Ukweli juu ya m4c ya CHADEMA na sensa inayoendelea-ufanisi v/s kukubalika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukweli juu ya m4c ya CHADEMA na sensa inayoendelea-ufanisi v/s kukubalika

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Negotiator, Aug 29, 2012.

 1. Negotiator

  Negotiator JF-Expert Member

  #1
  Aug 29, 2012
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 303
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  nimetafakari hoja au propaganda kama wengine wanovyoziita ya kuzuia mikutano ya chadema mpaka sensa itakapomalizika na kukubaliana na ukweli ufuatao;

  1. kwamba serikali inatambua kua wakazi ambao maeneo yanataembelewa na M4C wako tayari kupuuzia zoezi la sensa na kuhudhuria maandamano na mikutano ya chadema pasi na shaka ya kutokuhesabiwa.

  2. serikali imepatwa na hofu kuu ya kukubalika kwa M4C hivyo ipatikanapo sababu yoyote ile wataitumia ili kuzuia mikutano ya chadema.

  3. kwamba wananchi hawaogopi tena vitisho vya vyombo vya dola na wako tayari kusonga mbele kwa kile wanachoamini ni sahihi

  4. kwamba hata sasa chadema kupitia katibu mkuu wake wanajua nguvu ya umma iliyo pamoja nayo hivyo kuridhia kusitisha mikutano yao kuinusuru serikali.
   
 2. l

  luhwege Member

  #2
  Aug 29, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 90
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Kweli umenena maana hakuna mtu hata mmoja atakae subiri kujiandikisha wakati watu wanazungumzia kitu kipya na kinachohubiri maisha bora
   
 3. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #3
  Aug 29, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  peoples power si mchezo!
   
 4. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #4
  Aug 29, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mawakala wenyewe wa sensa wanahamu ya kwenda kusikiliza M4C
   
 5. E

  EMMANUEL NSAMBI JF-Expert Member

  #5
  Aug 29, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 402
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Sio tu watu kuhudhuria mkutano na kuacha kuhesabiwa bali hata hao wa sensa wataacha
  kuhesabu na kukimbilia M4C.
   
 6. G

  Gongerfasil Member

  #6
  Aug 29, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 96
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 25
  saaaaaaaaafi sana mkuu kwa integrated skill
   
 7. NG'OMBE

  NG'OMBE JF-Expert Member

  #7
  Aug 29, 2012
  Joined: Mar 26, 2011
  Messages: 362
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Huwezi kuzuia jua lisizame, CCM lazima ife, hongera Dr wa ukweli kwa busara zako, maana anajua kabisa hawawezi kuizuia M4C kwa polisi tena.
   
 8. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #8
  Aug 29, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,202
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  IGP Mwema baada ya kuona Mabavu hayafui dafu kwenye M4C akaamua kumpigia Dr wa Ukweli magoti na Inasemekana katumwa Na Mwenyekiti wa Chama Cha Mabwepande kwavile yeye kaona aibu ya kuitwa Dhaifu zaidi
   
 9. m

  mwinukai JF-Expert Member

  #9
  Aug 29, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 1,448
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  well said
   
 10. samstevie

  samstevie JF-Expert Member

  #10
  Aug 29, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 202
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakina Nape wanaona noma kusimama majukwaani kuhofia kutoungwa mkono na majority so wanawatumia polisi wao kudhibiti kundi la watu ambao hawana nia mbaya kwa jamii. Mimi nasema mwisho wa ubaya ni aibu, CCM watavuna walihokipanda ifikapo 2015 nadhani wananchi wana nafasi kubwa ya kulipa kisasi dhidi ya unyama wanaofanyiwa.
   
 11. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #11
  Aug 29, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Aisee babaangu m4c itawamaliza magamba
   
 12. babalao 2

  babalao 2 JF-Expert Member

  #12
  Aug 29, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,218
  Likes Received: 1,271
  Trophy Points: 280
  Watz sio wale wa 1960 wakimuona polisi wanabadili njia mambo yamegeuka kwa sasa polisi huogopa raia asiye na silaha.
   
 13. M

  Mtanke JF-Expert Member

  #13
  Aug 29, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 282
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
Loading...