Katika harakati za mbunge chipukizi kutambua matatizo ya wananchi wake,kijana mbunge wa arumeru ndg. Joshua Nassari amevaa tochi kichwani na kushuka shimoni kunapochimbwa madini ya Tanzanite na...
Nikiwa naelekea ofisini asubuhi hii Radio Clouds wakiwa wanapitia habari za kwenye magazeti ya leo wamesoma gazeti moja likisema JWTZ limemkanya Edward Lowassa kwa kauli yake aliyotoa hivi...
Nimejaribu kuangalia mwenendo wa serikali hii iliyoko madarakani kwa sasa kwa kusema ukweli, hali ya ule umoja na undugu ambao hapo awali ulikua mkubwa kwa asilimia kubwa umepungua kiasi cha...
na Jumbe Ismaily, Singida
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Singida kimetangaza majina ya wanachama walioteuliwa kugombea nafasi mbalimbali kwenye jumuiya za chama hicho.
Katibu wa...
Huwezi amini kinachoendelea hivi sasa katika viunga vya manispaa ya Iringa mjini, Askari wasio na idadi wenye silaha nzito pamoja na magari yaliyofungwa vitaambaa vyekundu kuashiria hali ya...
B.B.C 28 Agosti, 2012 - Saa 11:56 GMT.
Ni nadra kwa kiongozi wa nchi yoyote kufariki akiwa angali madarakani. Tangu mwaka 2008, hili limefanyika mara kumi na tatu kote duniani -lakini kumi kati...
Katibu mkuu wa CHADEMA Dr. Slaa amesema kunabaadhi ya viongozi ndani ya Chama ambao wamekuwa wakizuia jitihada za Chama hicho za kuchukuwa dola.
Habari kamili Soma Habari leo.
The exportation of cement from Pakistan to Tanzania has enabled the Middle East's state to fetch over Tsh22bn ($15m), as it intends to invest into Tanzanian market. According to Pakistan's high...
Ndugu zangu,
Usiku wa saa sita umeingia tena hapa Iringa. Kabla sijaondoka kwenye meza ya kibarua changu nina neno fupi la usiku.
Naam, inasemwa, kuwa mchawi mchukie, lakini, sifa yake mpe...
Matokeo yamekuwa kama ifuatavyo:
Waliosema kulikuwa hakuna aja kwasababu watu walikuwa wanadai haki yao ni 91%
Waliosema kuwa polisi ilifanya sawa kutumia mabomu na nguvu kubwa ni 8%
Mwenye...
Katika pita pita zangu kwenye mitandao nimekutana na hii video ya Mh! Mbowe akielezea Jinsi JK alivyohongwa Suti ili kumtetea mwekezaji. Kama Rasilimali zetu zinauzwa kwa thamani ya suti...
Nashindwa kuelewa, kila siku Police wanavunja,kuzuia au kukataa kutoa vibali kwa vyama vya siasa. Wakati mwingine utakuta wasemaji wakuu wa hiyo mikutano ni wenyeviti wa Taifa wa vyama husika...
YES! Nasema hivi hata kama ni haki yangu ya msingi sihitaji tena,
Serikali JEURI,KOROFI,KATILI,ISIYO NA HURUMA kwa watu wake,
Watu wanapigwa risasi kama kuku ama kitu kisicho na dhamani kabisa...
Nani kati ya hawa ana ubavu kushindana na wa kutoka Chama Cha Chadema?
Je hawa waliopo hapa ni kitu kimoja au wamegawanyika?
Atakapochomoza mmoja kati yao wataungana au vita vitaendelea kugawa...
Ni mchezaji wa zamani wa Simba na Prisner na kocha wa zamani wa Simba. Asema huwa anachukia sana anapokuta watu vijiweni wakimponda JK.Sasa ameamua kutangaza nia ya kukombea ukatibu wenezi mkoa...
Vugu vugu la mabadiliko limeendelea kukiweka chama cha mapinduzi CCM mahali pabaya baada ya aliyekuwa mbunge wa Arusha Mjini kamanda Godless Lema kuingia katika Jimbo la Naibu waziri wa ardhi na...
Katika kile kinachoonesha kuwa ni mwendelezo wa jeshi la polisi kuitikia maelekezo bila kutafakari madhara yake leo asubuhi jeshi la polisi wilaya ya Nyamagana wameamua kuzuia mkutano wa hadhara...
Ya Moro hakuna kauli makini toka selikalini kukemea tukio la fedheha
Tujifunze kwa USA tukio la kutoa uhai hukemewa punde na mikakati ya usalama ya hali y juu kufuatilia.HIVYO TUITAKE KATIBA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.