Kutoka Bungeni: Wabunge wapinga ongezeko la kodi ya uchakavu wa magari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kutoka Bungeni: Wabunge wapinga ongezeko la kodi ya uchakavu wa magari

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pinokyo Jujuman, Aug 16, 2012.

 1. Pinokyo Jujuman

  Pinokyo Jujuman JF-Expert Member

  #1
  Aug 16, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kutoka Bungeni jioni ya leo Wabunge wa CCM, Mh. Serukamba na Mh. Olesendeka wamepigania vikali hoja ya kupunguza muda wa awali kwa kodi ya uchakavu wa magari toka nje ya nchi toka miaka 10 iliyokuwa awali na kuwa miaka 8.

  Wakitoa mapendekezo yao Mh. Olesendeka alisisitiza kwa kubakisha ongezeko hili Serikali itakuwa haijawatendea haki wananchi wake, kwa maana hiyo alikua anamuunga mkono moja kwa moja Mh. Serukamba hata ikampasa Mh. PM kusimama na kuondoa utata uliopo hata naye kuikubali hoja hiyo.

  Nawasilisha!
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Aug 16, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Warudishe miaka 10,vile vile gari za japan hata ikitembea miaka 15 bado ipo katika condition nzuri kwani barabara zao nzuri na pia wanafanya services nzuri na mafuta yao ni mzuri.
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Aug 16, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  mmmh, ngoja niendelee kutafakari
   
 4. m

  matongo manawa JF-Expert Member

  #4
  Aug 16, 2012
  Joined: Apr 6, 2011
  Messages: 336
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Waziri wa fedha amewaacha hoi wabunge na Wtz waliokuwa wakimsikliza wakati akitoa
  Sababu za kupunguza muda magari yaliyotumika kuingizwa nchini,mwanzo serikali
  ilipendekeza iwe miaka minane na kuendelea,waziri alipobanwa kuhusu kwanini
  iwe miaka minane akajibu tunawasaidia wananji magari makukuu yanatumia mafuta mengi
  Pia spare zake ni gharama!!!! Wabunge wakaangua miguno serukamba akasema suala
  la gharama ni la mtu binafisi akaungwa mkono na wabunge wengine.

  Mtoto wa mkulima naye akaja na longolongo eti wamefanya vile ili kuwalinda wtz na ajari Wabunge wakazomea ikabidi aufyate wakaondoa mswada uchwara na sasa imebaki
  Miaka kumi Kama kawa.

  Haya magamba yamejisahau kabisa km wabongo wanahali ngumu na hawawezi kumudu
  Kununua magari mapya?

  Imetokea leo ktk Bunge la Tanzania.
   
 5. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #5
  Aug 16, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,528
  Likes Received: 415,716
  Trophy Points: 280
  kumbe hili bunge limeanza kuwa sikivu.....................haleluyah..............
   
 6. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #6
  Aug 16, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,528
  Likes Received: 415,716
  Trophy Points: 280
  nafikiri hoja zetu tulizozibandika humu huwa wanazisoma..........
   
 7. samito

  samito JF-Expert Member

  #7
  Aug 16, 2012
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 621
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kwa maana hiyo waheshimiwa walikurupuka bila lujipanga?
   
 8. a

  afwe JF-Expert Member

  #8
  Aug 16, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 4,087
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  Bravo!!!!!!
   
 9. m

  matongo manawa JF-Expert Member

  #9
  Aug 16, 2012
  Joined: Apr 6, 2011
  Messages: 336
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mkuu hoja ilikuwepo pia kwenye taarifa ya kambi ya upinzani,ambapo msemaji wa wizara hiyo alitahadharisha kuhusu mswada huo akilinganisha na ule wa
  fao la kujitoa la NSSF.
   
 10. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #10
  Aug 16, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Bora bwana maana magari ya 2005 na kuendelea wangeendesha wao tu kwa kodi waliyoweka!! Bora irudi 2003.
   
 11. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #11
  Aug 16, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Yani Full Umate Umate!!
   
 12. mito

  mito JF-Expert Member

  #12
  Aug 16, 2012
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 7,613
  Likes Received: 1,993
  Trophy Points: 280
  pia watupe maelezo kwanini wamepandisha kodi ya fire kimya kimya, halafu bila kuwa realistic? yaani from elfu 3 hadi elfu 40?

  ni kama vile vijisenti vilivyoongezeka kwenye mshahara wanavichukua tena kwa dizaini hii
   
 13. m

  matongo manawa JF-Expert Member

  #13
  Aug 16, 2012
  Joined: Apr 6, 2011
  Messages: 336
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mbunge mmoja Wa magamba pampja na kuwa mla rushwa(sendeka)amewageuka magamba wenzie akasema
  sisi tunaweza kununua magari mapya kwa sababu tunakopeshwa.


   
 14. m

  matongo manawa JF-Expert Member

  #14
  Aug 16, 2012
  Joined: Apr 6, 2011
  Messages: 336
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wamesahau shida za watanzania na wanatoa sababu za kitoto.
   
 15. G

  Gwakisa Mwandule JF-Expert Member

  #15
  Aug 16, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 520
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kweli kuwa CCM ni kuua uwezo wako wakufikiri!Yaani nafkiri ccm inapaswa kuttazamwa kama ugonjwa tena mbaya saaana unaomfanya mtu auze wenzake na wanaobaki ni kuwakomoa kwa kuwachapa kodi na grarama za kijingajinga tu kama ilivyoonekana leo,eti magari ya miaka kumi ni machakaavu mnoo, badala ya kuanga kilometres
   
 16. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #16
  Aug 16, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Ndio maana yake na ni kawaida yao.
   
 17. mito

  mito JF-Expert Member

  #17
  Aug 16, 2012
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 7,613
  Likes Received: 1,993
  Trophy Points: 280
  Waziri wa fedha naye kumbe ni dhaifu tu, yaani ameshindwa kutetea hoja yake anatoa sababu za kijinga hivyo!
   
 18. d

  dagjrtz Member

  #18
  Aug 16, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Mimi ki ukweli naunga mkono uchakavu miaka 8 lakini hiyo kodi yake ipunguzwe kidogo
   
 19. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #19
  Aug 16, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,521
  Likes Received: 10,439
  Trophy Points: 280
  kipi kinamanufaa kwa mwananchi mlalahoi kati ya punguzo la kodi ya sim na kodi ya kuingiza magari.?
   
 20. mwemage

  mwemage Member

  #20
  Aug 16, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Wanamiliki Daladala na Mabasi mabovu kwa hiyo lazima wapinge kulinda maslahi
   
Loading...