Ni hoja tu maana nguvu inayotumika ni sahihi kwa ajili ya kushinda shida ni kuwa sio nguvu ya hoja ila ni hoja ya nguvu hasa hasa ukizingatia kauli mbiu ya "PP". Historia inaonyesha chama chochote...
Samahani wanaJF, Leo nimeangalia tena utube ya Mheshimiwa Lusinde imenikera sana. Nauliza: (1)kwanini hawajampeleka mahakamani?(2) Je wanaweza kumpeleka mahakamani sasa au wamechelewa?
Nimeamua...
Nimejiuliza hawa watu wanapata wapi ujasiri wa kuua, kuiba, kupindisha sheria na hata mikataba feki wanayopingia roho haziwaumi kwa nini? Kumbe kinga yao wote ni hii sheria.
Watoa amri wote kumbe...
Vigogo wajilipa mishahara minono, ajira kinyemela
Mikopo inayopaswa kurudishwa ni Sh. bil.300/-
Hadi sasa fedha zilizokusanywa ni Sh. bil. 9/- tu
Vigogo Bodi ya Mikopo (HESLB), wanakabiliwa...
Wanajamvi,
Katika Gazeti la mwananchi leo, kuna taarifa kuwa Waziri wa mambo ya ndani Nchimbi ameamua kuunda tume kufanya uchunguzi wa kijana aliyepigwa risasi na polisi na kufariki dunia mkoani...
MH. Abdulhaman Kinana akiingia ukumbini uku akiongozana na viongozi wa tawi la CCM hapa DC.
MH. Abdulhaman Kinana akipiga makofi uku hakiingia ukumbuni hapo tayari kwa ufunguzi wa tawi la CCM...
Nionavyo mimi ile misingi ya maadili ya viongozi na wananchi kwa jumla ilipobomolewa na Ally H. Mwinyi pale Zanzibar mwaka 1990. Kuanzia hapo Mwinyi akaanza kuuza mali zetu kwa waarabu. Akauza...
WanaJF ambao ni wapenzi na wakereketwa wa CDM,pia kwa wanachama na viongozi kwa ujumla naomba kutoa angalizo mapema ili liwezekufanyiwa kazi mapema zaidi hasa katika katiba mpya pamoja na tume ya...
Kwa wale wote mnaoweza kuufikisha ujumbe huu kwa Katibu Mkuu Mh DR. SLAA, kulingana na tukio la jana mjini hapa, kuna propaganda nzito sana ilikuwa inajengwa na makada viongozi na wabunge wa CCM...
Habari za kutoka hapa Kyela ni kwamba dr. Mwakyembe leo kamvaa Rostam kweli kweli. Kamwita fisadi namba moja, kaiba mali ya Tanzania na ni mbumbumbu, hajui kitu, hata bungeni haongei. Anasema...
WanaJF, nimeona vema nitumie jukwaa hili kuwaomba wenzetu waliopo kwenye sekta ya magazeti wapeleke rambi rambi morogoro kwani kijana aliyeuwawa kwa kutupiwa bomu la machozi alikuwa anauza...
MKUTANO WA CHADEMA READING
TAWI LA UK
Mkutano utafanyika siku ya Tarehe 26/08/2012 kuanzia saa saba mchana mpaka saa kumi na mbili jioni, siku ya Bank Holiday. .Risc Reading International...
Wana JF,
Napenda kuja na hoja hii ya CHANGI YA RADA na KUHAIDIWA KUWA ITATUMIKIKA KUBORESHA MAHITAJI YETU KATIKA ELIMU E.S.P VITABU
Waziri mkuu pinda alitetea Bungeni hoja ya changi ya rada...
Inaonekana dhahiri kuwa CCM haijuia na wala haijiatambui kuwa nini imekipoteza toka kwa Wananchi, kwa mda mwingi CCM imekuwa ikitumia vizuri sana PROPAGANDA kutokana na mtaji mkubwa wa ujinga wa...
Tundu Lisu (kushoto)VS Kamanda Shilogile (Kulia)
LISSU AAHIDI KUMFUATA SHILOGILE
Tundu Lissu, Mkurugenzi wa Haki na Sheria Chadema, alisema suala la kuandamana halijawahi kuwa kosa la...
nimetafakari hoja au propaganda kama wengine wanovyoziita ya kuzuia mikutano ya chadema mpaka sensa itakapomalizika na kukubaliana na ukweli ufuatao;
1. kwamba serikali inatambua kua wakazi ambao...
Operesheni Sangara ya CHADEMA Iliyokuwa inapaswa kuendelea leo Mkoani Iringa Imeahirishwa kwa siku 5 baada ya IGP Said Mwema kumuomba Dr.Slaa na kutoa kisingizio cha zoezi la Sensa
Operesheni...
Sina takwimu za kutosha, lakini naamini kuwa hadi sasa bado sehemu kubwa ya nchi yetu bado haijaunganishwa kwenye teknologia ya kutumia VING'AMUZI ambavyo ni muuimu kwa ajili ya kuhama kutoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.