Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

CCM kiboko. Tambwe Hiza kimya na cheo chenyewe nasikia kilikuwa cha msimu. Yu wapi?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna taarifa nimezipata muda huu kwa njia ya simu, kuwa CCM wameamua kuchakachua maoni ya Katiba Mpya kwa kusambaza Fomu kwa Wanachama ambao wanajua wataficha siri hasa viongozi katika matawi ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Katika kuwania kiti cha uspika ushindi wa Makinda ulisemekana kufadhiliwa zaidi na nguvu za mafisadi, ambao waltumia kila njia kumzima Samweli Sita. Na kwamkakati wao mafisadi waliweza kuhonga CC...
0 Reactions
3 Replies
899 Views
  • Closed
Kutoka maeneo mbalimbali ya nchi walimu wamekataa kushiriki mgomo ulioitishwa na CWT kutokana na kesi iko mahakamani. Shule nyingi zimeonekana kuendelea na shughuli kama kawaida. Wakati huo huo...
0 Reactions
21 Replies
46K Views
jamani huku kwetu tanesco wamekata umeme so we cant accsess tbc! atakaye pata hotuba ya wizara ya afya kambi ya upinzani aturushie jamvini
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama kweli wabunge wa bunge la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania wanajali maslah na wapo kwaajili ya kutetea haki za wananchi wao. Tunaomba jumatatu 30/07/2012. SPIKA Asimamishe shughuli zote Na...
2 Reactions
39 Replies
3K Views
majirani zetu wanapatiwa nguvu mpya za kijeshi sisi tunaishia kupewa vyandarua tena hata kwenye vitanda havitoshi. wahusika hapo juu mna taarifa?? By ADAM ENTOUS...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
SAKATA la kutekwa, kuteswa na kuumizwa kwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari nchini, Dk. Steven Ulimboka, na mgogoro wa madaktari ni miongoni mwa mambo yanayotarajiwa kuliteka Bunge leo. Suala...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Sunday, 29 July 2012 14:47 Masoud Sanani VIJANA na wananchi wenye umri mkubwa (vikongwe) wa Mkoa wa Kusini Pemba wengi wao wameonyesha kuwa hawataki Muungano uliopo sasa nchini Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kimsingi, chama chochote cha wafanyakazi kinapaswa kusimamia, kwa ukamilifu na kwa ufanisi mkubwa, maslahi ya wanachama wake. Hakipaswi kufungamana na serikali na kufumbwa mdomo na hivyo basi kuwa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Nini kinachotisha zaidi ya Mungu? Nini kinachokwamisha au kuwezesha zaidi ya Mungu? Binadamu si kitu.Hatupaswi kuogopana. Issue ndogo tu ya kutaja majina ya Wa-Zitto waliopokea rushwa ndio...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
kwamba wafanyakaz mkiungana hamtapoteza chochote isipokuwa minyororo yenu!maneno haya yalitamkwa na hayati baba wa taifa siku ya mei mosi 1995 kule Mbeya. Tafakarini then chukueni hatua!
0 Reactions
0 Replies
967 Views
Hii ndio hali ilivyo katika wodi za Muhimbili, pamoja na serkali kudai huduma kurejea kama kawaida. Waandishi wa habari wanaweza kwenda kuwahoji wagonjwa wodi za SewaHaji ground floor. Hapa ni...
12 Reactions
158 Replies
13K Views
Are the law makers knowing if every person cut from employment deserves? The law demanding one out of employment to claim for his terminal benefits till 55 years of age gives a chance for those...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Waheshimiwa wa jamii foram kwa yeyote atakeyezipata hotuba za wizara ya zfya na ustawi wa jamii, ya selikari na upinzani aziweke hapa ili tuzisome maana asubuhi hii majukumu yamekuwa mengi sana
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mahakama ilitoa amri kwa madaktari wote kurudi kazini ile amri ilipuuzwa na madaktari sasa mahakama mpaka leo imechukua hatua gani? Au ilikuwa inafanya kazi za siasa? au ni muhimili unaopaswa...
0 Reactions
2 Replies
874 Views
PIUS Msekwa, makamu mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), anatuhumiwa kumkingia kifua Mwenyekiti wa Halmashauri ya Karagwe mkoani Kagera, Kashunju Runyogote. Msekwa anatuhumiwa kuamuru...
3 Reactions
6 Replies
3K Views
Wanajamvi kwa wale wanaofuatilia vikao vya bunge, hasa katika Bunge hili chini ya Spika Makinda, Naibu Spika Ndugai na vijana wao, Wenyeviti Mabumba na Mhagama, kumeibuka tatizo ambalo kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
FRANCO NERO KABIGI; ALIKUWA DREVA WA KWANZA WA MZEE MTEI MUASISI WA CHADEMA ALIPOANZA MBIO ZA KUANZISHA CHAMA NA PIA MFUASI MKUBWA WA CHAMA HICHO MPAKA ANAFARIKI MAJUZI HAPA DAR, LEO AMEZIKWA KWA...
13 Reactions
71 Replies
8K Views
Alikuwa anatikisa IRA leo kwa baba Mchungaji Msigwa!
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom