Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hapa hadanganyiki mtu,kwa mbinu zozote zile zitakazobuniwa na ccm ili 2015 isomeke hivyo kuwa tuna vita na Malawi kwa sababu ya Lake Nyasa,ili waendelee kuwa madarakani. Katika sura ya pili ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
TAKUKURU ni chombo muhimu sana katika nchi hii lakini kauli tata za TAKUKURU juu ya Richmond na sakata la Rada yanatia dasari taasisi hiyo.Hosea ajiuzu TAKUKURU iwe safi na kama hataki awajibishwe...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Economy Main economic activities taking place in Ilala Municipal Council are retailing businesses including small and medium shops, Hotels, bars and restaurants, Transportation services...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Juzi hapa ndani ya Bunge la Jamhuri tulishuhudia Waziri Mkuu Mizengo Pinda akinasa kwenye mtego wa swali lililoulizwa na mh Wenje kuhusu madaraka na mamlaka ya watumishi wa umma kwa wananchi dhidi...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Wadau najua wengi tutakuwa tunahitaji kujua maswali ambayo twapaswa kuandaa majibu yake tukiwa wakuu wa kaya.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Mtuhumiwa mahui na kijana mmoja wa Darasa la sita (Mwanza)wanatuhumiwa kwa kumvisha Mbwa Sare ya Chama,Ambapo baada ya wafuasi wa CCM kumuona Mbwa huyo walimkimbiza kwa takribani Lisaa limoja na...
0 Reactions
88 Replies
11K Views
Nimkakati wa kuzuia kesi nzito za rushwa kuchunguzwa. MKAKATI mzito unaandaliwa kumtisha Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Dk. Edward Hoseah, kwa nia ya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
CHADEMA KUWASHA MOTO KATIKA MJI WA READING SIKU YA TAREHE 26/08/2012 LONDON Ili kufikia malengo yetu ya kuzunguka kwenye Miji mbalimbali ya UK kuhamasisha Watanzania waishio uk kujiunga na...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Saturday, 18 August 2012 23:37 YAFUATIA YA NYERERE,MKAPA NA MWINYI, ZITTO ASEMA WAJISALIMISHE Mwandishi Wetu RIPOTI ya utafiti wa utoroshaji wa fedha nchini kwenda kufichwa katika benki za...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Zachary Kimotho alipata ulemavu huu miaka 8 iliyopita alipovamiwa na majambazi akiwa kwenye gari yake huko Kenya. Kutoka mipaka ya wheelchair yake, mtu mmoja amekuwa kwenye safari ambayo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa kuwa mustakabali wa nchi yetu ni wa miaka mingi ijayo bila kujali chama gani kitatawala miaka hiyo... Na kwa kuwa serikali hii dhaifu ilifumbia macho suala la mpaka na Malawi ili kuacha huu...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
By Nora Damian Dar es Salaam. The Tanzania Civil Aviation Authority (TCAA) confirmed yesterday that the radar at Julius Nyerere International Airport has not been working for two weeks. TCAA...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
ningependa kuwatakia sikukuu njema wanachama wote wa jf.MUNGU ATUBARIK.EID MUBARAK
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Na Maggid Mjengwa,
 Ndugu zangu, KATIKA suala la mchakato wa Katiba mpya, nitajadili dhana ya kuwa na wagombea huru katika nafasi za uongozi. Mahakama Kuu ilipata kutoa hukumu...
0 Reactions
0 Replies
807 Views
ITV katika taarifa ya habari jana saa 2 usiku.wameonyesha wenyeviti wa kijiji wa ccm akikiri kwamba M4C inawapa wakati mguu na kushindwa kuongozo.NAPE KANUSHA AU UNASEMAJE KWA HII?
0 Reactions
44 Replies
4K Views
Saturday, 18 August 2012 11:59 Mwandishi Wetu KATIKA kile kinachoonekana kudumisha uhusiano baina ya nchi zao, Rais Jakaya Kikwete amemwalika Rais wa Malawi, Joyce Banda kufanya ziara ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Vuta nikuvute ilikuwa kali kati ya kamati ya bunge na wizara ya fedha katika hili swala la kutoa msamaha wa kodi ya VAT katika mauzo ya migodi. Mwisho wa siku mambo mengine yote yaliyoleta utata...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sehemu ya kwanza kati ya mbili za mahojiano na Mbunge wa Kigamboni (CCM) Dr Faustine Ndugulile ambaye ameeleza mengi kuhusu kongamano kuu la UKIMWI alilohudhuria hapa Washington DC, hali ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Haya Tena, someni hii wadau.... Msisahau kunigongea Senkyuuu August 2012, BY SYLIVESTER DOMASA The government has launched an investigation to establish the truth about political parties said...
3 Reactions
54 Replies
5K Views
Asalaam, Katika tafiti nilizofanya kwenye website ya bunge, zaidi ya nusu (50+%) ya wabunge hawana degree. Hii inadhihirisha jinsi gani chombo kikuu cha kutunga sheria na kusimamia serikali...
3 Reactions
104 Replies
9K Views
Back
Top Bottom