Wamalawi washitukia Tanzania na maandalizi ya vita!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wamalawi washitukia Tanzania na maandalizi ya vita!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KakaKiiza, Aug 9, 2012.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Aug 9, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,273
  Trophy Points: 280
  Malawi is known as the Warm Heart of Africa because of its peace and tranquility but the current diplomatic row with her neighbour Tanzania has created panic among its people, particularly those living along the two countries' border.

  The fear has ensued following media reports quoting Tanzania authorities that they were ready to go to war with Malawi if the country continues with its plans to explore gas and oil on Lake Malawi.

  Malawi awarded a contract to UK's Surestream Company last year to conduct an Environmental Impact Assessment (EIA) on the lake which is believed to have oil and gas in abundance. Basing her argument on a common international law which stipulates that when two countries are separated by a body of water, the border is at the middle of that body, Tanzania claims half of the lake belongs to her as such Malawi cannot explore oil on it.

  Internal Security Minister Uladi Mussa: Fear not

  And Malawians living in Karonga and Chitipa, the two border districts with Tanzania, are getting worried with their safety as some are already planning to flee following the war remarks by Tanzania. Tanzania's Minister of Foreign Affairs Bernard Membe this week told his country's Parliament in Dodoma should Malawi not stop its plans to explore oil on the lake they will regard it as an act of aggression.

  No panic
  But Malawi's Minister of Home Affairs and Internal Security, Uladi Mussa, speaking to Zodiak Broadcasting Station (ZBS) on Tuesday asked the people in the two districts to remain calm assuring them nothing would happen.

  "I should assure all the people in this country to remain calm. We are talking to the Tanzanian government and all will be fine. If push comes to shove we will take the matter to International Court of Justice," reported the radio.

  The minister reaffirmed that the entire lake belongs to Malawi adding that government has evidence to prove its point.
  Mussa further said government will not stop exploring oil on the lake as demanded by Tanzania saying "they [Tanzanians] have no powers to do so".

  "There is no issue here. We all know the lake belongs to us. In fact if such a claim came from Mozambique at least it would have made sense to some extent but not Tanzania. We have all the evidence and treaties are there to support that Lake Malawi belongs to Malawi," said the Home Affairs Minister.

  Malawi arguments

  Malawi government argues that the principle being pursued by Tanzania- that the border is along the middle- only applies where there is no treaty but in this scenario the border was clearly and specifically defined in the 1890 Heligoland Treaty. Germany and Britain, colonial masters of Tanzania and Malawi respectively, signed the treaty after the issue- of the border between the two countries- was clearly defined.

  In addition, records show that in 1963 Heads of State of Organisation of African Union (OAU) made a resolution that member states should recognize and accept the borders that were inherited at the time of independence. The leaders also made similar resolutions in 2002 and 2007 during the African Union (AU) summits. However, Malawi Government's decision to extract gas and oil on Lake Malawi has not only touched on the raw nerves of the Tanzanians but many Malawians as well who have argued that the disadvantages of the project far much outweigh the benefits.

  Malawi, a former British colony, and Tanzania, once ruled by Germany, are due to hold showdown talks on the disputed border in the northern Malawian town of Mzuzu on August 20.

  Source: Nyasa Times
   
 2. Mess

  Mess JF-Expert Member

  #2
  Aug 9, 2012
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 667
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Jamaa wanaonekana kuwa na busara sana kuliko viongozi wetu, wanaotaka kujichukulia sheria mkononi. Hivi Membe hajui kuwa kuna international court mpaka yeye achukulie vita kuwa ni suluhisho? anajua kuwa nchi yetu hapa tulipo imefilisika?

  Sasa naanza kujua kuwa wapinzani wana akili sana kuliko watawala wetu. Statement ya Malawi inaonekana imetolewa na kongozi mwenye mtazamo mzuri, ile ya Membe na Lowassa ni ya walevi wa virabuni maana kwao kupigana huwa hata bila sababu.
   
 3. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #3
  Aug 9, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,328
  Likes Received: 1,794
  Trophy Points: 280
  Tukianzisha vita dunia nzima itatucheka. Hii issue lazima ipelekwe kisheria maana hata kama tukishinda vita sio lazima tutakuwa tumepata mpaka kama jamii ya kimataifa haitatambua hivyo.
   
 4. M

  MKUU WA KAYA JF-Expert Member

  #4
  Aug 9, 2012
  Joined: Apr 18, 2012
  Messages: 201
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wewe hujui unachokiongea, they have to stop exploring oil first then tukae mezani, vinginevyo kichapo tu
   
 5. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #5
  Aug 9, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,273
  Trophy Points: 280
  Lakini jamaa wamesema hawatasitisha cheki kipengele hiki.............[Mussa further said government will not stop exploring oil on the lake as demanded by Tanzania saying "they [Tanzanians] have no powers to do so".]
   
 6. T

  Tata JF-Expert Member

  #6
  Aug 9, 2012
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,736
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Kama kweli hawa wamalawi wanataka suluhisho la amani wasingeendelea kurusha ndege za utafiti kwenye eneo linalobishaniwa wangejikita kwenye eneo ambalo kwa sasa halina mgogoro ili wakishinda hiyo kesi yao waweze kuingia kwenye eneo ambalo Tanzania inadai kuwa ni lake.

  Kwa kuingia eneo la linalogombaniwa na Tanzania kufanya utafiti wamalawi tayari wamejichukulia sheria mkononi na kimsingi wameshavamia nchi yetu na hicho kitendo ni sawa kabisa na kutangaza vita.

  Hivyo Membe na Lowassa walikuwa sahihi kabisa kuwajulisha wamalawi kuwa kitendo walichokifanya ni sawa na kutangaza vita na sisi tuko tayari kujibu mapigo ikiwa hawataacha kuingia eneo la Tanzania kimabavu.
   
 7. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #7
  Aug 9, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  N a aendelee ku explore!
   
 8. Eng. Y. Bihagaze

  Eng. Y. Bihagaze Verified User

  #8
  Aug 9, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 1,481
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Labda Tanzania Isake stop order Kama kuna messily yoyote Kwenye suala hili kwenye hiyo International Court. lakini Pia Africa kuna makumi ya Bodies Za Usuluhishi Kwa Wenye AKILI TIMAMU unless fascism ideological comes to be proved beyond limit on once party side.. Hapo Sasa ndipo nguvu itatumika kumsogeza au kumnyamanzisha mvamizi.. Na si Jeshi la Tanzania litaloingia Vitani Bali ni majeshi ya Umoja Wa NCHI wanachama..

  Pia iwe wazi , mie Sijui Kwa Nini watawala wetu hawaelewi mambo mengi, kupiganisha vita Kwenye ulimwengu Wa leo ni suala Kubwa Na zito la Kuzingatia Kwa watawala makini.. Hata Kama umevamiwa Na ukakurupuka kuwaingiza wananchi wako vitani, utawajibika kuwalipa hasara zitazotokea Na kujibu Kwenye mahakama Za Kimataifa KWANINI ulilipeleka Jeshi vitani kabla ya kutafuta njia Za kidiplomasia kutatua mzozo..
   
 9. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #9
  Aug 9, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  huyu mama ndo amejichukulia sheria mkononi kwa kuingiza mandege yake kufanya utafiti kwenye eneo ambalo si lake, Membe ametamka tu vitendo bado
   
 10. grndossy

  grndossy JF-Expert Member

  #10
  Aug 9, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 311
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mimi naona mtazamo wako ndio wa kilevi kwa sababu mtu anakuvamia nyumbani kwako mbele ya mkeo na watoto unamwacha achukue mali zako halafu unasema unampeleka mahakamani, mahakamani my foot.

  Yeye alipokuvamia alipitia mahakamani? Yaani wao Malawi wameingia kwenye mipaka yetu wanarusha mpaka ndege ndani ya mipaka yetu hiyo sio kukosa busara, kukosa busara ni kumwambia aache uchokozi vinginevyo tutampiga!!!!!!!!!!!!!!!

  Hata kama kuna kosa lililofanyika wakati huo wa kugawa hizi nchi, kwanza lazima kuheshimu mipaka iliyopo then waweke hoja mezani zijadiliwe wakiwa hawajaanza kutuchokonoa.
   
 11. Mzalendo JR

  Mzalendo JR JF-Expert Member

  #11
  Aug 9, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,189
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  I need International LAW ecperts to come here watufundishe "ACT OF WAR" may be kwa kua hata serikali ipo humu JF wataelimika. We need clear minds only!
   
 12. Head teacher

  Head teacher JF-Expert Member

  #12
  Aug 9, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,811
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hapa ikiruka ndege ziwa nyasa ni kutungua tu. Hakuna cha sheria za kimataifa, tunalinda mipaka yetu. Ni nani kati yetu mwizi akimvamia ndani atamwacha ndani ili akimbilie polisi ni non sense, ni kupambana. Hata wakati wa vita vya kagera, nyerere hakuomba usuluhishi UN, alipigana bila kumtaarifu uingereza. Kama jeshi limepungukiwa askari tupo makomandoo tuliotoroka jeshi, tutarudi kwa kazi hiyo tuu.
   
 13. Timtim

  Timtim JF-Expert Member

  #13
  Aug 9, 2012
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 603
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  WaMalawi wana busara sio kuwa wanataka vita bali wao wanataka haki yao tu. Kuwasemanga ovyo si sawa hata kama ni vita vya maneno. WaTanzania wanajulikana kwa porojo na vita vya maneno unlike majirani zetu in EAC wao ngumi mkononi. mTanzania hadi kurusha ngumi inamaanisha vita vya maneno imeshindikana. So wamefanya jambo la kiungwana na busara kusitisha utafiti wao ili kujenga amani na udugu uliopo.
   
 14. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #14
  Aug 9, 2012
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,812
  Likes Received: 1,055
  Trophy Points: 280
  tukishindwa mahakamani tunalikausha na ziwa lenyewe
   
 15. Aleyn

  Aleyn JF-Expert Member

  #15
  Aug 9, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 10,228
  Likes Received: 13,680
  Trophy Points: 280
  ha ha ha tutalikausha kwa njia gani?
   
 16. Lekanjobe Kubinika

  Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member

  #16
  Aug 9, 2012
  Joined: Dec 6, 2006
  Messages: 3,067
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Unajua nini, mimi nangojea onyo la kivitendo. Anayepaswa kwenda mahakamani ni mvamizi. Ili aende mahakamani kama hawezi kuelewa lugha rahisi kwamba aache uchokozi, basi ndege inayozunguka nchini kwa kisingizio cha mipaka yao itunguliwe. Hapo kitaeleweka, nao wataenda kushitaki, mahakama nao wataangalia mazingira na mwafaka utapatikana.

  Au kwa kuwa walikubaliwa madai ya kuzuia sangara wasipandikizwe ziwani wanadhani ndio kushinda na ziwa ni mali yao? Wanataka kusema maji yote ya ziwa nyasa ni ya kwao? Basi wavute maji yao watuachie nchi kavu mpaka katikati ya ziwa nyasa. Wameanza kamchezo kama ka Ziwa Victoria ambapo Tanzania ati hairuhusiwi kutumia maji yake kupeleka Dodoma kwa vile kuna treaty ya wakoloni kwamba Misri itakosa maji ikiwa Tanzania itayatumia maji hayo. Huu ni upuuzi mtupu. Ndipo nilipompa tano waziri wa maji wa wakati huo Lowasa aliposema NO WAY TODAY! Hapa napo NO WAY, namsifu Lowasa na Membe.

  Mnaowakandia hamjui madhara ya kitendo cha Malawi. Nenda kakae Kyela au Mbinga ziwani kule ndo utajua nini ninachoongea. Watu wanayatumia maji hayo kwa uhuru wote. Hao wazungu walikuwa wanatupimia sisi mali zetu? Kwao umeshasikia mweusi kaenda kuwapimia mipaka yao?
   
 17. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #17
  Aug 9, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,918
  Likes Received: 2,348
  Trophy Points: 280
  Mkuu hapa hatuendi kwa dunia inasemaje ama sivyo Uingereza haingekuwa Falklands.
  Msuli ni muhimu.
   
 18. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #18
  Aug 9, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,918
  Likes Received: 2,348
  Trophy Points: 280
  Mzalendo ujue kuwa there is no International Law, only agreements exist.
  Law lazima iwe na jurisdiction ambayo inamaan ubavu wa dola.
  Mwenye dola lenye nguvu ndiye sheria yake ina win.
  Hapa ubavu ubavu tu.
   
 19. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #19
  Aug 9, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,847
  Likes Received: 473
  Trophy Points: 180
  Hiyo haina shida basi na sisi tutafanya biashara kwa maji yanayotiririka toka milima iliyopo tanzania na kuingia ziwa nyasa.Hawana hoja ziwa nyasa kwa kiasi kikubwa linategemea maji toka vyanzo vya tanzania tuanzie hapo kufanya nao biashara
   
 20. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #20
  Aug 9, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,847
  Likes Received: 473
  Trophy Points: 180
  Lowassa namkubali kwa maamuzi magumu lakini sikubali awe rais. Heko Mzee ngoyai lowassa
   
Loading...