Diwani wa Kata Ya Mondo Kondoa Dodoma asema ALOMTEKA DR. ULIMBOKA NI SHUJAA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Diwani wa Kata Ya Mondo Kondoa Dodoma asema ALOMTEKA DR. ULIMBOKA NI SHUJAA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nhassall, Jul 27, 2012.

 1. n

  nhassall Senior Member

  #1
  Jul 27, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Aliyemteka Dr. ULIMBOKA NI SHUJAA
  WANGU WA KARNE"

  Kauli ya Diwani wa Kata ya Mondo-Kondoa,Dodoma(CCM) Namnukuu..........
  "SIKU YA MASHUJAA NA SHUJAA WANGU WA KARNE...

  Jana ilikuwa Siku ya Mashujaa Tanzania. Siku ambayo huazimishwa kila mwaka kuwakumbuka mashujaa wetu ambao wametoa mchango mkubwa wa kuikomboa Nchi.

  Kwa upande wangu Shujaa wangu wa Mwaka na karne hii. AMBAYE NTAMKUMBUKA NI YULE ALIYEFANIKISHA NA KUMTEKA DKT ULMBOKA.

  Aliyemteka Dkt Ulimboka ameleta Ukombozi mkubwa kwa watanzania masikini na hasa wagonjwa ambao walikuwa wakifa kwa sababu za mgomo wa Madktari Kudai Mishahara Zaidi.

  Kwangu mimi Dkt Ulimboka ni Msaliti wa Taifa lake. Na aliongoza mgomo haramu ulioua watanzania wasio na hatia kwa Tamaa zake.
  Tangu Shujaa huyo alipomteka Ulimboka afanikishe Azma yake alikomesha mgomo na Mijadala yote ya madaktari na mpaka sasa Haisikiki tena


  HONGERA SHUJAA WETU WA MWAKA KWA KUKOMESHA MGOMO."

  Mwisho Wa kunukuu.................

  NAOMBA MNISAIDIE NYIE MMEMWELEWAJE NA HII KAULI YAKE?
   

  Attached Files:

 2. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #2
  Jul 27, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Hivi hajui kwamba haitakiwi kujadili maana kesi iko mahakamani?
   
 3. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #3
  Jul 27, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  sina cha kumjibu mwehu kama huyo
   
 4. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #4
  Jul 27, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Huyo diwani hata siku mke wake akibakwa, atamwita mbakaji ni shujaa.
   
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  Jul 27, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Mbona ana njaa sana hadi anatia huruma, ondoa picha yake bana, anadhalilika!
  [​IMG]
   
 6. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #6
  Jul 27, 2012
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  anaitwa nani?
   
 7. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #7
  Jul 27, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Kuna waliopoteza wake, watoto, wapendwa wao hakika mtekaji wa Ulimboka ni shujaa.
   
 8. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #8
  Jul 27, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  Awasiliane na afande mapunda ampe ushauri ni nini cha kusema anapokuwa mzima.
   
 9. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #9
  Jul 27, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  na hata akibakwa yeye atasema mbakaji ni shujaa
   
 10. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #10
  Jul 27, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 732
  Trophy Points: 280
  Jifunzeni kuheshimu maoni ya watu
   
 11. Kiherehere

  Kiherehere JF-Expert Member

  #11
  Jul 27, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,804
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Mwanaume abakwi......anaingiliwa kinyume na maumbile tu
   
 12. paty

  paty JF-Expert Member

  #12
  Jul 27, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,259
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  ngoja niondoke tu nami nisije nikapigwa ban
   
 13. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #13
  Jul 27, 2012
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  huyu atakuwa hamjui baba ake
   
 14. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #14
  Jul 27, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  mbona watu waliokufa ktk meli iliyozama hivi juzi waziri husika apoulizwa na ajazeera kuwa ni uzembe wa serikali yeye alijibu ni mipango ya Mungu?
   
 15. n

  njem Member

  #15
  Jul 27, 2012
  Joined: Jul 27, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  unaonekana kijana kumbe UMEZEEKA AKILI NENDA KASOME CCM HAWAJA SOMA NDO MAANA WANAPEWA VYEO OVYO
   
 16. samilakadunda

  samilakadunda JF-Expert Member

  #16
  Jul 27, 2012
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 1,701
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Aende muhimbili akaone mgomo upo au haupo,toka lini nyani aliopo porini akakujua mjini? labdakapelekwe na mtu
   
 17. K

  KengeWaKijani Senior Member

  #17
  Jul 27, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 103
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ha ha ha ha ha na huyu c mara kwanza kuropoka na kuukwaza uma, pia humu JF alshawah kulumbana na Wana JF Bada ya kuambiwa kuwa ana njaa na Uongoz UVCC ntawapa links hapa.
   
 18. K

  KengeWaKijani Senior Member

  #18
  Jul 27, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 103
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ivi hili nalo ni oni? kwel kichwa knamatumiz mengi!
   
 19. K

  KengeWaKijani Senior Member

  #19
  Jul 27, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 103
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kubakwa kubakwa tu no matter what!
   
 20. K

  KengeWaKijani Senior Member

  #20
  Jul 27, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 103
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mim kama ni ban leo nipgwe tu, but ctatukana mtu hapa.
   
Loading...