Dr. Slaa+Mbowe+Zitto Kabwe CCM haiwezi kupona 2015!

Curriculum Specialist

JF-Expert Member
Oct 8, 2007
2,731
749
Mimi naamini Hawa watu 3 ni utatu mtakatifu wa CHADEMA; wakifanya kazi kwa ushirikiano CCM hawawezi kutamba 2015. watachakazwa vibaya! Ndo maana kuna juhudi za kuwagombanisha! Nawakilisha

UPDATED

*********************************
Baada ya umoja uliooneshwa na Viongozi wa juu wa CHADEMA kwenye mkutano wa temeke nimeona nijikumbushe post yangu niliyoiweka zamani kidogo! Kama viongozi wetu wataendelea kuonesha taswira hii kwa umma, basi CCM haitakuwa na pakutokea 2015! Nikweli kwamba kwasasa chadema ina national figures wa kutosha, lakini bado watu wanawaangalia MBOWE, SLAA na ZITTO kama watu muhimu kwa taswira ya CHADEMA na umoja wao unajenga taswira chanya ya CHADEMA na kuwaunganisha wananchi kuelekea kwenye mabadiliko ya kweli!

Mungu ibariki CHADEMA!
 
na wewe curriculumspeciazist unafanya kazi yako sawasawa? sie wenzio curriculum implementers tunachapa kazi kwa kwenda mbele tunapandikiza fikra za ukombozi kama hatuna akili vile na si unajua wanavyotuamini yaani sisi M4C yetu ni darasani! hiki chama cha majambazi ya mchana na mabwepande hakisalimiki hata kwa nguvu ya dola!
 
Nachapa balaa kamanda!
 
Kwenye ndoto inawezekana kabisa mkishaamka mtaona uhalisia endeleeni kuota lolololo
 
Ulipomuweka zitto ndo ulipoharibu thread yako nzuri. Hatutaki wanafiki na tunataka kabla ya 2015 wawe wamejiondoa au wamefukuzwa cdm.
 
Toa majungu mkuu.CDM imejengwa kitaasisi na siyo individuals.Kwa taarifa yako yeyote hapo anaweza kuondoka na CDM ikasonga mbele,hii mambo ya kutajataja watu ni kuwapa vichwa na hatimaye wenye vichwa maji wanadanganyika na kuuza utu wao kwa mafisadi.
 
Mi naimani wakimsimamisha Dk.Slaa basi nawaka 84% kuingia Ikulu. Ila Mkuu huyo KABWE ni mjanja tu hana lolote ni Fisadi tu huyo na mla rushwa na bado ana vazi la CCM ndani ila nje ana Gwanda.
 
Toa majungu mkuu.CDM imejengwa kitaasisi na siyo individuals.Kwa taarifa yako yeyote hapo anaweza kuondoka na CDM ikasonga mbele,hii mambo ya kutajataja watu ni kuwapa vichwa na hatimaye wenye vichwa maji wanadanganyika na kuuza utu wao kwa mafisadi.
si ndio wewe ulie sema bila Mbowe CDM ingekuwa history. Usha sahau mapema hivi?
 
Alinacha!
SAW aka zomba kwa taarifa yako ni tabia ya magamba kusema kinyume. mf nyeupe ni nyeusi kwao, mchana ni usiku kwao na hili limesababisha wawe na tabia ya kukataa ukweli hata unapodhihirika wazi.. subiri uone siku si nyingi.
 
Zitto hapana wakuu na kama mtasahau hujuma za huyu jamaa basi CHADEMA yetu itaangamia bure, huyu jamaa ni ndumilakuwili japokuwa sina hakika sana kama ni fisadi.
 
Hamna ujanja huo. Kuna kundi kubwa sana na muhimu sana ambalo haliwaungi mkono na mnajuwa kwanini.

akili zako na akili za shehk ponda ni sawa na pande mbuli za sarafu yani huwezi kuzitenganisha.
 
SAW aka zomba kwa taarifa yako ni tabia ya magamba kusema kinyume. mf nyeupe ni nyeusi kwao, mchana ni usiku kwao na hili limesababisha wawe na tabia ya kukataa ukweli hata unapodhihirika wazi.. subiri uone siku si nyingi.

Kwa kura au kwa kususa?
 
Back
Top Bottom