Mapacha watatu wanaoikosesha raha CCM Arusha

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
View attachment 60644
Kutoka kushoto; Alphonce Mawazo aliekuwa Diwani wa Sombetini Arusha (CCM), Ally Bananga aliekuwa Mjumbe wa Mkutano Mkuu CCM Taifa, Mjumbe na Mwenyekiti wa Mahusiano UVCCM Arusha, na wa mwisho ni James Ole Millya aliekuwa Mwenyekiti wa UVCCM Arusha.

View attachment 60645
James Ole Millya akiongea katika uzinduzi wa tawi la Elerai-Mbauda, jana. Tawi hilo lilifunguliwa na mwenyekiti wa CHADEMA Arusha, Samson Mwigamba mara baada ya kumalizika kwa mkutano wa hadhara eneo la Mnadani-Mbauda ambapo viongozi na wanachama wa CCM walihama chama chao na kujiunga na CHADEMA akiwemo Mwenyekiti wa jumuia ya Wazazi toka Kijiji cha Kimyaki, Kata ya Ngaramtoni na Mzee Abdalah Omary aliekuwa nguzo ya CCM eneo la Sombetini.

View attachment 60646
Ally Bananga akiwaimbisha Peoplez Power wananchi waliojikusanya eneo la Mianzini kusikiliza hotuba za viongozi wa CHADEMA mwezi uliopita

"anaeweza kuzikuza picha afanye hivyo tafadhali"
 
Back
Top Bottom