jk na mh.pinda turudushieni mamlaka ya dar es salaam kwa meya moja tu awe na sauti na mji wake huu uozo mlotuwekea kuwa namameya wengi hauna na hautakuwa na tiba kwa jiji hili hii ni njia kuongeza...
JANA tarehe 29/08/2012 Katika ziara Mheshimiwa Samwel Sitta Wazira wa Jumuiya ya Afrika Mashari Kutoka Wilaya ya Karagwe kuelekea Wilaya ya Kyerwa kulitokea ajali ya garia la Ofisa wa Ubalozi wa...
Nimejiuliza wenzetu wanaongelea nchi yao na issues....lakini wanasiasa wetu wamekazana kuojiongelea wao na wapambe wao..
Inamaana hakuna wanasiasa hasa vijana wenye kuweza kujenga hoja za msingi...
Cdm kimeonekana chama imara, lakini kisipokuwa makini na vipandikizi kitasumbuliwa sana, na ili kiwe safi, fukuza vipandikizi vyote kikianza na shiubuda
Naishauri serikali ya CCM ifanye haraka kukamata watu wote waliogomea sensa. Hao wataenda kuhesabiwa magerezani. Wakishahesabiwa iwaachie huru kwa kuwa wakiendelea kukaa gerezani wataleta-'damage'...
Wadau Nimeamua kuuliza ili kumfahamu vyema Huyu Kiongozi wa UVCCM Martin Shigela. Huyu Jamaa ni Kijana kweli? Hawa ndio wale Mchambuzi alikuwa anawafunda kwamba Kauli zao zinazidi kuchoche CCM...
Kwanza wote wababaishaji.Pili,wote wamejaa kejeli,matusi,sifa za kijinga na propaganda.Tatu,wote ni mafisadi. Nne,wote wana roho za kwanini.Tano,wote ni wachumia tumbo.Sita,wote si wakuwaamini...
Hbr zenu wadau,siku za hivi karibuni kumeripotiwa machafuko yaliyosababisha vifo vya polisi na raia kadhaa nchini Kenya.Machafuko haya yalitokea baada ya kuuwawa kwa mwanaharakati wa kiislam ktk...
Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii imetumia Sh. bilioni 1.01 kwa ajili ya maonyesho ya kilimo maarufu kama Nane Nane katika mwaka wa fedha 2009/2010 ambazo hazikuidhinishwa na Bunge.
Kwa mujibu...
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) imesema bado haijapata taarifa rasmi za hukumu ya Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Tabora iliyomng'oa ubunge wa Igunga, Dk Dallaly Peter Kafumu.
Hayo yalisemwa...
Jumanne, Agosti 28, 2012 05:48 Na John Maduhu, Mwanza
WAZIRI wa zamani wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Lawrence Masha amechukua fomu ya kuwania kiti cha Ujumbe wa...
Mimi ni kati ya watu nisiyopenda propaganda za kijinga.Nani anaweza akaamini kuwa CHADEMA walipata watu umati wote huu jana wakati mtu mmoja alikuwa ameshauawa na wengine kujeruhiwa mchana huohuo...
Good Environmental l Protection
Infrastructure that provides access to water and sanitation facilities are also key to good health
In addition to health, education is another important factor...
Mpambano wa Dr Kigwa na Bashe katika kinyanganyiro cha uwakilishi wa wilaya ya Nzega kwenye halmashauri kuu ya CCM umechukua sura mpya jioni hii baada ya Dr Kigwangalla kumtishia kwa bastola bwana...
Nyerere's death exposed Tanzanians to the dangers of building a state around one man, no matter how competent. What Mwalimu did was leaving us with a 500 pound gorilla that no one dared to...
Habari nilizozipa sasa
ni kuwa makao mkuu madogo ya CCM
Lumumba, wafanyakazi wake hawajalipwa posho na mishahara
yao ya miez kibao na ndio sababu
ya siri nyingi za chama na serikali upatikana...
Wananchi wanapopolewa kama maembe na vyombo vya usalama mwenyekiti na kamati yake ya bunge wako wapi? Mbona la Malawi hakuchelewa kwenda JWTZ kufuatila?
WanaJF
Kituo cha Habari cha ITV ndicho kimeonyesha balanced story kwa mauaji haramu yaliyotokea Morogoro leo.ITV imeweza kumuonyesha mtu aliyekuwa jirani na muuza magazeti aliyeuawa kinyama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.