Wana-JF
Kwenye Makutano Jumamosi hii atakuwepo katibu wa itikadi na uenezi wa CCM Nape Nnauye na baadae mkurugenzi wa Clouds Media Group Ruge Mutahaba.
Moja ya vitu atakavyoiongelea Nnape ni...
Interest in leadership increased during the early part of the twentieth century!
Early leadership theories focused on what qualities distinguished between leaders and followers, while subsequent...
NEWS
An oil rig at Ngamia 1 where Tullow Oil Company is exploring oil. Should there be instability after elections, executives say onshore oil exploration activities will be most affected...
Kwa watu wengine inaweza kuwa kama tuko ndotoni lakini huwezi kuamini kama nchi hii kuna watu wanaishi kama wakimbizi .Inasikitisha sana kuona kiongozi anaamuru polisi kuchomea wananchi nyumba zao...
Katika manispaa ya Musoma watu wanaofanya zoezi la sensa wameambiwa kuwa watawaendeshea semina kwa ajili ya kufanya zoezi la usajili wa makazi huku mkataba wa mwanzo...
Jioni hii wabunge wa CCM ambao ndio wengi wamekataa pendekezo la Mbunge wa upinzani Wenje la kukataa ongezeko la gharama za simu kwa vile limetoka kwa mpinzani.
Serikali ya CCM inataka tutoboke...
Kauli iliyotolewa na Membe na Lowasa kua Tanzania ipo tayari kuingia vitani na Malawi ina zidi kuwaumbua wawili hawa
Mwanzoni ilionekana kama vile Malawi wamekaidi makubaliano yaliyowekwa na...
m a new comer but hop iwill gate a good coparation, Ihave a simple question whats wrong, because every one in his/her contribution concerning new contitution talking about Madaraka ya rais iv its...
MWONGOZO KUHUSU UTARATIBU WA WATANZANIA WANAOISHI UGHAIBUNI KUSHIRIKI KUTOA MAONI YAO KUHUSU UPATIKANAJI WA KATIBA MPYA.
Kwa kuwa mchakato wa kupata Katiba Mpya ni utaratibu unaosimamiwa na...
Na Juma Mohammed,MAELEZO Zanzibar
Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi imejadili majina ya wanachama watatu wanaowania kuteuliwa na Chama hicho kwa ajili ya kinyanganyiro...
Ndugu Watanzania mimi nilisikitishwa sana na Kauli za Waziri Mkuu Mizengo Kayanza Peter Pinda kuwa Sera ya Serekali ya CCM ni kupita katika majimbo ya Wapinzani na hata majimbo yao kuhakikisha...
Huku akijua kabisa kuwa idadi ya wabunge walioitikia hoja ya mheshimiwa wenje ya kutaka gharama za malipo ya muda wa hewani kubaki kama awali ilikuwa kubwa, mama Makinda alidai kuwa idadi ya...
Ifikie mda sasa watanzania tuweke longo longo pembeni na mabishano yasiyo na msingi wa kuijenga nchi yetu. Nchi yetu ya Tanzania imebarikiwa sana tena sana. Madini ya kumwaga ikiwemo gesi asilia...
Kuna mtanzania mmoja ananiambia Chama Tawala kiliahidi maisha bora kwa kila mtanzania. Gharama za maisha zimepanda, Gharama za usafiri juu. Hata mayai ya kienyeji na yenyewe juu yani yai moja mia...
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Jaji Werema alimjibu Mnyika bungeni kuwa bunge halina nafasi katika kushughulikia mgogoro kati ya serikali na walimu kwa kuwa kwa kufanya hivyo itakuwa ni kuingilia...
Kiongozi wa upinzani nchini ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA Dr Wilbroad Slaa amefanyiwa hujuma kubwa mkoani Morogoro kwa kufukuzwa chumba cha kulala wageni...
aitaka serikali ishuhulikie matatizo isikimbilie mahakamani, migomo bado ipo
asema haiwezekani baba kugombana na mama na watoto halafu akawa wa kwanza kukimbilia polisi
Asema ukificha maradhi...
kwa wale tulioko maeneo ya airport tuwekeeni updates za mapokezi ya dr ulimboka.
kwa wale mlioko ndani kabisa ya vyombo vya usalama pia msisite kutupa updates za hali ya mambo.
UPDATES:dr...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.