

  magosha JF-Expert Member

  #10
  Jul 27, 2012
  Joined: Apr 25, 2012
  Messages: 641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  hii ni hatari kama kuna wabunge wanahongwa sijui kama tutafika!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 11. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #11
  Jul 27, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,594
  Likes Received: 1,966
  Trophy Points: 280
  Falsafa ya hovyo kabisa,kwani hata matumbo yakijaa hawaendi tweileti?bongo bana.
   
 12. d

  deusgogomoka Member

  #12
  Jul 27, 2012
  Joined: May 31, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Never trusted Zitto at all, I love Chadema and Dr. Slaa is the man to trust.

  Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
   
 13. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #13
  Jul 27, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Zitto Hawezi Kuhongwa na Gamba Lolote
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #14
  Jul 27, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  Katika kikao cha paryt caucus ya CCM juzi usiku ambapo bwana maswi alihudhuria pia, aliwataja kwa majina ole sendeka na na sarah msafiri wabunge wa ccm kuwa walimuomba rushwa ili watumie hizo fedha kuwashawishi wabunge wa upinzani ambao ni makina akina zitto na mnyika, kafulila and others ili wanyamaze wasiipinge bajeti.

  Kilichomponza Zitto ni kauli yake ya mwanzo kabisa baada ya Menejimenti ya TANESCO kusimamishwa ambapo yeye alitoa opinion kuwa sio haki kuwasimamisha bila uchunguzi hapo ndi walakini unaibuka juu ya uhusiano wake na muhando.
   
 15. m

  moma2k JF-Expert Member

  #15
  Jul 27, 2012
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 953
  Likes Received: 984
  Trophy Points: 180
  NI UKWELI USIO NA KIFICHO KUWA:

  i. Zitto ni mnafiki mkubwa(papa wa unafiki).
  ii.Zitto ni FISADI papa.
  iii.Zitto ni mwongo mkubwa.
  iv.Zitto ni janga kwa CHADEMA.
  v.Zitto ni janga la kitaifa.

  Amen
   
 16. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #16
  Jul 27, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Matumbo yamejaa jindanganye...kuna trilion 16 ziko nje na bado wanapiga dili mpaka za mikaa...
   
 17. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #17
  Jul 27, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Zitto akiamua anaweza kuwamaliza CCM kwa hili, Ila kwa Siasa za Zitto za sasa hivi za kuchukua Msimamo Mwepesi dhidi ya CCM sidhani kama atachomoka. If you want to fight with CCM Ni Lazima Uchore Mstari. That is Why Namu admire Dr. W Slaa.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. M

  Mkandara Verified User

  #18
  Jul 27, 2012
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Inategemea Zitto anawatetea Tanesco kwa nini maana kwenye matatizo ni Wizarani, ofisi ya rais na waziri mkuu walioingia Mikataba feki lakini hawatakiwi kupelekwa mahakamani ati wakipelekwa wao chama CCM kitasambaratika.. Mnachokiona nyie ni kuwachukua kina Mhando na uongozi wa Tanesco kwenye sheria maadam chama hakiwezi kusambaratika, na ndio njia ilokubaliwa na wengi.. Ujinga gani huu..
  Katika hili nipo na Zitto na kina Sendeka (tokana na maelezo ya Sendeka) Mnakinusuru chama kwa sababu gani haswa?
   
 19. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #19
  Jul 27, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  ANOTHER BIG BIG SCANDAL 4 ZITTO...huyu ni zandiki.NDO MAANA TUNASEMA HATA HUKU CHADEMA TUSHAMTAPIKA.
   
 20. O

  OPTIMUS TZ JF-Expert Member

  #20
  Jul 27, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 391
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Give him some more rope and hewill hang himself lisemwalo lipo kama halipo laja..........
   
Loading...