Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mh Spika Toka Jana ameanzisha kamchezo ka ajabu mara baada ya maswali na majibu anajifanya anakazi nyingine na kumuita Mwenyekiti wa Bunge kusimamia Bunge. Ila Sasa hivi ameanzisha katabia ka...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
RAIS Jakaya Kikwete amevunja ukimya kwa kusema kwamba hakuna rushwa kwenye kashfa ya ununuzi wa rada kutoka nchini Uingereza. Ingawa Rais Kikwete hakutaja jina, lakini kwa kauli hiyo ni dhahiri...
0 Reactions
5 Replies
961 Views
Katika Gazeti la leo la Majira kuna ujumbe unaodaiwa kuandikwa na Mh. ZZK kwenda kwa Katibu Mkuu wa Nishati na Waziri Mhusika wa Wizara Bw. Maswi na Prof. Muhongo. Naomba kuunukuu “Maswi...
5 Reactions
140 Replies
13K Views
Mkuu wa wilaya aliyeletwa Igunga baada ya kuhamishwa kwa Fatuma Kimario ameonja joto la mageuzi wilayani Igunga, aliitisha mkutano wa Hadhara mnamo tarehe 27.07.2012 siku ya ijumaa akiwa na lengo...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Je hii ni sawa? yeyote mwenye hiyo sheria iliyotumika kusetisha fao la kujitoa airushe hapa JF pliz TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUSITISHWA KWA FAO LA KUJITOA Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
HISTORIA YA WIZARA Wizara hii ni moja ya Wizara kongwe katika muundo wa Serikali tangu Uhuru mwaka 1961. Jina na muundo wake vimekuwa vikibadilika. Baada ya Uhuru Serikali iliunda Wizara mbali...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mahakama mkoani Iringa imetoa uamuzi kuwa bwana Joseph Mungai aliekuwa akishiriki kinyanganyiro cha ubunge ktk jimbo moja mkoani Iringa kuwa ana kesi ya kujibu juu ya tuhuma za kujihusisha na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Madiwani washtushwa upotevu wa ‘Shangingi’ la halmashauri Send to a friend Wednesday, 01 August 2012 21:13 Ester Sumira,Geita MADIWANI wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato,mkoani Geita...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nilisikiliza kiasi hotuba ya rais wa JMT brother JMK jana! Alijaribu kuremba sana ingawa kwa kiasi kikubwa hakuweza kuridhisha hadhara ya Watanzania kuhusu matatizo mbalimbali. Labda niseme tu...
2 Reactions
33 Replies
3K Views
Karibu tena baba baada ya kuugua zaidi ya mwaka.... Mungu ni Mkubwa na azidi kuaminiwa na kuabudiwa. Hivi punde, Samuel Sitta ameomba mwongozo wa Spika na kuomba Professor MWandosya ajitambulishe...
1 Reactions
61 Replies
6K Views
WANAJF, Chama Kipya chenye usajili wa Muda CHAUMMA kimeendelea kujikusania wafuasi na wanachama wengi Dar Es Salaam na mikoani. Kwa Dar Es Salaam pekee wiki ya kwanza wanachama zaidi ya 45,000...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Jamiiforums, Hivi mtu akitaka kutoa maoni yake kwa tume ya katiba online atatakiwa afanyeje? Tume ya Warioba ina website kwa ajili hiyo? Mimi kuna jambo linanipa shida sana. Leo mtu kaenda...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kila siku viongozi wetu wanatuimbia wimbo mzuri ya kuwa miundombinu ya nchi iko imara na ya kujivunia. Sasa ktk hali ya kawaida tukiangalia shirika la reli linakatisha tamaa hali yake sio nzuri...
0 Reactions
0 Replies
949 Views
Kutokana na mivutano ninayoiona kwa sasa, naamini serikali ya chama kimoja itatawala kwa shida sana, kutakuwa na hujuma mbalimbali toka vyama vingine kama inavyotokea sasa. Watanzania lengo ni...
0 Reactions
1 Replies
912 Views
Wana JF Taarifa nilizonazo ni kwamba JK amemteua Bw. Assah Mwambene, Afisa Habari wa wizara ya mambo ya nje kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO. Mwambene anachukua nafasi ya Clement...
1 Reactions
43 Replies
8K Views
Kwa kweli nimeangalia bunge na kugundua halina maana yoyote na haliisaidii au kuisimamia serikali.wabunge wako kishabiki zaidi wanaboa sana! Halina maana hivyo livunjwe rasmi na tuitishe uchaguzi...
1 Reactions
152 Replies
14K Views
SHIRIKISHO la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (Tucta) limeandaa maandamano ya amani kupinga mabadiliko ya kupitishwa kwa sheria ya marekebisho ya mifuko ya Hifadhi ya Jamii (SSRA). Maandamano hayo...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Najua mnashangaa, lakini jiulizeni; inawezekana vipi? Nasema waalimu walianza mgomo zaidi ya miaka10 ilopita kwa kupima mambo yafuatayo;- 1. Pamoja na kuongezeka idadadi ya shule na wanafunzi...
0 Reactions
1 Replies
819 Views
Mtukufu Rais wetu. Mlipopanda ndege mwaka 1995 kwenda Dodoma kurudisha fomu ya wewe kuomba uteuliwe kuwa mgombea urais, mlionekana bado ni vijana. Sababu ilikuwa ni wote wewe pamoja na Laigwenan...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Wanajamvi mimi haya mambo yananipa wakati mgumu kuelewa, kabla na baada ya uhuru tulikuwa wananchi na serikali yao tulikuwa kitu kimoja na sote tulikuwa na adhima ya kupigana na maadui watatu...
0 Reactions
0 Replies
712 Views
Back
Top Bottom