Spika Makinda: Marufuku wabunge kuzungumzia hoja ya kupokea rushwa majimboni... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Spika Makinda: Marufuku wabunge kuzungumzia hoja ya kupokea rushwa majimboni...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by only83, Aug 16, 2012.

 1. only83

  only83 JF-Expert Member

  #1
  Aug 16, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  ....Akihairisha kikao cha bunge leo, spika wa bunge amesema kuwa ni marufuku mbunge yoyote kuzungumzia hoja ya wabunge kupokea rushwa majimboni au nje ya bunge kwasababu hoja hiyo ipo kwenye kamati maalumu na kwa hiyo ni kuingilia kazi ya kamati hii. Ni kama ile hoja inayotumiwa sana na serikali kuwa ishu yoyote ikiwa mahakamani ni marufuku kuizungumzia nje ya mahakama.

  Source: Toka Bungeni TBC1
   
 2. Mandingo

  Mandingo JF-Expert Member

  #2
  Aug 16, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 3,380
  Likes Received: 316
  Trophy Points: 180
  Kamati maalumu nazo siku hizi ni mahakama?
   
 3. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #3
  Aug 16, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  aisee baba yangu makinda huo ni udikteta utaki wabunge watufunguwe yanayotokea kuuu ni ujinga wa nyinyiemu


  ngoja niagize mbege
   
 4. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #4
  Aug 16, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,125
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Ukiona mtu anatumia nguvu nyingi kuzima hoja na uhuru wa habari, ujue busara yake katika kutatua migogoro ni ndogo sana!!!!!
   
 5. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #5
  Aug 16, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  Huyu mama ataanza kuwa 'an embarrassment to the Nation soon'
   
 6. K

  Kassim Awadh JF-Expert Member

  #6
  Aug 16, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 887
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Sio hivo tu Genecius Kaiza ukiona hivo ujue kuna ukweli flanii wanaouficha,hawataki ufahamike kwa umma
   
 7. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #7
  Aug 16, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Makinda hajui anachoongea na kufanya awapo bungeni...
   
 8. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #8
  Aug 16, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  kwani mbunge akiongelea suala hilo jimboni atakabiliwa na mashtaka yapi?je kuna sheria inayosupport zuio hilo la makinda?maamuzi ya makinda ni lazima yaendane na sheria za nchi na si vinginevyo.wataalamu wa katiba na sheria tusaidiane katika hili.
   
 9. F

  FJM JF-Expert Member

  #9
  Aug 16, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Increadible! Makinda anatumia sheria gani kuziba watu midomo? Amekuwa hodari wa kuzuia mijadala bungeni, sasa anataka watu wasiongee hata nje ya bunge? Kwa sheria ipi? I feel so angry na hii kauli ya Makinda, really angry.
   
 10. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #10
  Aug 16, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  "mwanamke akiwezeshwa anaweza"
   
 11. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #11
  Aug 16, 2012
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Suala la rushwa halikwepeki, wasiposema wabunge, sisi tutaongea.
   
 12. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #12
  Aug 16, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  kama sheria haibani nashauri wabunge wafunguke tu!kama kila kiongozi atafanya uongozi kwa hisia zake itakuwa ni chaos.
   
 13. d

  dada jane JF-Expert Member

  #13
  Aug 16, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kazi kwao waliompendekeza uspika wakidhani wanamkomesha Sitta.
   
 14. m

  manucho JF-Expert Member

  #14
  Aug 16, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 3,410
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kweli mwanamke akiwezeshwa anaweza, hiki kimama hakijijui yeye ni nani yuko wapi anatakiwa aongee vipi na nini cha kuongea. Bora liende mtajua wenyewe yeye analipwa hela yake ana shida gani
   
 15. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #15
  Aug 16, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Atawalinda mpaka lini?
   
 16. Mangaline

  Mangaline JF-Expert Member

  #16
  Aug 16, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 1,052
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hii ni kuepusha majungu, kwani m4c wangetamba sana na song hiyo.
   
 17. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #17
  Aug 16, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  wabunge wakikatazwa kuongea basi wananchi tutatoa kauli zetu kwenye box la kura.2015 sio mbali ,hakuna marefu yasiyo na ncha.
   
 18. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #18
  Aug 16, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  hili litasemwa na wana-M4C ambao si wabunge!
   
 19. Mangaline

  Mangaline JF-Expert Member

  #19
  Aug 16, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 1,052
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  sheria iko palepale
   
 20. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #20
  Aug 16, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 199
  Trophy Points: 160
  nafikiri wabunge makini wa chadema hawawezi kufungwa mdomo kirahisi namna hiyo....ukweli lazima usemwe...
   
Loading...