Hongera mheshimiwa mnyika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hongera mheshimiwa mnyika

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kimboko, May 19, 2012.

 1. K

  Kimboko Member

  #1
  May 19, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mheshimiwa Mnyika Hongera sana tumeona dalili za kupata daraja huku kwetu Kimara Suca Golani. Kwa hilo tunakushukuru ila ombi letu watu wa Golani tunaomba daraja liishe jamani isiwe tena linachukua muda mrefu mpaka mvua za masika mwakani tuendelee kupata adha kama kipindi chote tunaishi bila daraja.

  Big up for this Bro.

  Pia tunaomba utufikirie namna ya kupata angalau kaofisi ka kupeleka kero zetu, tufikirie pia na kituo cha polisi Mheshimiwa.
   
 2. s

  slufay JF-Expert Member

  #2
  May 19, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,372
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Acha upande kama gamba,, mpaka mpewe ndiyo mpe hongera
   
 3. N

  Njoka Ereguu JF-Expert Member

  #3
  May 19, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 822
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  Big Hon. Mnyika, kwa kweli daraja hili lilikuwa ni kero kama kweli umefanikisha kulijenga, hongera sana.
   
 4. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #4
  May 19, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,057
  Likes Received: 3,084
  Trophy Points: 280
  Namuadmire sana kamanda huyu

  Big up kamanda JJM
   
 5. s

  slufay JF-Expert Member

  #5
  May 19, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,372
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  We umetumwa utoe sifa chema chajitangaza siku zote ,,, Yeye hana dola daraja litajengwa na ccm
   
 6. N

  Nteko Vano JF-Expert Member

  #6
  May 19, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 436
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hiyo CCM ilikuwa wapi miaka yote?
   
 7. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #7
  May 19, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,420
  Likes Received: 260
  Trophy Points: 180
  umezidiwa akili na kuku wa kienyeji ambaye kila alifajiri lazima aamshe watu,unaongelea ccm ipi ya nyerere au hii ya vasco dagama we gamba gumu.
   
 8. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #8
  May 19, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,420
  Likes Received: 260
  Trophy Points: 180
  Big up mnyika ,wafumbe mdomo hao magamba wakose la kusema .
   
 9. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #9
  May 19, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,420
  Likes Received: 260
  Trophy Points: 180
  Big up mnyika ,chapa kazi uwafumbe midomo hao magamba wakose la kusema .
   
 10. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #10
  May 19, 2012
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hivi huyu bwana bado yupo? Sisi huku Bonyokwa hata barabara hatuna.
   
 11. monongo

  monongo JF-Expert Member

  #11
  May 19, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 370
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Subirini kwanza,mtafikiwa tu! Kwani kazi hizi zinaenda kwa awamu.
   
 12. S

  Serayamajimbo Senior Member

  #12
  May 19, 2012
  Joined: Apr 15, 2009
  Messages: 191
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 13. engwe1980

  engwe1980 Member

  #13
  May 19, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 53
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hivi ni ilani ya chama gani inayotekekelezwa na serikali? Kwani pesa za kuyengeneza hilo daraja zimetolewa na CHADEMA.
   
 14. S

  Serayamajimbo Senior Member

  #14
  Aug 17, 2012
  Joined: Apr 15, 2009
  Messages: 191
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kaza uzi Kamanda, naona daraja ujenzi wake uko kwenye hatua za mwisho.

  serayamajimbo
   
 15. h

  hans79 JF-Expert Member

  #15
  Aug 17, 2012
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  From where?
   
 16. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #16
  Aug 18, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,839
  Trophy Points: 280
  Kodi zetu!

   
 17. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #17
  Aug 18, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,839
  Trophy Points: 280
  Daktari wako amefariki

   
 18. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #18
  Aug 18, 2012
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  mawazo yako yatoka miguuni au kichwani?
   
 19. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #19
  Aug 18, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  bila ufuatiliaji wake kisingeeleweka!
   
 20. m

  majebere JF-Expert Member

  #20
  Aug 18, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 4,521
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Hilo daraja anajenga kwa posho ya ubunge nini au kwenye zile anazo zungumzia nape? Halafu huyu kijana alipotelea wapi maana tangu alivyo ropoka kuhusu JK alipotea kabisa, ndio ameamua kutoka shimoni nini?
   
Loading...