Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tume ya taifa ya uchaguzi inatarajiwa kutoa taarifa zaidi ili kufanikisha chaguzi ndogo za madiwani wapatao 30 nchini kote CHADEMA KAZI KWENU!
0 Reactions
8 Replies
2K Views
WAMWOMBA PINDA AMSIHI SPIKA AWASAFISHE, WASEMA TUHUMA ZINAWAFANYA WASHINDWE KUSHIRIKI SENSA Reginald Miruko, Dodoma | Mwananchi | Agosti 17, 2012 TUHUMA za rushwa dhidi ya wabunge juzi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mungu wangu laiti kama huyu baba angeamshwa na kukaa dniani siku mbili hakika angeomba arudi tena kuzimu....,nimemsikia akiongea hili nilihuzunika sana kwa kumbuka mkapa alivyoweka ofisi ikulu...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Mkurugenzi wa Idara ya Wanyamapori, Obeid Mbangwa, amefukuzwa kazi. Wengine ni Frank Mlemi na Simon Wella. Kosa lao ni la kujihusisha na ufisadi usafirishaji wanyamapori nje ya nchi. Kufukuzwa...
1 Reactions
146 Replies
18K Views
Dk. William Mgimwa WAZIRI wa Fedha, Dk. William Mgimwa, amesema deni la taifa limezidi kukua. Amesema deni hilo limeongezeka hadi Sh bilioni 20,865 Juni, mwaka huu kutoka Sh bilioni 18,617...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
The government of United Republic of Tanzania has warned all media and citizens who have a tendency of revealing government documents stamped Confidential. Tanzania's Prime Minister, Mizengo...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Minister of Foreign Affairs Ephraim Mganda Chiume says Tanzanian Minister responsible for Foreign Affairs Bernard Membe has assured him that his country will not “go to war” with Malawi over a...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mh. Waziri mkuu kwanza shikamoo! Mh. Waziri mkuu,Kwa heshima na taadhima naleta barua hii na uhalisia wa tatizo, kunyimwaa vyeti UDOM, Ikumbukwe kwamba sio wanafunzi wote wenye makosa, na...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
16 AUGUST 2012Na Grace Ndossa CHAMA cha Wananchi (CUF), kimedai kushangazwa na kauli iliyotolewa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Bw. Nape Nnauye kwa vyombo vya habari kuwa Chama cha...
3 Reactions
37 Replies
3K Views
Maputo - PRESIDENT Jakaya Kikwete is expected to meet with his Malawian counterpart, Joyce Banda, in Maputo, Mozambique on the sidelines of the ongoing SADC summit. The Minister for Foreign...
0 Reactions
0 Replies
824 Views
  • Closed
Mpango kabambe wa kumvua kikwete kofia ya chama umeiva, mpango huu unaongozwa na vijana. Wana CCM tegemeeni mabadiliko makubwa
1 Reactions
124 Replies
11K Views
Natoa wito kwa chama cha wananchi, CUF kuhamasisha watu wote washiriki sensa ya watu na makazi. Ninakishangaa chama hiki kuibuka na kujibu hoja za Nape kwa Chadema bila hata kugusia zoezi ambalo...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
MKURUGENZI Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Dk Edward Hoseah 1. ......Sheria ya Takukuru ya mwaka 2007 ni mbovu kwa kuwa inambana na kumfanya ashindwe kuwafikisha...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Wale Mahakimu Wakaazi 300 walioajiriwa na Serikali mnamo mwezi wa sita na kusambazwa mikoani wako njiani kugoma.Taarifa nilizozipata zinaonesha kuwa Mahakimu hao,tangu kuajiriwa kwao hawajalipwa...
0 Reactions
46 Replies
5K Views
MUSWADA wa Sheria ya Fedha wa mwaka 2012 jana ulizua mvutano bungeni kati ya Serikali na wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Fedha na Uchumi na kusababisha Spika wa Bunge, Anne Makinda kuliahirisha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo ni siku ya mwisho ya mkataba wa uchimbaji madini kwa kampuni hii, je vigogo wenye mirija katika kampuni hii watakuwa radhi kuachia sheria mpya ya madini ya vito ifanye kazi? Hofu yangu ni...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Shule hii ipo wilayani Muleba mkoani Kagera. Ndani ya shule hii licha kuwa ni shule yenye kuta na kuezekwa kwa nyasi, bali pia wanafunzi wanakaa chini. Wanafunzi wa shule ya msingi Misunkumilo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
..someni hapo kwenye RED. ..meli hiyo ni mali ya waZNZ. ..imesajiliwa na serikali ya waZNZ. ..kwanini Maalim Seif atubebeshe mzigo wa lawama kwa kuzama kwa meli hiyo??!! ..anadai waziri wa...
0 Reactions
79 Replies
5K Views
Great Thinkers naomba kuelimishwa maana halisi ya maneo haya ambayo yamekuwa yakitumiwa sana na wanasiasa na viongozi wetu Maisha Bora kwa Kila Mtanzania na Maslahi ya Taifa.
0 Reactions
0 Replies
930 Views
Leo katika hoja ya airtime za makampuni ya simu kuongeza ushuru, waliounga mkono hoja ya upinzani ya kupunguza ushuru mpaka 10% walishinda. Zito akaomba kura zihesabiwe, makinda akakataa kitu...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom