Hivi mnatuongozaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi mnatuongozaje?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sungurampole, Aug 3, 2012.

 1. Sungurampole

  Sungurampole JF-Expert Member

  #1
  Aug 3, 2012
  Joined: Nov 17, 2007
  Messages: 987
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Watanzania tunayashuhudia haya yakitokea kila kukicha. Nakumbuka maneno ya Mwalimu yaliyosema "Yawezekana sisi ni wajinga hatuwezi kuongoza lakini hata kuuliza hivi jamani mnatuongozaje?"

  Leo tuna madaktari waliorudishwa kazini na mahakama. Tuna waalimu waliorudishwa kazini na mahakama. Kesho sijui mahakama itawarudishwa nani kazini labda wote tutakapoanza mgomo kupinga sheria mpya ya Mifuko ya hifadhi ya jamii.

  Nashangaa kwa nini migodi haijaenda mahakamani kuzuia mgomo unaoendelea.


  Yote haya yanatufanya tujiulize "Hivi mnatuongozaje?
   
 2. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #2
  Aug 3, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,784
  Likes Received: 2,392
  Trophy Points: 280
  Swali rahisi kwa rais,yeye na mke watoto saba akilipwa sh 240000 bila makato ataishi mwezi mzima?
   
 3. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #3
  Aug 3, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  We Mkoritho tulia acha kupayuka
   
 4. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #4
  Aug 3, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,358
  Trophy Points: 280
  kidikteta...akiingia madarakani kwa kalamu atatoka kwa bunduki
   
 5. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #5
  Aug 3, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  hapa mkuu hatuongozwi.

  tunatawaliwa kimabavu na mkoloni mweusi.
   
 6. t

  thatha JF-Expert Member

  #6
  Aug 3, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Kwani kazi ya mahakama ni nini , ulifikiri hakuna sheria ya kumbana mfanyakazi? Mahakamani anasimama mtu yeyote mwizi, jambazi, mwalimu, Polisi, Waziri ili mradi tu umevunja sheria.
   
 7. t

  thatha JF-Expert Member

  #7
  Aug 3, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Ataishi , ila kwa tabu , kwani 240000 ni maleria au ukimmwi?
   
 8. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #8
  Aug 3, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Ndo tatizo la kua na rais ambae alichaguliwa na kura za kuchakachuliwa na sio kura halisi za wananchi ni kama anatunyanyasa kwa kua watanzania hawakumchaguaga so anatulipizia kisasi
   
Loading...