Watanzania tumelogwa na alie tuloga amekufa?! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania tumelogwa na alie tuloga amekufa?!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mohamedi Mtoi, Aug 3, 2012.

 1. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #1
  Aug 3, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  Wakuu.Tangu zimeanza ngonjera za kilimo kwanza sijawahi kusikia kuwa kuna uwekezaji mkubwa wa kilimo kwenye bonde la Mto Rufiji, Naamini Serikali ingekuwa imeaamua kwa dhati ya kuamua kuwaonyesha wananchi dhana ya kilimo kwanza ingetakiwa kuonyesha mfano kwenye Bonde hilo.Soma huu utafiti uliofanyika tangu miaka ya 80 "Rufiji basin is one of the potential areas for the production of food crops in the country, with 60 percent of the land suitable for irrigation. According to a feasibility study done by NORAD in 1980's, if the entire basin was used for Agriculture then, it had a potential to produce enough food crops to feed Tanzania and the rest of Africa. With the advancement of agro-technology since 1980's todate, this statistics is still valid today."Baada ya hapo tujiulize maswali. Je serikali yetu ina nia ya dhati na dhana ya kilimo kwanza kwa kutembea juu ya kauli zake (Walk the Talk) au kilimo kwanza ni dhana ya kisiasa pekee inayo ng'ara kwenye vyombo vya habari pekee (Talk the Talk) lakini maeneo yakiwa yamelala usingizi wa Pono yakisubiria wataalau kutoka nje kuja kuyafanyia utafiti?!
   
 2. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #2
  Aug 3, 2012
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Umerogwa mwenyewe kama mtanzania wa aina yako mie sijarogwa
   
 3. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #3
  Aug 3, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Tatizo kubwa ni Mizengo kayanza Pinda alianza kujiita eti mtoto wa mkulima na kuibuka na mambo ya kitoto liwalo na liwe........
   
 4. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #4
  Aug 3, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  Mkuu Lunyungu!Wakati mwingine kukaa kimnya ni hekima kuliko kudhalilisha U-great thinker wako. Nilitaraji expert senior member kama wewe uonyeshe u-expert wako kwenye kujadali kilichoko katikati ya mistari lakini kwa udaifu ule ule wa waliokuwa wadhaifu umekimbilia kurusha jiwe kizani na kuacha logic between the lines! Safari ni ndefu sana kupata mabadiliko kama great thinker kama wewe una zomoka kama Lusinde wa Arumeru.Back to the point.Tumeakuwa tunaaminishwa kuwa kilimo na uti wa mgongo, kama tayari tuna Bonde ambalo mwenyezi Mungu ametujalia na kuliwekea maji kwa nini tusi onyeshe kwa dhati ya kuonyesha kuwa kweli kilimo ni uti wa mgongo kwa kuwekeza vizuri kwenye bonde hilo?! Dhana ya kilimo kwanza ina mashiko katika hili?
   
Loading...