Tanesco mna ugomvi na Lowasa?

Mjenda Chilo

JF-Expert Member
Jul 20, 2011
1,467
513
Nikimsikiliza waziri wa A. mashariki akiwasilisha budget yake mara akakaribishwa mkiti wa mambo ya nje ulinzi na usalama atoe maoni ya kamati mara ex ngeleja wakafanya vitu vyao. Kimsingi nilikuwa nimejipanga kusikiliza na hatimae kutathmini level of confidence kati ya mahasimu hawa wawili, actualy nilipenda kumsikia bosi wa Membe na Sita. Ah umeme umerudi na anaewasilisha si EL, sijui nani huyu. Najiuliza El hayupo kwenye kamati hii tena au bado jamaa anaendeleza usmart wake ili asiwe easly compared?
 
Back
Top Bottom