Kauli ya Pinda yaharalisha wakuu wa mikoa na wilaya kuanza kampeni ya CCM za kukiimarisha chama. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kauli ya Pinda yaharalisha wakuu wa mikoa na wilaya kuanza kampeni ya CCM za kukiimarisha chama.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by change is must, Aug 16, 2012.

 1. c

  change is must Member

  #1
  Aug 16, 2012
  Joined: Aug 1, 2012
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Leo katika kipindi cha maswali na majibu kwa waziri mkuu bungeni, waziri mkuu aliharalisha wakuu wa mikoa na wilaya kuanza kufanya kazi za kukiimarisha chama hasa katika majimbo ambayo yanamilikiwa na wapinzani.
  kauli hii ameitoa baada ya kuulizwa swali na mh. wenje kwa swali lilo hoji kama kuna uhalali wa mkuu wa mkoa au wilaya kufanya kazi na kusema yeye ametumwa na mkuu wa nchi kuhakikisha chama kina simama.
  Nawasilisha.
   
 2. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #2
  Aug 16, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Usiwe na wasiwasi. Waache wapambane na M4C
   
 3. Maberere

  Maberere JF-Expert Member

  #3
  Aug 16, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 267
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  siana tatizo na mutuuu,
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Aug 16, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  MOTTO, MISSION NA VISION ya ccm ni kuvitumia Bunge, Serikali n Mahakama kuhakikisha kuwa vyote vinakuwa mawakala wa ccm!
  HIvyo Pinda anamaanisha!
   
 5. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #5
  Aug 16, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  We subiri tu tutatumia M4C kuwa-Fatma Kimario. Na asije akatokea mtu akalalamika!
   
 6. D

  Deo JF-Expert Member

  #6
  Aug 16, 2012
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 1,190
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Hizo ofisi au taasisi za wakuu wa mikoa na wiliya imeshakosa umaarufu zamani, wananchi siku hizi wanawaona kama nyumba kumi vile. Tena siku hizi wanakunywa na kufanya besara na walala hoi. Wengine hata gongo wanamitambo nayo.
   
 7. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #7
  Aug 16, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  usiogope kivuli chao...........
   
 8. B

  Bubona JF-Expert Member

  #8
  Aug 17, 2012
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 449
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  M4C haiwezi kumalizwa nguvu na wakuu wa wilaya na mkoa; hata ikulu haiwezi kupambana na M4C!!
   
Loading...