Tunduma patifuka vurugu

Goldman

JF-Expert Member
Dec 10, 2010
1,930
2,397
Kufuatia mgomo wa Walimu, wanafunzi walikuwa wanaandamana, FFU wakawapiga mabomu ya machozi, na sasa watu wazima wameingilia.

Mpaka umefungwa na kuna msururu wa matanki ya mafuta, hapakaliki muda huu
 
Hata madent wa primary wanapigwa mabom ya machozi?
Mh hapa ni maafa tu vitoto hivyo vitakanyagana hadi basi
 
Mkuu naomba nieleweshe ni namna ipi huo mgomo ume affect huwo mpaka kufungwa.. Ilikuwaje? Wanafunzi walikuwa wanaelekea wapi? labda kama nimekosea, as far as I know hakuna ofisi ya Serkali ama shule karibu na mpaka wa nchi hizi mbili. In the sense kwamba immediate area of concern.
 
Kufuatia mgomo wa Walimu, wanafunzi walikuwa wanaandamana, FFU wakawapiga mabomu ya machozi, na sasa watu wazima wameingilia.

Mpaka umefungwa na kuna msururu wa matanki ya mafuta, hapakaliki muda huu

mkuu ni kweli nipo maeneo ya kisamani hapa nakutana na msurusu wa wanafunzi wakiimba tunataka haki yetu ya elimu. Kwa kweli kuna taharuki kubwa sana.!
 
Serikali dhaifu na uzembe wa bunge unaendelea kwanyima wa2 hak zao za msingi
 
wanafunzi wanagombea madaftar kutoka kwenye boma bado halijaungua jengo zima, watu wanajibebea vitu vya bomani, pikipik ya boma inachomwa mda huu, ntajitahid kwenye picha
 
Mleta Mada ungetoa maelezo zaidi kuhusu hili na kuweka picha. Je serikali ya eneo wanafanya lipi kuleta hali ya utulivu?
 
Siamini habari hizi!nimeongea na mke wangu,ambaye nh mwalimu hapo mwaka amekataa ki2 kama hicho!
 
Hbari za kuthibitika toka Wilayani Tunduma ni kwamba wanafunzi toka baadhi shule wameandamana kuishinikiza serikali iwasikilize walimu na kutatua madai yao, katika maandamano hayo kulitokea purukushani na polisi hali iliyosababisha vurugu kubwa na uharibifu wa mali na majengo ya Halmashauri yamechomwa moto

source; mimi mwenyewe niko hapa Tunduma kikazi
 
Vurugu ni kati ya nani na nani?......hawaruhusiwi kuandamana kwa sababau swala lipo mahakamani?
 
Pole sana kuchelewa kufahamu, hyo hali ni toka asubhi...Pinda anasena LIWALO na LIWE
 
Duuu CDM mwaka huu mnalo

Huhitaji kuwa a rocket scientist kujua nini DC atasema kuhusu maandamano na vurugu hizo.

Atasema hivi ninakuuu "Hao wanafunzi wamechochewa na kutumwa na CDM"
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom