Kuhusu wanahabari kuigomea serikali na kundamana kupinga Mwanahalisi kufungiwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuhusu wanahabari kuigomea serikali na kundamana kupinga Mwanahalisi kufungiwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Stabilaiza, Aug 2, 2012.

 1. S

  Stabilaiza JF-Expert Member

  #1
  Aug 2, 2012
  Joined: Jul 11, 2012
  Messages: 1,684
  Likes Received: 636
  Trophy Points: 280
  Kuna mambo ya haraka ya kufanya kwa wanahabari wenye uchungu na taifa letu. Kwa kufungiwa gazeti la mwanahalisi ambalo lilikuwa linaanika madudu ya serikali ya Kikwete ikiwemo kutekwa ka Dr Ulimboka wanahabari wanatakiwa kufanya mambo mawili makubwa haraka iwezekanavyo. Moja ni kugoma kuandika habari zote nzuri na taarifa zinazohusu serikali ya CCM na chama cha CCM. Zile habari za kashfa tu za wanasiasa wa CCM na serikali yake ndiyo ziandikwe. Pili ni kufanya maandamano kupinga wanahabari kunyimwa fursa ya kutumia taalamu yao na haki yao ya kuwasiliana kwa uhuru.

  Sababu za kugoma kuandika mambo ya serikali na CCM na pia kuandamana wanahabari kupinga kufungiwa gazeti la Mwanahalisi zipo. Uwezo wa kugoma na kundamana upo na nia ya kugoma na kundamana ipo. Haiwezekani serikali iwachagulie wanahbari nini cha kundika. Hiyo itakuwa siyo undandishi na ukandamizaji wa namna hii haukubaliki. Serikali na CCM wanataka wanahabari waripoti habari kama gazeti la Uhuru, Mzalendo, Habari leo, TBC zinavyoandika? Haiwezekani. Wakati ni sasa kwa wanahabari kuigomea serikali na kuandamana kupinga wanahabari kufungwa vitambaa mdomoni na kupinga kufungiwa gazeti la Mwanahalisi. Mpaka pale serikali itakapo lifungulia gazeti la Mwanahalisi ndiyo wanahabari waanze kuandika taarifa za serikali na habari za serikali. Kwa sasa ziandikwe habari za kashfa za serikali na wanasiasa wa CCM.
   
 2. Mlengo wa Kati

  Mlengo wa Kati JF-Expert Member

  #2
  Aug 2, 2012
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 2,733
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  mhariri mkuu wa Mwanahalisi Said Kubenea elimu yake ni darasa la saba(7)! habari za mwanahalisi ni za kizushi zaidi!
   
 3. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #3
  Aug 2, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,663
  Likes Received: 3,317
  Trophy Points: 280
  Sitakwamini mlengwa kati!!leta ushahidi kama kweli kubenea ni std 7 anayewaumiza vichwa mafisadi wenu,vinginevyo ulale na usiamke tena ngoromiko wee.
   
 4. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #4
  Aug 2, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,951
  Likes Received: 1,276
  Trophy Points: 280
  wanazima moto kwa kutumia petrol!
   
 5. M

  Mjenda Chilo JF-Expert Member

  #5
  Aug 2, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 1,425
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  Tatizo magazeti mtaji wao ni matangazo especialy kipindi hiki cha bunge zile bajeti ndo biashara yenyewe. Sasa watagomeaje mshiko? haiwezekani hiyo ndugu. Serikali ndo dume lenyewe, kilichopo tuende masjid na church tuombe nchi itawaliwe kwa haki na usawa. God be with us.
   
 6. m

  majebere JF-Expert Member

  #6
  Aug 2, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 4,520
  Likes Received: 568
  Trophy Points: 280
  Serikali imetupunguzia uchafu kwa kulifungia hili gazeti. Inatakiwa tuwashukuru
   
 7. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #7
  Aug 2, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,077
  Likes Received: 4,661
  Trophy Points: 280
  a DEAD WALKING MAN is talking.... ur allowed... short minded...
   
 8. Makala Jr

  Makala Jr JF-Expert Member

  #8
  Aug 2, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 3,397
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  ...upuuzi wa ccm! Wamepuuza tayari umuhimu wa magazeti yanayoandika habari za uchunguzi.Raha yao kuona watu wanadumaa kiakili kwa kusoma magazeti ya udaku zenye picha za wasichana wanaovaa vic..pi
   
 9. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #9
  Aug 2, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Wanahabari hawana haja ya kuandamana, huwa wanatumia kalamu zao kupambana na anayeonekana adui yao. Kupambana na wanahabari ni sawa na kujichimbia kaburi, hasahasa pale mpambanaji anapokuwa na mapungufu/ dhaifu.
   
 10. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #10
  Aug 2, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mkuu sijakuelewa!
   
 11. sembuli

  sembuli JF-Expert Member

  #11
  Aug 2, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 762
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  kule china mtu mwenye mawazo kama wewe ananyongwa kwa kuwa ni hasara na laana kwa taifa !
   
 12. t

  thatha JF-Expert Member

  #12
  Aug 2, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  kama std 7. itabidi magazeti yote yawe na std 7. maana std 7 ya kubenea inafanya kazi kuliko profesa anaetetea rushwa na kula rushwa
   
 13. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #13
  Aug 2, 2012
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Bora Kubenea kuliko watu kama Mwakyembe ambao elimu yao haina faida kwa Taifa .Kubenea he just came back from Holland anakosoma MBA yake Chuo Kikuu cha Wagenigen unaongea ukiwa umechomekwa kitu nini wewe mjinga
   
 14. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #14
  Aug 2, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  huyu mlengo wa kati ana....................
  unamjua kubenea wewe.
   
 15. Domy

  Domy JF-Expert Member

  #15
  Aug 2, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 4,702
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  lazima umetumwa na akina mwigulu **** mkubwa ww
   
 16. t

  thatha JF-Expert Member

  #16
  Aug 2, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Kumbe serikali ya CCM kuna mazuri inayafanya? mbona huwa hayaripotiwi? Kubenea alishakandia vyombo vingine kupitia BBC kuwa haviwezi kuandika habari za kiuchunguzi, iweje viandamane kupinga Kufungiwa kwa mwanahalisi?
   
 17. t

  thatha JF-Expert Member

  #17
  Aug 2, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Naona bora aliyetumwa na wa chama tawala, nina wasi wasi kuwa Mwanahalisi, CDM na wale wanaojiita wanaharakati ni vibaraka wa wazungu. Angalia Kagame alivyokuwa kibaraka wa Wazungu muda mrefu, sasa wamemgeuka.
   
 18. t

  thatha JF-Expert Member

  #18
  Aug 2, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Kubenea is very small organisms (Micro-0rganisms), hata asipomfahamu hakuna atakayeshangaa.
   
 19. m

  mkandala New Member

  #19
  Aug 2, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  inaezekana elimu ni ya darasa la saba... Lakini kumbuka kuna tofauti kubwa kati ya elimu na uwezo wa kufikiri...
   
 20. Kingcobra

  Kingcobra JF-Expert Member

  #20
  Aug 2, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  Short minded, ptuuuuuu!!!
   
Loading...