Mheshimiwa Mnyika Hongera sana tumeona dalili za kupata daraja huku kwetu Kimara Suca Golani. Kwa hilo tunakushukuru ila ombi letu watu wa Golani tunaomba daraja liishe jamani isiwe tena...
Leo katika kipindi cha maswali na majibu kwa waziri mkuu bungeni, waziri mkuu aliharalisha wakuu wa mikoa na wilaya kuanza kufanya kazi za kukiimarisha chama hasa katika majimbo ambayo...
Kada wa chama cha mapinduzi na mwanasiasa mkongwe nchini Prince Bagenda amekishambulia chama cha Demokrasia na Maendeleo-CDM kwa operesheni yake ya M4C inayotishia uhai wa CCM.
Katika makala yake...
Ni siku chache tokea wakuu wa wilaya walipokula kiapo cha uaminifu wa kuwatumia wananchi wote pasipokujali itikadi za wananchi husika. Cha kushangaza, leo hii Waziri mkuu...
Kutoka Bungeni jioni ya leo Wabunge wa CCM, Mh. Serukamba na Mh. Olesendeka wamepigania vikali hoja ya kupunguza muda wa awali kwa kodi ya uchakavu wa magari toka nje ya nchi toka miaka 10...
Baada ya kutembelea waathirika wa Mafuriko huko Kilosa akiwa katika Operesheni Sangara inayoendelea katika Mkoa wa Morogoro, Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Wilbrod Slaa amemtaka Waziri Mkuu kutoa...
Fredy Azzah, Dar na Venace George, Kilosa
SERIKALI imesema itafanya uchunguzi juu ya baadhi ya vyama vya siasa na wanasiasa wanaodaiwa kupata fedha chafu kutoka kwa taasisi na watu binafsi...
JUMATANO, AGOSTI 15, 2012 06:08 NA AZIZA HASSAN, DAR ES SALAAM
MJUMBE wa Mkutano Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Godfrey Chikandamwali, amejivua gamba. Wakati wa...
Wana Jamvi
Ninasikitika sana na madudu ya TANESCO; kwa kweli Wabunge waliomuunga Mkono Waziri wa Nishati na Madini nawapa pongezi. Wabunge hawa walitoka kwenye vyama vyote; na walisimamia maslahi...
By Fumbuka Ng'wanakilala | Reuters, DAR ES SALAAM | Fri Aug 17, 2012
Tanzania intends to cancel its contract with a Dubai-based shipping agent, saying the company reflagged Iranian ships with the...
Mimi naamini Hawa watu 3 ni utatu mtakatifu wa CHADEMA; wakifanya kazi kwa ushirikiano CCM hawawezi kutamba 2015. watachakazwa vibaya! Ndo maana kuna juhudi za kuwagombanisha! Nawakilisha
UPDATED...
IJUMAA, AGOSTI 17, 2012 07:30 NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
*Makampuni matatu makubwa yahusishwa
*Mbunge wa CCM ashiriki mchezo mchafu
MPANGO wa Serikali wa kudhibiti bei ya mafuta kupitia...
lhamisi, Agosti 16, 2012 09:55 Na Mwandishi Wetu, Dodoma *Awataka wakuu wa idara, wananchi wawataje
*Asisitiza watachukuliwa hatua kali za sheria
RAIS Jakaya...
Licha ya mkwala mkubwa uliopigwa na serikali ya Tanzania kwa Malawi bado ndege zao zinaendelea na utafiti kama kawaida ndani ya eneo la ziwa.Wananchi kuzunguka ziwa wameanza kuingiwa hofu kuwa...
....Akihairisha kikao cha bunge leo, spika wa bunge amesema kuwa ni marufuku mbunge yoyote kuzungumzia hoja ya wabunge kupokea rushwa majimboni au nje ya bunge kwasababu hoja hiyo ipo kwenye...
Malawi is known as the Warm Heart of Africa because of its peace and tranquility but the current diplomatic row with her neighbour Tanzania has created panic among its people, particularly those...
Monday, August 6, 2012
JUVICUF waionya JUVICCM na BAVICHA kutotumikia matakwa ya Mafisadi wa vyama vyao.
Naibu katibu Wa Jumuiya Ya Vijana
CUF(JUVICUF)Bwana.Thomas Malima
Jumuiya ya...
John John Mnyika umeonyesha umahiri mkubwa katika kuchangia mijadala na kutoa hoja binafsi bungeni, na hasa katika kikao hiki kinachokaribia kwisha. Sikushangaa kwamba michango hiyo na hoja hizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.