Nani wa kumuwajibisha nani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani wa kumuwajibisha nani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by posa, Jul 30, 2012.

 1. p

  posa Member

  #1
  Jul 30, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 74
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 25
  IKULU
  Rekodi ya aibu ikulu
  Na Joster Mwangulumbi - Imechapwa 23 November 2011
  IKULU ni mahali patakatifu. Lakini rekodi zilizopo sasa zinathibitisha kuona pamegeuzwa “pango la wanyang’anyi.”
  Ikulu ni makao na ofisi ya Rais Jakaya Kikwete na ndiyo ofisi ya mkuu wa utumishi nchini yaani Katibu Mkuu Kiongozi, Philemon Luhanjo. Hivyo, rushwa ikiingia ikulu, walioifungulia milango ni watu hao wawili.
  Ripoti ya Kamati Teule ya Bunge, chini ya Mbunge wa Tunduru Kaskazini, Injinia Ramo Makani, imeonesha ikulu inalea rushwa na ufisadi. Ikulu ilitajwa na mtandao wa WikiLeaks ulipomkariri aliyekuwa Balozi wa Marekani nchini, akisema Mkurugenzi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Dk. Edward Hoseah alizuiwa na bosi wake kuwashtaki vigogo wa wizi wa fedha za EPA.
  Dk. Hoseah ni mteule wa Rais Kikwete, hivyo bosi wake hapa aliyemzuia asifikishe kortini mapapa wa wizi huo na wengineo kama Deep Green, Kagoda, Meremeta ni Rais.

  MAHAKAMA

  1.Naibu Waziri awaonya majaji, mahakimu kuhusu rushwa

  www.mwananchi.co.tz/.../24915-
  20 Jul 2012 – NAIBU Waziri wa Katiba na Sheria, Angela Kairuki amewaonya majaji, mahakimu na watendaji wengine wa mahakama ambao wamekuwa ...
  2.HAKIMU KORTINI KWA RUSHWA DAR

  katabazihappy.blogspot.com
  HAKIMU KORTINI KWA RUSHWA DAR ... Na Happiness Katabazi MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imemuamuru Mhariri wa gazeti la Mtanzania na ...

  1. Takukuru: Mahakama ya K'ndoni yakithiri rushwa
  www.mwananchi.co.tz/.../-/21177-takukuru-maha...
  16 Machi 2012 – TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), imesema kuwa Idara ya Mahakama katika Mkoa wa Kinondoni imekithiri kwa ...

  BUNGE/WAWAKILISHI WA WANA WA NCHI
  1.Bunge lanuka rushwa.• Fedha za mafisadi zawatokea puani wabunge

  richard-mwaikenda.blogspot.com/.../bunge-lanuka...
  “Mheshimiwa mwenyekiti Maswi ametishwa tunajua hilo, ametumiwa meseji za vitisho, ameombwa rushwa na baadhi ya wabunge wenzetu ...
  2.Rushwa Bungeni yatia doa taifa

  www.habarileo.co.tz/.../2321-rushwa-bungeni-yati...
  KITENDO cha Bunge kukabiliwa na tuhuma za rushwa kutokana na baadhi ya wabunge kudaiwa kuhusika pamoja na kutetea ufisadi katika
  3.DIWANI CCM JELA MIAKA 10 KWA RUSHWA

  katabazihappy.blogspot.com/.../diwani-ccm-jela-m...
  “Mahakama hii imeridhika na ushahidi na vielelezo vilivyotolewa na upande wa ... madiwani na wabunge umepingwa mahakamani, mengi ni madai ya rushwa ...
  4.Mbunge wa CCM aliyedakwa kwa Rushwa atinga Kizimbani ...

  mrokim.blogspot.com/.../mbunge-wa-ccm-alkiyed...
  5 Jun 2012 – Mbunge wa CCM alkiyedakwa kwa Rushwa atinga Kizimbani ... kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kusomewa mashtaka ...
  5.Rushwa njenje ubunge wa Afrika Masharikiwww.mwananchi.co.tz/.../-/22108-rushwa-njenje-u...
  16 Apr 2012 – “Mimi nimeyasikia hayo kwa mbali kuwa kuna rushwa inatembea na nilipowalalamikia marafiki zangu, wakaniambia niache hofu. Takukuru ...

  JESHI LA POLISI
  1.Rushwa yatikisa Jeshi la Polisi

  chingaone.blogspot.com/.../rushwa-yatikisa-jeshi-l...
  18 Jul 2012 – “Jeshi la Polisi limeendelea kushughulikia malalamiko ya wananchi dhidi ya watendaji wake wanaojihusisha na vitendo vya rushwa.
  2.Polisi yaongoza kwa rushwa

  mwananchi.co.tz/.../17612-polisi-yaongoza-kwa-r...
  19 Nov 2011 – Boniface Meena UTAFITI uliofanywa kuhusu utawala bora na tatizo la rushwa nchini umeonyesha kwamba polisi, mahakama, ardhi na ...

  VYOMBO VYA HABARI
  1.Mwandishi Gazeti la Mwananchi jela kwa rushwa.

  www.dullonet.com/?p=18675
  20 Jun 2012 – Kwirinusi, alitiwa hatiani na Mahakama ya Wilaya ya Songea mkoani ... wa
  Taassi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Christa ...
  2. Mhariri kizimbani tuhuma za rushwa

  www.mwananchi.co.tz/.../23924-mhariri-kizimban...
  16 Jun 2012 – Simbano aliiambia Mahakama kuwa washtakiwa walitenda kosa hilo Jumatano na Alhamisi, wiki hii, saa 10.00 jioni wilayani Monduli.

  TAKUKURU

  1.Takukuru inapokuwa 'mbwa wa kulinda maslahi ya wakubwa ...

  kilimohai.wordpress.com/.../takukuru-inapokuwa-...
  27 Jun 2012 – Japokuwa siyo vyema kuingilia kati uhuru wa Mahakama, lakini ... Siwezi `
   
Loading...