Msaidizi wa Nape awachana CHADEMA: Wabunge wa Upinzani ni Punguani, Viherehere

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Jun 17, 2009
3,444
264
Kibajaji Lusinde mwingine huyu hapa.... Hivi huyu ndiye kiongozi wa CCM DMV? Kha. Aibu wabeba boxi vijiweni wamejikusanya na kuanza kuwatapeli watanzania.....huyu mtu domo bakuli anavuta bangi nini? hawezi hata kuongea.

-CCM haina wapinzani
-Wabunge wa Upinzani Punguwani
-CCM imewapa upinzani majimbo ya Arusha ili tu kuwafuta machozi nk.
-JK ni mtu mwenye busara sana. Amewahurumia wapinzani waingie bungeni. Bila JK wasingeona Bunge
-Mbunge wa Iringa anaacha kuwaongelea wana Iringa, anafika kung'angania kesi ya Kanga
-Lada (Radar) ilikuwepo tangu miaka hiyo. Lada ilikuwa na makosa kidogo
-Wapinzani fungeni kanga mkacheze ngoma bungeni
-Lasaba tunajua kusoma na kuandika. Tunaweza kuwa viongozi
-CHADEMA hawana sera, kazi zao ni viherehere
-Dr. Slaa ni mpora wake za watu tu.
-Mimi nalipa tax ya Obama, nyingine nataka nilipe nyumbani
-Kufika tu marekani na kuishi "Ni digrii" Kufanya mambo yako tu, "ni masters"
-Mtanzania hata umpleke urusi, habadiliki. CCM tu ndo itawasaidia
-Mwenzangu kutoka uzuri mimba. Nawaonya wapinzani wasitoe matusi. watoe sera.
-August 23, mvua DC. Mambo mazito ufunguzi wa CCM DC. Wanamuziki balaa, raha mwanangu. Tunainua vipaji vya wasanii na viongozi kutoka Uongozi wa Juu pamoja na Diamond. Tunainua Vipaji ndio maana tunaanzisha CCM DC.
-CHADOMO, CHEFUA (Cuf) hawawezi haya yote.
-Wanachama wa CCM Hoyee ndio wanaokuja kula raha. Njoo tu na kadi
-Chadomo wasijaribu kuja hapa kuvuruga laha zetu.
-CCM ina wanachama 300
 
Last edited by a moderator:
Jamaa ana pumba balaa!!!yeye ndio chadomo maana anachonga huyo bado kufungua kikundi cha taarabu tu!!sio siasa!
 
Mbona imekaa kaa kama mipasho ya taarabu?? Duh ikiwekwa midundo hapo hatauza sana bi chau uyo
 
CCM kwishney hivi zile ahadi za JK za maisha bora kwa kila mtanzania mbona hawaziongelei?
 
Na yule mamunya lucy, naye ni hamnazo tu! Kutwa kujikomba, lazma atakuwa kamegwa!
 
Anaanza kujitengenezea ukuu wa wilaya jkj ila hajajua mpaka cku akirudi na $2000 zake alizokusanya kwenye mikate anakuta hamna kijani wala njano
 
Huyu Jamaa anaonekana kabisa kuna ka-msaada anakokataka kupitia CCM ameshasikia kwamba ukitaka kula hela ya Mjinga, msifie. Kwa kuwa hata yeye mambo anayoyaeleza kama sababu za kuisifu CCM ni fiction tu unless atuaminishe kwamba huo ndio uwezo wake wa kiakili ulipokomea.
 
Pamoja na kukaa Marekani lakini hana tofauti yoyote na waimba taarabu wa temeke mikoroshini.
Kumbe kubeba mabox nako kuna haribu akili za baadhi ya watu.

Keashakuambia kubeba box tu 'masters' hiyo...we unasema hana akili!
 
Mimi sijaona cha maana hapo,eti jk kawaonea huruma wapinzani kwenda bungeni.huyu jamaa bange zitakuwa zimemchanganya.kweli nimeamini magamba hata umpeleke new york,atabakia kuwa **** tu.
 
Mbona imekaa kaa kama mipasho ya taarabu?? Duh ikiwekwa midundo hapo hatauza sana bi chau uyo

I know these dudes.. They are useless and know nothing. Msiwashangae sana jamaa wapiga box akili zimedumaa. Hivi ninyi watu wa DMV kweli mnakubali kuongozwa na watu wa hivi? Hivi hawa wataambia nini? Kweli naamini kweli njaa mbaya kama wao walivyotamka.. Najuta kujitangaza mimi ni Mtanzania, ninaishi hapa hawa jamaa ni njaa tupu hawana lolote la maana...

Njaa ni mbaya mno mno..
 
Ukweli husemwa:

Better to remain silent and be thought a fool than speak and remove all doubt.
Bora kujua hujui kuliko kufikilia unajua kumbe hujui.

Hivi kweli huyu ndiye katibu mwenezi wa CCM? Ukiangalia hata body language yake, inatoa maswali mengi bila majibu na cha kusikitisha zaidi, hata anayemuhoji anashindwa kuelewa huyu jamaa anachokiongea nini.

I'm sorry for CCM in acting like "dodoki".

By having people like him as Leader, no wonder CHADEMA looks like smart and party in power.
 
Back
Top Bottom