RE: Nauliza kwanini Lema au Chadema hawajampeleka Lusinde Mahakamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

RE: Nauliza kwanini Lema au Chadema hawajampeleka Lusinde Mahakamani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by anney, Aug 29, 2012.

 1. a

  anney Senior Member

  #1
  Aug 29, 2012
  Joined: Jul 9, 2010
  Messages: 156
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Samahani wanaJF, Leo nimeangalia tena utube ya Mheshimiwa Lusinde imenikera sana. Nauliza: (1)kwanini hawajampeleka mahakamani?(2) Je wanaweza kumpeleka mahakamani sasa au wamechelewa?
  Nimeamua kuuliza haya kwa sababu tunaelekea uchaguzi mkuu 2015 ambao utakuwa wa ushindani mzito na maadili yatavurugwa sana. Tunapaswa kudhibiti huu uhalifu wa kutukana wengine matusi mbele ya watoto kabla ya uchaguzi ujao.
   
 2. m

  mikumoso Member

  #2
  Aug 29, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Ni kweli anastahili kushtakiwa.
   
 3. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #3
  Aug 29, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,153
  Likes Received: 844
  Trophy Points: 280
  Maneno yao hayo hao tuliyatumia jukwaani na tutayatumia majukwaani kuwa maliza....
   
 4. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #4
  Aug 29, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Kudadadadake yalivyopita si ndwele tugange yajayo!.... kudadadadadaadake tulishinda tukamsamehe!
   
 5. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #5
  Aug 29, 2012
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 5,918
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Ingawa Lusinde ni kichwa maji na hawezi kuaminika, lakini nilimsikia akiomba radhi kupitia Clouds FM. Nadhani hiyo ni sababu tosha ya kuachana naye.
   
 6. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #6
  Aug 29, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 9,642
  Likes Received: 2,974
  Trophy Points: 280
  Kukaa kimya ni jibu zuri sana kwa mjinga. Chadema wameamua kumdharau huyu mtukanaji kama walivyoamua kumpotezea Shibuda.
   
 7. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #7
  Aug 29, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 11,836
  Likes Received: 1,310
  Trophy Points: 280
  Mahakama zetu zipo kwa wananchi kupitia sanduku la kura
   
 8. Ston Merchant

  Ston Merchant JF-Expert Member

  #8
  Aug 29, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 394
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  hawana mda wa kubishana na vilaza.........
   
 9. Shekhe Gorogosi Jr

  Shekhe Gorogosi Jr Member

  #9
  Aug 29, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kukumaji huachwa achakure mchanga kwa faida yake. Hatuna haja na Lusinde
   
 10. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #10
  Aug 29, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Tusibishane na mjinga. Asamehewe hakujua alilolitenda.
   
 11. m

  miti Senior Member

  #11
  Aug 29, 2012
  Joined: Jun 16, 2012
  Messages: 136
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  mambo ya kesi tuwaachie ccm, kesi yetu sisi ipo kwa Allah, mana yeye ndo kila kitu.

  MALIPO DUNIANI AHERA KUHESABIWA
   
 12. n

  ndomyana JF-Expert Member

  #12
  Aug 29, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 4,687
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Tulimshitaki kwa wananchi wa arumeru, nafikiri uliona hukumu waliyoitoa wananchi kwenye sanduku la kura
   
 13. C

  Chacha Kisiri Senior Member

  #13
  Aug 29, 2012
  Joined: Nov 1, 2008
  Messages: 156
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Matamshi ya Lusinde yalikuwa evidence in Court of Law kutengua Matokeo yoyote ambayo yangeipa ushindi CCM. Sasa kwa vile CHADEMA walishinda uchaguzi, kumpeleka mahakamani Lusinde haikuwa na maana tena. Ndiyo maana Lusinde hakupelekwa Mahakamani.
   
 14. a

  afwe JF-Expert Member

  #14
  Aug 29, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 4,077
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Nawasifu CDM kwa kumpuuza Lusinde kwani kuna kila ushahidi kuwa ni mgonjwa wa akili. Ya nini kupoteza muda
   
 15. F

  FJM JF-Expert Member

  #15
  Aug 29, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,090
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  Pengine ni kwa sababu mahakama za Tanzania hazina uwezo wa ku-deal na mental cases!
   
Loading...