Kikosi cha wasomi [Doctors, engineers, na wengine] kuhutubia mkutano wa CHADEMA Reading, UK | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikosi cha wasomi [Doctors, engineers, na wengine] kuhutubia mkutano wa CHADEMA Reading, UK

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Chilisosi, Aug 20, 2012.

 1. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #1
  Aug 20, 2012
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  [h=3]MKUTANO WA CHADEMA READING[/h]

  [​IMG]
  TAWI LA UK  Mkutano utafanyika siku ya Tarehe 26/08/2012 kuanzia saa saba mchana mpaka saa kumi na mbili jioni, siku ya Bank Holiday. .Risc Reading International Solidarity Centre, 35-39 London Street, Reading, RG1 4PS .
  [FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]BAADHI YA WATOA MADA MBALI MBALI WATAKAONGEA SIKU HIYO NI;

  [FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]DR, LUSINGU[/FONT]
  [FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]DR, ALEX [/FONT]
  [FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]ASERI KATANGA (Chairman computers for AFRICA)[/FONT]
  [FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]Engineer PRUDENCE[/FONT]
  [FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]LIBERATUS MUSIBA (Msc, Project planning & Management)[/FONT]
  NA WENGINE WENGI
  Watanzania wote na wadau mbali mbali mnakaribishwa
  MFUKO WA KUFA NA KUZIKANA UTAANZISHWA SIKU HIYO KWA AJILI YA WATANZANIA WOTE WAISHIO UK. MFUKO UTASAIDIA KUSAFIRISHA MAREHEMU PAMOJA NA MFIWA MPAKA NYUMBANI. KITU AMBACHO UBALOZI WETU UMESHINDWA KUKIFANYA  SISI SOTE NI NDUGU, TATIZO NI CCM


  ni wakati wa kusimama na kusema tumechoka

  KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NA HAWA WAFUATAO
  MWENYEKITI: Chris Lukosi 07903828119

  Au tutumie email kupitia chademauk@gmail.com

  [TABLE="class: yiv395726905tr-caption-container"]
  [TR]
  [TD="class: yiv395726905tr-caption"]

  Peooooople's Power[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  [/FONT]
   
 2. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #2
  Aug 20, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,147
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  mapambano yanaendelea
   
 3. Bwa'Nchuchu

  Bwa'Nchuchu JF-Expert Member

  #3
  Aug 20, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 2,178
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Kwa nini uweke "wasomi"?
   
 4. b

  baajun JF-Expert Member

  #4
  Aug 20, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 200
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  This is another level...
   
 5. M

  Mzee wa fund JF-Expert Member

  #5
  Aug 20, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 520
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Viva CDM.Keep it up.
   
 6. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #6
  Aug 20, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Huo mfuko wa kufa na kuzikana unachafua ajenda. Kwani huko UK mnasaidiana kiitikadi???? Maana mkutano huo utaudhuriwa na wanachama/wapenzi wa CHADEMA. Nashauri itafutwe forum nyingine kwaajili ya kuanzisha huo mfuko wa kufa na kuzikana ili tudumishe utaifa wetu hata kama mpo nje ya nchi.
   
 7. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #7
  Aug 20, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,110
  Likes Received: 10,462
  Trophy Points: 280
  Ukombozi kila kona ya dunia.
   
 8. h

  hans79 JF-Expert Member

  #8
  Aug 20, 2012
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  Chanzo muhimu kwa hiyo kufa na kuzikana sawa kuwa agenda mojawapom
   
 9. Kalashkano

  Kalashkano Senior Member

  #9
  Aug 20, 2012
  Joined: Jul 7, 2012
  Messages: 187
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  kaka hapo hujaelewa kidogo hao jamaa wanasema, ccm imeshindwa!
   
 10. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #10
  Aug 20, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Inaelekea hujanielewa vizuri. Sijapinga kuwa agenda ya kufa na kuzikana si muhimu kwenye kikao hicho, bali kitawatenga wengine wenye itikadi tofauti. Bado kunauwezekano wa kuitisha mkutano maalumu kwa ajili ya agenda hiyo muhimu bila kuhusisha itikadi. Samahani na pole sana kama nimekukwaza kwa angalizo hili.
   
 11. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #11
  Aug 20, 2012
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Huo mfuko ni kwa ajili ya watanzania wote waishio UK , uwe CUF, CCM, UDP PONA kila mtu atanufaika na huu mfuko
   
 12. Kitila Mkumbo

  Kitila Mkumbo Verified User

  #12
  Aug 20, 2012
  Joined: Feb 25, 2006
  Messages: 3,347
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Nimeipenda hii: "Sisi sote ni ndugu, tatizo ni CCM". Hii inapaswa kuwa kauli mbinu yetu sote kuelekea 2015.
   
 13. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #13
  Aug 20, 2012
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  asante kaka
   
 14. frema120

  frema120 JF-Expert Member

  #14
  Aug 20, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 5,103
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Ulitaka wampeleke shibuda au lusinde

  V
  SENGEREMA
   
 15. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #15
  Aug 20, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Asante kwa ufafanuzi. (LIKE)
   
 16. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #16
  Aug 20, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,606
  Likes Received: 6,182
  Trophy Points: 280
  Dr.,

  Bila ya kukanusha ukweli wa wazi unaoudokezea, napenda ku challenge hii notion inayo imply ya kwamba tatizo letu ni CCM tu, tukiwaondoa mambo yatakuwa "hunky-dory".

  Obviously kauli mbiu zina characteristic ya ku oversimplify mambo, lakini hili halizuii a fuller examination ili hata watu wakitumia kaulimbiu hizi, wawe na context.Kwa sababu unaweza kuwambia watu "tatizo ni CCM" wakakupa nchi, uka implode kwa sababu nchi haina culture ya institutional politics, uka wa disappoint watu buree.

  Kuna wengine tunaoona kwamba kuna mizizi ya matatizo yetu iliyo katika mambo yaliyo na kina zaidi ya vyama, na kuharakisha lawama kwa CCM tu ni kuficha tatizo.

  Nimeuliza kuhusu "Red Brigade" ya CHADEMA hapa https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/310262-picha-mbalimbali-operesheni-m4c-morogoro.html#post4461104

  Na hapa https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/310262-picha-mbalimbali-operesheni-m4c-morogoro-2.html#post4463895

  Sijapewa majibu.

  Inaonekana labda CCM kiko vulnerable zaidi kwa sababu kina form serikali, lakini is CHADEMA truly principled?
   
 17. M

  Molemo JF-Expert Member

  #17
  Aug 20, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Umenena vema mkuu Kitila.Mbunge wetu mtarajiwa wa Iramba Magharibi.
   
 18. Bwa'Nchuchu

  Bwa'Nchuchu JF-Expert Member

  #18
  Aug 20, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 2,178
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Unaweza kuyaorodhesha baadhi ya hayo mambo yaliyo na kina zaidi ya vyama?
   
 19. M

  Molemo JF-Expert Member

  #19
  Aug 20, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Kuwa mfuasi wa Magamba yataka moyo.......Mkuu nakushauri muulize kwanza Nape kuhusu Green Guard na unyama waliofanya kule Igunga.
   
 20. m

  majebere JF-Expert Member

  #20
  Aug 20, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 4,520
  Likes Received: 567
  Trophy Points: 280
  Hao wasomi wameleta faida gani Tanzania? Hawana tofauti na hao wa M4D(death).
   
Loading...