Maajabu
na Prof Muhongo > shirika la Tanesco lilipa paundi 50000 kwa ajiri ya vipuri lakini wakapata Begi la Misumari...
Pia kuna biashara inyo fanyika kwamba
Nguzo Umeme za Iringa...
Naamini kabisa huyu jamaa anamuelekeo wa kuifikisha Tanzania pale inapotaka kwenda,utendaji wake na serikali uliopo hivi sasa inaonekana ulichelewa ,lakini kasi ya maendeleo ambayo inaonekana kila...
kutokana na kusuka upya baraza la mawaziri na ujio wa mawaziri kama Prof Muhongo,Dr Mgimwa,Dr Mwakyembe na uwepo wa Dr Pombe Magufuli waziri toka awamu ya tatu,hakika sasa serikali ya jk...
Maadam SSRA wamesema wasitisha kwa miezi sita kushughulika na Mafao mpaka muongozo. nawaomba waajiri wote wasipeleke NSSF, PPF na kwingineko mpaka baada ya muongozo huo yaaani miezi sita. Haina...
Kuna huyu kiongozi anayeongoza ofisi moja ya umma mkoani ruvuma wilaya ya mbinga huyu c muadilifu kwa kutumia mali ya umma vibaya gari ya ofisi anaitumia kwenda nayo shamba kwa matumizi binafsi na...
Ukitafakari mwenendo wa bunge letu na nini wajibu wao kwa umma utagundua bunge letu kwa kiasi kikubwa limesheheni kina Yuda Eskariot na si wawakilishi na watetezi wa watanzania.Tafakari mambo...
Wana JF
Hapa kuna habari za kuwafurahisha Medical Doctors waliokataliwa na Serikali ya CCM. Hudhurieni kozi ya Kiingereza safi makafanye kazi kwenye nchi yenye vifaa achaneni na huyu Dhaifu...
Vituko vya CCM wilaya ya mjini
Na Abdallah Vuai,
Wiki hii kuna kituko cha aina yake kimetokea ndani ya Chama cha Mapinduzi upande wa Zanzibar kwa wanachama wachache wa Chama hicho Wilaya ya...
DEMOKRASIA KITANZINI
Msomaji Raia |Toleo la 251 |25 Jul 2012
HALI ya demokrasia hapa nchini iko njiapanda. Pamoja na tambo za Rais Jakata Kikwete, chama chake na serikali yake kuwa Tanzania...
HISTORIA ya mabunge duniani inaliumbua bunge la Jamhuri. Ni kwa sababu, bunge hili limegeuza taasisi ya Bunge kuwa sehemu ya kuminya demokrasia. Limejisahau. Limejifunga mnyororo.Ni tofauti na...
Na Mwinyi Sadallah
29th July 2012
Mwanasiasa Mkongwe Zanzibar Ali Ameir Mohamed, amesema wakati umefika kwa viongozi wa juu wa Chama Cha Mapinduzi kuwachukulia mapema hatua...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano imekuwa ngumu sana kusoma alama za nyakati kuhusiana na maswala mengi sana muhimu na mwishowe kujikuta ikijadili namna gani itaokoa wahanga wa maafa ambayo...
katika marais wote waliopita nchini ni kikwete ndiye anayeoneka kuendeleza demokrasia nchini, amevipa uhuru mkubwa vyombo vya habari uhuru mkubwa wa kukosoa serikali yake, maandamano yameruhusiwa...
Habari nilizozipata toka Zanzibar kwa Ndg yangu aliyesafiri leo asubuhi toka Dar es salaam kwenda Zanzibar ni kwmb wakati wakiwa wanakatiza maeneo ya Chumbe kuingia Fumba waliona maiti mbili...
nimemuona mtaatiro julius wa cuf kwenye habari akiviagiza vyama vya ccm na chadema kuwachunguza wabunge wao wanaodaiwa kula rushwa katika sakata la tanesco.cha kujiuliza hapa ni kuwa huyu bwana...
Ndugu zangu, kwa siku za karibuni inaonekana wazi baadhi ya watu na viongozi wa serikali wamekuwa wakigwaya kwenda kutibiwa Muhimbili. Kwa tetesi zilizopo licha ya baadhi ya askari na watu wa...
Zitto Kabwe alikuwa Upande Wa Mhando Tanesco na Kusema Maswi amekiuka Kanununi Za Manunuzi Kama Lowasa na hapa Maswi angeangushwa .
Mbatia (Mteule wa Rais Kikwete)alilazimika Kuungana na...
Wadau nimepata taarifa kutoka Zanzibar, hali mbaya. Wazanzibari hawataki muungano kabisa, wametawanya mabango kila sehemu wakitangaza kwamba hawataki muungano.
Waarabu wa Omani ndio...
Ndugu wana JF kama mnakumbukumbu nzuri basi kumbukeni ile ndege iliyokamatwa na silaha za kivita mwanza mgombea mmoja wa urais huenda akachafukamo. Nakuja na habari kamili.
Jamani mie nimecheka hadi mbavu zinaniuma. Lema amenipa Raha sana kwa majibu yake. Hebu soma nawe uongeze siku za kuishi kwa kucheka na kupanua mapafu yako.......
Lema, wakili ‘wapigana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.