Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanabodi kuna message inasambaa kwenye mitandao ya simu imeandikwa"WAISLAM WOTE NI MARUFUKU KUSHIRIKI KTK ZOEZI LA SENSA.ATAKAYEKIUKA WARAKA HUU ATAKIONA CHA MOTO MBELE YA ALLAH." my take message...
0 Reactions
123 Replies
11K Views
Binafsi huwa nashangazwa saana vitendo vinavyofanywa na serikali ya CCM kwa kutumia jeshi la polisi. Huwa mara nyingi wamekuwa wakizuia maandamano ya vyama vya upinzani kwa madai ya kuwa wamepata...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Ndugu zanguni. Kama mjuavyo mheshimiwa Lema alikuwa hapa UK na alifanikisha zoezi la kufungua tawi la chadema UK. Pamoja na hayo faida kubwa ya safari ya LEMA ambayo haikugharimu zaidi ya pounds...
5 Reactions
38 Replies
3K Views
NIMEITOA HUKO FACEBOOK, Kwa maandishi yake mwenyewe ansema: "Sijakamatwa mimi wala Mke wangu mpenzi, na wala hatujahojiwa na TAKUKURU, na sijui ofisi ya TAKUKURU ikoje! Hizo ni fitna za...
1 Reactions
40 Replies
8K Views
29 August 2012 Madaktari 50 kutoka India kutoa tiba Dar Na Salim Nyomolelo JOPO la madaktari 50 kutoka nchini India, wanatarajia kufanya maonesho ya matibabu katika ukumbi wa Diamond Jubilee...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
baada ya kazi nzito iliyofanywa na nguvu ya umma huko arumeru mashariki dalili zinaonyesha wakati umefika kwa gharika hili kuhamia jimbo pacha la arumeru magharibi. Kijografia majimbo haya...
7 Reactions
46 Replies
5K Views
Na Debora Sanja, Dodoma KATIBU mstaafu wa CCM Mkoa wa Dodoma, John Barongo, amejitosa kuwania nafasi ya Uenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Taifa. Barango amejitosa kuwania...
0 Reactions
0 Replies
854 Views
nimefarijika sana kwa jwtz kuonyesha uthamini wao kwa kumtembelea mjane wa baba wa taifa hili na kumsaidia kufanya usafi kwenye eneo lake, hakika ni jambo zuri sana kwa kumkumbuka baba yetu...
1 Reactions
1 Replies
917 Views
Hello I want to bring something in your mind. Can you believe that in Kishapu there is people who doesn't know how to read and write after 50 years of independent and the ruling part they proud...
1 Reactions
5 Replies
913 Views
Tuesday, 28 August 2012 21:24 Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta akizungumza na wananchi na wafanyabiashara ndogo waliopo katika mpaka wa Tanzania na Uganda eneo...
0 Reactions
0 Replies
843 Views
Nimemwona shighela akilaani chama cha demokrasia na maendeleo kuwa kinahusika na mauaji ya kijana mmoja muuza gazeti msanvu morogoro .kasema iweje, "CHADEMA wavaae magwanda, skafu, halafu polisi...
0 Reactions
93 Replies
8K Views
NA MWANDISHI WETU 29th August 2012 Mwenyekiti wa muda wa chama cha siasa chenye usajili wa kudumu cha Alliance for Democratic Change (ADC), Said Miraaj Abdallah (kushoto), akipokea cheti cha...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
  • Closed
Wakati vugu vugu la uchaguzi likiendelea ndani ya Ccm leo hii mjini Nzega, Mh Kigwangala akiwa katika harakati za kupanga timu yake ya ushundi amekamatwa na wana takukuru akigawa vitumbua na elfu...
6 Reactions
224 Replies
21K Views
Tangu dunia imeumbwa wamisionari wa kikristo kutoka ulaya walikuja na kujenga huduma mbali mbali za kijamii kwa kushirikiana na makanisa mbalimbali. Walijenga shule, hospitali makanisa, na...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Hapo mwanzo sikuwa nikifahamu kuwa kaka yetu STEPHEN NYERERE yupo CCM Lakini imethibitika Leo pale alipokuwa akichukua fomu za kugombea nafasi ya kamati kuu ya Chama hicho wilaya ya kinondoni...
0 Reactions
46 Replies
5K Views
Wednesday, August 29, 2012 MSIMAMIZI wa Uchaguzi mdogo Jimbo la Bububu, Ali Rashid Suluhu akimkabidhi fomu mgombea Uwakilishi katika jimbo hilo kupitia chama cha Mapinduzi, Hussein...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Chadema imetoa taarifa kuwa haina imani na tume inayoundwa na Waziri Nchimbi kuhusu mauaji ya raia huko Morogoro kutokana na polisi kutoa maelezo yanayojikanganya na yale ya wananchi. Hivyo...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Kuna taarifa za kuaminika kutoka kwa mmoja wa maofisa wa Safari Park iliyopo Gulshan-e-Iqbal huko Karachi Pakistan kuwa tangu wapokee Twiga na wanyama wengine kutoka Tanzania wamefanikiwa kuongeza...
5 Reactions
57 Replies
5K Views
Habari zenu wadau,mifumo ya uongozi ktk nchi ni suala muhimu sana ktk kusimamia mambo mbalimbali inayowahusu wananchi.Mifumo hii iliyoenziwa sana kipindi cha Mwl Nyerere inaonekana kutokuwa na...
0 Reactions
0 Replies
994 Views
Wana JF zifuatazo ni sehemu ya takwimu za mafanikio ya Operesheni Sangara Mkoani Morogoro zilizotolewa na Kamanda wa Operesheni hizo Bw. Benson Kigaila Operesheni Sangara Morogoro yaisambaratisha...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom