Serikali na nchi kwa ujumla inapitia katika kipindi cha mpito: makinda

kibaja

Member
Jun 5, 2012
98
123
Wakuu kauli ya makinda ya leo kuwa serikali na nchi kwa ujumla inapitia katika kipindi cha mpito binafsi naiona kama ina utata kidogo maana inaelekea wanafanya kila jitihada kuzuia mabadiliko lakini wameshindwa.

Kimsingi kauli hii inaashiria mambo kadhaa ambayo naona inaleta mashaka kidogo hasa ukizingatia kuwa hawa jamaa wanaweka mikakati kila siku ya kumaliza mabadiliko nchini.

Tafakari.

Kibaja
 
Hata kama ni kipindi cha mpito, unless something substantial kinafanyika kipindi hichi kitakuwa worse kama sio permanent!

Its time for action, not mare words anymore! Enough is enough!
 
Spika siyo spika wa bunge bali ni Spika wa CHAMA na SERIKALI.
 
hii sentesi ilikuwa tata, anyway kiwe cha mpito au cha kudumu, waache ukweli uanikwe hadharani.
 
Serikali ipo kwenye "labor pain". Inatarajiwa kujifungua kitoto dhaifu sana kitakachokuwa chama CCM cha upinzani na mama yake (CCM mama) itafariki baada tu ya kujifungua. So she speaks well kwamba wanapita katika kipindi kigumu cha mpito.
 
Mi sasa hivi sina imani na ccm wala upinzani wote wezi wote wanaangalia maslahi yao nilikua na high hopes kuhusu cdm bt hamna kitu not anymore
 
makinda hana utashi wa kuhusisha mdomo wake na kichwa chake..mwenye nchi kasema ni upepo tu unapita
 
Serikali ipo kwenye "labor pain". Inatarajiwa kujifungua kitoto dhaifu sana kitakachokuwa chama CCM cha upinzani na mama yake (CCM mama) itafariki baada tu ya kujifungua. So she speaks well kwamba wanapita katika kipindi kigumu cha mpito.

Pamoja na kuwakandamiza kote bungeni walao hatimaye amekiri kuwa serikali haipumui. Kinachonishangaza ni kwa jinsi anavyoamini bado kuwa style yake ya udikteta dhidi ya upinzani unaisaidia serikali huku akikiri kuwa hawapumui!
 
Ah wapi wewe wala hujawahi kuwa chadema wewe! Mpambanaji gani anakata tamaa haraka hivo? Unafikiri Chadema ni malaika kwamba hwakosei? wewe gamba tu. Tunachotaka hapa ccm iondoke whether chadema watachukua nchi au chama kingine lakini tumeshaichoka ccm, tunataka mabadiliko!
Mi sasa hivi sina imani na ccm wala upinzani wote wezi wote wanaangalia maslahi yao nilikua na high hopes kuhusu cdm bt hamna kitu not anymore
 
Mi sasa hivi sina imani na ccm wala upinzani wote wezi wote wanaangalia maslahi yao nilikua na high hopes kuhusu cdm bt hamna kitu not anymore

Wewe tena? Mbona msimamo wako unajulikana wazi!hujawahi kuwa rafiki wa chadema wewe ni petro msaliti chama.
 
Back
Top Bottom