Serikali yatishia walimu watakaogoma, wasambaza form walimu wajaze kama wanataka mgomo au kazi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali yatishia walimu watakaogoma, wasambaza form walimu wajaze kama wanataka mgomo au kazi!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by master gland, Jul 29, 2012.

 1. m

  master gland Senior Member

  #1
  Jul 29, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Katika hali ya kustaabisha serikali kupitia kwa maafisa elimu wilaya wamesambaza form zinazowataka walimu wajaze kama wanaunga mkono mgomo au la.

  Huku ni kujikanganya kwani chombo pekee kisheria chenye mamlaka ya kuwauliza wafanyakazi kama wanataka mgomo au la ni CHAMA CHA WAFANYAKAZI KILICHOSAJILIA NA CWT WANAKIDHI KATIKA HILO.

  To my fellow teachers:

  Tusikubali hata kidogo kupewa kitisho hiki ambacho naweza kuita cha kijinga na DHAIFU letu liwe moja TUSIENDA KAZINI JAPO HIZI SIKU TANO TUWAPE MUDA WA KUSHUGHULIKIA MADAI YETU LA SIVYO HAWA WATATUTAKA TULIPIE KODI HATA HII PUMZI YA BURE TUIVUTAYO

  Source: AFISA ELIMU MZALENDO NA MWENYE MACHUNGU NA WALIMU KWA NAE NI MWALIMU ALIYEPANDA CHEO HIVI KARIBUNI
   
 2. d

  dada jane JF-Expert Member

  #2
  Jul 29, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Serkali sasa inapaka rangi upepo.
   
 3. Micro E coli

  Micro E coli JF-Expert Member

  #3
  Jul 29, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 943
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Jk anazuia mvua ya mawe kwa kiganja cha mkono wakuu.
   
 4. kibogo

  kibogo JF-Expert Member

  #4
  Jul 29, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 9,477
  Likes Received: 784
  Trophy Points: 280
  Kaaaazi kwelikweli uongozi mgumu maamuzi mengine bwana sijui wanatumia nini kufikiri, hivi hii si kuendelea kufuja fedha za umma itabidi watumishi wa idara za elimu nchi nzima watumie mafuta na posho kupeleka hizo fomu hadi shule za vijijini ndani kabisa bajeti hiyo inatoka wapi tunaomba CAG fuatilia hili.
   
 5. M

  Mnyakatari JF-Expert Member

  #5
  Jul 29, 2012
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,555
  Likes Received: 485
  Trophy Points: 180
  Serikali ina uzoefu na walimu inawajua kuwa wengi ni waoga na wasiojielewa ni that's why wanatumia njia za kitoto na kijinga kama hizo.Walimu wengi waoga na wakisikia serikali imesema hawana tena la kujiuliza zaidi ya kufuata serikali imesema nini.
   
 6. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #6
  Jul 29, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Mwalim anaweza akaingia darasan akauza chai dk 80,mtamfanyaje????
   
 7. S

  Salary Slip JF-Expert Member

  #7
  Jul 29, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 24,957
  Likes Received: 37,505
  Trophy Points: 280
  Hizo form bila shaka walishaziandaa mapema kwani walijua nini kinafuata.
   
 8. Kiwi

  Kiwi JF-Expert Member

  #8
  Jul 29, 2012
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  Mahakama ilishawapa uhuru walimu kupitia CWT kufanya maamuzi kuhusu mgomo, baada ya kushindwa kupata ufumbuzi wa matatizo yenu. Sasa mkikubali kuyumbishwa na kutishwa mtakuwa si mnajiangusha ninyi tu, bali mtatuangusha watanzania wote tulio nyuma yenu.

  Mwalimu, kama daktari, ni mtu muhimu sana kwenye jamii yeyote ile. Hakuna maendeleo yoyote yatakayokuja kama watu ni wajinga, na kama hawana afya bora. Hakuna hata mtu mmoja anayeweza kulipinga hilo, na hakuna kiasi chochote cha mshahara ambacho ni stahili kupewa walimu na wafanyakazi wa huduma za afya kama madaktari na manesi. Anayeendelea kudharau fani hizo mbili (kama inavyoonekana kufanyika nchini kwetu) ajue anaichimbia kaburi jamii nzima ya watanzania.

  Walimu kama madaktari, wanadai mazingira bora ya kufanyia kazi. Inaumiza sana kwa mwalimu kuona mwanafunzi wake anafeli, kama inavyoumiza kwa daktari kupoteza mgonjwa, wakati anafahamu ya kuwa ujuzi anao wa kumsaidia, ila hana vitendea kazi. Mwalimu naye anajua wazi ya kuwa anaweza kufanya kazi nzuri zaidi kama akiwezeshwa. Mpatie nyenzo za kazi mfano vitabu vya kiada, idadi inayostahili ya wanafunzi darasani, madawati ya wanafunzi, mshahara unaoeleweka, kama hana mahali pa kuishi mpatie nyumba n.k. Leo hata hivyo hapatiwi, na anapodai anaambiwa hastahili hata kuvidai, wakati wengine wanagawana posho na nyongeza za mishahara.

  Kutishana hakutatatua matatizo ya Tanzania. Wanaofikiria watatuzima kwa vitisho vyao wakumbuke walizaliwa hawajui kuandika 'a'.
   
 9. tonnyalmeida

  tonnyalmeida JF-Expert Member

  #9
  Jul 29, 2012
  Joined: Feb 1, 2012
  Messages: 226
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  UOGA ni jambo la kihisia (EMORTIONAL) na linamda,pale unapo muonea mtu kwa mda mrefu moyo wake unaota usugu.. Ulishawahi kumfungia paka chumbani na ukamsumbua kwa mda mrefu huku hapati pa kutokea? mwisho atakurukia na kukurarua. Ndicho kilichoanza kutokea saizi kwenye Hii nchi. Watu wameanza kufikia Hatua za mwisho za uvumilivu wao.. SERIKALI HAINA CHA KUFANYA TENA ISPOKUWA KUJIREKEBISHA.
   
 10. t

  thatha JF-Expert Member

  #10
  Jul 29, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Walimu wote kesho hakuna kwenda kazini tuone hizo fomu watampa nani ajaze labda wawaletee majumbani kwenu,na mkipewa mgome kujaza.
   
 11. Aggrey86

  Aggrey86 JF-Expert Member

  #11
  Jul 29, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 856
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Serkal,inabidi iwashughulikie tu walimu madai yao la sivyo walimu wanaweza wakawa wanaripot kazini alf mwisho wa siku tutakuja kuona matokeo ya wanafunzi tu
   
 12. t

  thatha JF-Expert Member

  #12
  Jul 29, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Walimu kesho hakuna kwenda kazini tuone hizo form watampa nani ajaze labda wawafate wenyewe mjumbani kwenu.
   
 13. Nzowa Godat

  Nzowa Godat JF-Expert Member

  #13
  Jul 29, 2012
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 2,630
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Mbona huku vjijini mbozi walimu wa baadhi ya shule za msingi walishaanza mgomo tangu msimu wa mavuno ulipoanza. Wanafunzi ni kwenye vibarua vya kuchuma kahawa, kuchambua karanga, kuchota maji, kufyatua matofali n.k. walimu wanapiga pesa a.k.a mpunga. Wengi mlisikia hata kwenye vyombo vya habari shule kama Igamba shule ya msingi. Haukuwa udaku ni ukweli kabisa.
   
 14. james chapacha

  james chapacha JF-Expert Member

  #14
  Jul 29, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 942
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Hakuna watu waoga kama walimu,kumbuka wenzao waliwahi KUCHAPWA BAKOLA mbona awakugoma?kesho nenda shule iliyo karibu nawe ndio utaamini kama walimu wanamuogopa DC au lah.........
   
 15. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #15
  Jul 29, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Kwahiyo ule mkwara wa 'swala lipo mahakamani' so walimu wasigome, limeshindikana kabisa?
   
 16. n

  nkisumuno JF-Expert Member

  #16
  Jul 29, 2012
  Joined: May 22, 2012
  Messages: 209
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  vitisho hivyo vya akina Mlugo ni vya kitoto na hata hao maafisa elimu wamepewa vyeo kwa kuhangana hawana sifa bali kujipendekeza. Mimi nimegoma na sitaki mtu aje hiyo fomu kwangu nyumbani na nikigundua hilo awe mratibu namwitia watu kuwa mwizi wa kuku.
   
 17. Himawari

  Himawari JF-Expert Member

  #17
  Jul 29, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 2,181
  Likes Received: 663
  Trophy Points: 280
  Dr. Dhaifu kila sekta imekuwa ngumu kumeza! Njia nyeupee quit banaaa unasubiri nini?? Au ndio kama madaktari, mwalimu asiyekubali masharti ya serikali yuko huru kuacha kazi? Nasubiria kwa hamu hotuba yako ya mwisho wa mwezi huu.., sijui safari hii utakuja na lipi au utakuwa safarini Silicon Valley?!
   
 18. B

  Bunyu Senior Member

  #18
  Jul 29, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi hizo fomu kwa Walimu wote + Hao maafisa kuzisambaza,ijulikane watatumia magari kwenda kuzifikia shule. Imeigarimu serikali yetu bei gani?
   
 19. STK ONE

  STK ONE JF-Expert Member

  #19
  Jul 29, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamani mimi ni Mwalimu kabisa....tena mwalimu halali wa serikali...kesho siendi shuleni....kuna gari limepita hapa Mpanda mjini linatangaza kuwa kesho kuna mgomo wa waalimu, na mwalimu atakayekwenda kazini atakuwa AMEJIDHALILISHA mwenyewe....sasa mimi sikubali kujidhalilisha, SIENDI....LIWALO NA LIWE!!!!!!
   
 20. i

  iluminata Member

  #20
  Jul 29, 2012
  Joined: Jul 28, 2012
  Messages: 67
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ningekuwa mwalimu nisingejaza hizo fomu za kichina.. ala!
   
Loading...