Mtuhumiwa anapokuwa Hakimu ,wajue wajumbe wa kamati ya Haki,Kinga Madaraka ya Bunge

ELIESKIA

Senior Member
Jul 21, 2011
120
15
Kamati hiyo ya Haki, Kinga na Madaraka ya Bunge, inaongozwa na Mbunge wa Mlalo, Hassan Ngwilizi (CCM) na Naibu Mwenyekiti ni Mbunge wa Simanjiro, Christopher ole Sendeka.

Wajumbe wengine wa kamati ni pamoja na Mbunge wa Tumbe, Rashid Ali Abdallah (CUF), Mbunge wa Manyoni Mashariki, John Chiligati (CCM), Mbunge wa Viti Maalumu, Maua Daftari (CCM) na Mbunge wa Viti Maalumu, Dkt. Christina Ishengoma (CCM).

Wengine ni Mbunge wa Viti Maalumu, Riziki Omar Juma (CUF), Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR-Mageuzi) na Mbunge wa Namtumbo, Vita Kawawa (CCM).

Pia wapo Mbunge wa Moshi Mjini, Philemon Ndesamburo (CHADEMA), Mbunge wa Mbogwe, Augustino Masele (CCM), Mbunge wa Mpanda Mjini, Said Arfi (CHADEMA), Mbunge wa Vunjo, Augustine Mrema (TLP), Mbunge wa Viti Maalumu, Hilda Ngoye (CCM), Mbunge wa Kawe, Halima Mdee (CHADEMA) na Mbunge wa Karagwe, Gosbert Blandes (CCM).

---
Imenukuliwa (kwa ajili ya kumbukumbu na marejeo) kutoka kwenye habari iliyochapishwa katika gazeti la HabariLeo.co.tz

Source: Wajumbe wa Kamati ya Haki, Kinga na Madaraka ya Bunge - wavuti
 
Hii kamati inamagamba mengi alafu karibia wote wanatuhuma,kesi ya ngedere imepelekwa kwa nyani
 
Hii kamati inamagamba mengi alafu karibia wote wanatuhuma,kesi ya ngedere imepelekwa kwa nyani ,hata hivyo asante kwa taarifa muhimu
 
Dah kumbe na sendeka na mrema wamo, hawa pia si ni watuumiwa wa vitendo vya rushwa, haya ngoja tuone mwizi akimuonea huruma mwizi mwenzie
 
Hapa ni nini? Make najuwa kamati ya kudumu ya nishati na madini ndo ina sakata ya kulubuniwa kwa kuongwa.Tueleweshe vizuru mleta mada.
 
Hili Bunge la Makinda halina hadhi hata chembe ya kujichunguza. Bunge linanuka rushwa na hata wabunge wenyewe wameingia bungeni kwa rushwa! And worse Spika kachaguliwa katika mazingira yaliyojaa utata.

Kama kweli wanataka kurudisha imani ya wananchi kwa bunge basi 'a judge-led independent enquiry' is the only way. Tofauti na hapo bunge litabaki kuwa chafu.
 
Hapa ni nini? Make najuwa kamati ya kudumu ya nishati na madini ndo ina sakata ya kulubuniwa kwa kuongwa.Tueleweshe vizuru mleta mada.

Muwe mnasoma habari sio kupenda kutafuniwa kila kitu!

Ole Sendeka mjumbe wa kamati ya haki, Kinga na Madaraka ya Bunge ni mtuhumiwa mmojawapo aliyefanya "biashara" na TANESCO.

Ndiyo maana JF wanahoji inakuwaje Sendeka anakuwa POLISI, PROSECUTOR na HAKIMU? Je haki itandeka?
 
angalia wajumbe wa kamati tuhumiwa linganisha ni wangap wamepewa kazi ya kuhukumu
Local AuthorityAccounts
Photo
Fullname
Political party
Position
TLP
CHAIRPERSON
CCM
DEPUTY CHAIRPERSON
CUF
MEMBER
CCM
MEMBER
CCM
MEMBER
CCM
MEMBER
CCM
MEMBER

CCM
MEMBER
CCM
MEMBER
CHADEMA
MEMBER
CUF
MEMBER
NCCR-MAGEUZI
MEMBER
CCM
MEMBER
CCM
MEMBER

PublicCorporation Accounts

Photo
Fullname
Political party
Position
CCM
MEMBER
CHADEMA
MEMBER
CCM
MEMBER
CCM
MEMBER
CCM
MEMBER
CUF
MEMBER
CCM
MEMBER

CHADEMA
CHAIRPERSON
CCM
DEPUTY CHAIRPERSON
CCM
MEMBER
CCM
MEMBER
CHADEMA
MEMBER
CCM
MEMBER
CCM
MEMBER

Energy andMinerals

Photo
Fullname
Political party
Position
CCM
CHAIRPERSON
CCM
DEPUTY CHAIRPERSON
CCM
MEMBER
CCM
MEMBER
CCM
MEMBER
CCM
MEMBER
CCM
MEMBER

Photo
Fullname
Political party
Position
CHADEMA
MEMBER
CHADEMA
MEMBER
CHADEMA
MEMBER
CUF
MEMBER
CCM
MEMBER
CCM
MEMBER
CCM
MEMBER

CCM
MEMBER
CCM
MEMBER
CCM
MEMBER
CHADEMA
MEMBER
CCM
MEMBER
CCM
MEMBER
CUF
MEMBER

Kamati hiyo ya Haki, Kinga na Madaraka ya Bunge, inaongozwa na Mbunge wa Mlalo, Hassan Ngwilizi (CCM) na Naibu Mwenyekiti ni Mbunge wa Simanjiro, Christopher ole Sendeka.

Wajumbe wengine wa kamati ni pamoja na Mbunge wa Tumbe, Rashid Ali Abdallah (CUF), Mbunge wa Manyoni Mashariki, John Chiligati (CCM), Mbunge wa Viti Maalumu, Maua Daftari (CCM) na Mbunge wa Viti Maalumu, Dkt. Christina Ishengoma (CCM).

Wengine ni Mbunge wa Viti Maalumu, Riziki Omar Juma (CUF), Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR-Mageuzi) na Mbunge wa Namtumbo, Vita Kawawa (CCM).

Pia wapo Mbunge wa Moshi Mjini, Philemon Ndesamburo (CHADEMA), Mbunge wa Mbogwe, Augustino Masele (CCM), Mbunge wa Mpanda Mjini, Said Arfi (CHADEMA), Mbunge wa Vunjo, Augustine Mrema (TLP), Mbunge wa Viti Maalumu, Hilda Ngoye (CCM), Mbunge wa Kawe, Halima Mdee (CHADEMA) na Mbunge wa Karagwe, Gosbert Blandes (CCM).

---
Imenukuliwa (kwa ajili ya kumbukumbu na marejeo) kutoka kwenye habari iliyochapishwa katika gazeti la HabariLeo.co

Source: Wajumbe wa Kamati ya Haki, Kinga na Madaraka ya Bunge - wavuti
hao niliomark sina imani nao
 
Ili haki itendeke na kuonekana kuwa imetendeka, "mpambanaji wa ufisadi" Chris Sendeka ajiondoe mwenyewe haraka sana kwenye kamati ya haki, kinga na maadili; vinginevyo Watanzania hawatakubaliana na maamuzi yoyote yatakayofikiwa na kamati hiyo na kwa hiyo UTUKUFU wa taasisi hiyo utakuwa umeparaganyika, Umahiri wa Anne Makinda kusimamia utawala bora katika bunge upo kwenye kilo?! tunasubiri tuone dhana ya uwazi na ukweli anaitekeleza vipi.
 
Hapa ni nini? Make najuwa kamati ya kudumu ya nishati na madini ndo ina sakata ya kulubuniwa kwa kuongwa.Tueleweshe vizuru mleta mada.
 
Hili Bunge la Makinda halina hadhi hata chembe ya kujichunguza. Bunge linanuka rushwa na hata wabunge wenyewe wameingia bungeni kwa rushwa! And worse Spika kachaguliwa katika mazingira yaliyojaa utata.

Kama kweli wanataka kurudisha imani ya wananchi kwa bunge basi 'a judge-led independent enquiry' is the only way. Tofauti na hapo bunge litabaki kuwa chafu.

si mdee na mzee ndesamburo wamo jamani kwenye tume hiyo ya haki na maadili?AU NA WAO HAUWA AMINI?
Au wewe ulitaka iwe na wanachadema watupu?
 
si mdee na mzee ndesamburo wamo jamani kwenye tume hiyo ya haki na maadili?AU NA WAO HAUWA AMINI?
Au wewe ulitaka iwe na wanachadema watupu?

Wawili hao hawawezi kufanya kitu, isitoshe mwenyekiti na m/mwenyekiti huwa wana nguzu sana.
 
Back
Top Bottom