Country
rank
Country
2011
CPI Score
1.
New Zealand
9.5
Denmark
9.4
Finland
9.4
4.
Sweden
9.3
5.
Singapore
9.2
6.
Norway
9.0
7.
Netherlands
8.9
8.
Australia
8.8
Switzerland...
Nadhani sasa wakati umefika kwa wenye mapenzi ya nchi hii kushinikiza serikali itunge sheria ya kuwazuia Wabunge na mawaziri wasisomeshe watoto wao shule za binafsi na zile za nje. Sheria...
Mshauri wa chama hicho Dk Kitila Mkumbo na madiwani wawili, wametiwa mbaroni wakikabiliwa na tuhuma mbalimbali.
Wakati Dk Mkumbo ambaye ni Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam akiwa...
Ikianza kuhusishwa na siasa, nimeshuhudia baadhi ya walimu akiwepo ndugu yangu wametahadharishwa kuondoka sehemu ya kazi kwani kuna wahuni ambao wamelipwa ili kwenda kufanyia fujo walimu ambao...
Kuvunjwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini.Maoni yangu kama Waziri Kivuli wa Nishati na Madini na mbunge:
JOHN MNYIKA: Kufuatia uamuzi wa Spika wa Bunge jana jumamosi tarehe 28 Julai...
Je, kama serikali ya magamba ikitumia ubabe kutufukuza kazi walimu tuliogoma, je, hatua za kuchukua ni zipi? Na pia mshahara wa mwezi huu hadi sasa haujatoka huku kwetu, je, hawawezi hawa...
Mbunge machachari, msema ukweli na muwazi, mheshimiwa Tundu Lissu amesema bungeni jioni hii kuwa madaktari hwakupaswa kufukuzwa bila kuwapa nafasi ya kujitetea kama inasema sheria. Huu ni uonevu...
MBUNGE MZALENDO, MAUMIVU YAKIZIDI MWONE ..:embarrassed:
Mara tatu jana Bungeni, tumesikia toka kwa Wabunge (wale dada zetu) wa CCM kuwa ama wakiwa katika ziara za Kamati au waliposoma...
Waziri Kivuli wa Nishati na Madini ambaye ndiye aliyetangulia kuanika bungeni kuhusu ufisadi wa TANESCO na tuhuma za ufisadi dhidi ya baadhi ya wabunge kuhusu ununuzi wa mafuta, kabla ya Waziri wa...
upande wa pili wa CCM, tunasikia matawi yanayoanzishwa ughaibuni kuwa ni vituko. baada ya kuiona kideo ya ndugu wa wawili wakitapika pumba kuwa ni makatibu wenezi, naomba, kwa heshima na taadhima...
Kuweza kuleta madadiliko chanya katika chama cha CCM na nchini inabidi wazee kama Msekwa waachie ngazi na kuwaachia vijana tokana na ukweli kuwa wakati na mbinu zao za uongozi zimepitwa na wakati.
Lawrence Cannon, Minister of Foreign Affairs, and Rob Nicholson, Minister of Justice, Thursday tabled the Freezing Assets of Corrupt Regimes Act in Parliament aimed at freezing assets that former...
Hongera kwa uzalendo, ANDAA MSWAADA tuondoshee hawa EWURA IBAKI KAMA IDARA NDOGO.ITAPUNGUZA GARAMA KWA WA TZ KWA 1%:PIA ITAONDOA MANUN'GUNIKO YA WA TZBWATUMISHI WA IDARA.WASALITI MFANO MAJUMUISHO...
Aliyekuwa waziri wa JK ambae alitoswa kwenye reshuffle, akichangia bajeti ya wizara ya nishati na madini amesema
mawaziri wanaofanya maamuzi wako hatarini sana kwa sababu kama maamuzi yataenda...
Inashangaza kuona LEO mgomo wa walimu umeanza na kwa taarifa shughuri nyingi za kitaaluma zimekwama, watoto wameenda shule kucheza,wengine wamerudishwa, walimu waaoga wameenda mashuleni kupiga...
Sasa hivi Mukoba yuko ITV anazungumzia kuhusu mgomo wa walimu na anasema ni halali. Mwl. atakayeenda kazini in msaliti kama wasaliti wengine waliowahi kutokea katka mapambano ya ukombozi
Sijajua mpaka sasa tafsiri yake ni nini, lakini lililotokea ni kwamba wale askari wa FFU waliokuwa wanailinda nyumba ya Mh. Spika wetu kipenzi wamepewa amri ya kuondoka na kuacha lindo hilo la...
Kwa utegemezi huu wa serikali huduma za afya zitaendelea kua duni milele mpaka hapo wananchi tukapo amua vinginevyo!
hapa chini anajisifia kwa kufanya mazuri......tafakari
2011-2012 serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.