Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

HATIMAYE Mwenyekiti wa Jumuiya ya Chama cha Madaktari, Dk. Steven Ulimboka, ameibuka toka mafichoni na kuwaambia Watanzania kwamba anayejua mpango mzima wa kumteka, kumtesa na kumpiga ni yeye...
3 Reactions
320 Replies
25K Views
KOMRAD NAPE LIVE NA WANAHABARI MUDA HUU CCM LUMUMBA K/KOO. AWAJIBU CHADEMA.. ."..siku saba walizonipa nyingi sana,ushahidi upo kwa kila nachosema...waende mahakamani leo wasisubiri siku...
1 Reactions
115 Replies
11K Views
Katika kipindi cha Baragumu (majadiliano) kinachorushwa na Channel 10 leo asubuhi kulikuwa na mjadala kuhusu suala la vijana wanaomaliza kidato cha sita kujiunga na JKT kwa mujibu wa sheria. Wengi...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Na Nathaniel Limu, Singida JUMLA ya wanachama wanne wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) mkoani Singida akiwamo Diana Chilolo, wameomba nafasi ya uenyekiti ngazi ya mkoa kupitia jumuiya hiyo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kama mtanzania mwenye upendo na mzalendo wa nchi na watu wake ningependa kujua idadi ya wananchi ambao wamekufa kwa kuuwawa na polisi wakati harakati za kisiasa baina ya CHADEMA na CCM. Swala...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Jumanne, Agosti 28, 2012 05:42 Na Oscar Assenga, Tanga CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Tanga Mjini, kinatarajiwa kufanya mikutano ya hadhara...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Ni kutokana na kauli yake ya dharau kwa majaji wa mahakama kuu na kuwataja kwa majina wahusika katika sakata la Ulimboka!
2 Reactions
119 Replies
12K Views
Benson Kigaila, Mkurugenzi wa Organaizesheni wa CHADEMA ameonyesha ukomavu.Amekuwa jasiri na mpiganaji wa kweli. Ni kiongozi wa juu pekee wa CHADEMA aliyezongwa na Polisi jana pale Morogoro...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Kuhesabiwa ni muhimu jamani
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Msemaji wa JWTZ, Kanali Kapambala Mgawe Sehemu ya Wanajeshi wa JWTZ walioshiriki kwenye gwaride la sherehe za kuvishwa nishani ya amani ya UN kwa kikundi cha TANZBATT-1lililofanyika Darfur...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Jana nikiwa kwenye mkutano wa M4C kuna wakina mama wawili walikuwa pembeni yangu nikawasikia wakisema hawa wanatudanganya wakipata nawo watatutesa kama CCM wanavyotufanyia. Ikanibidi niingilie...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mamlaka ya jiji imeomba kuipiga mnada jengo la Machinga Complex kwa kuwa hawana fedha za kulipa deni hilo linaloelekea zaidi ya bilioni 32
0 Reactions
20 Replies
3K Views
  • Closed
John Heche, Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa anahojiwa na polisi muda huu na anahojiwa na OCCID George wa Sirari kwa kutumia lugha za uchochezi jukwaani na kumwita Rais Kikwete "ombaomba". Mwandishi...
9 Reactions
54 Replies
6K Views
Ndugu zangu, Inakaribia saa sita za usiku hapa Iringa. Kabla sijafunga kazi zangu za usiku huu nimeona niseme japo neno fupi la usiku huu. Ndio, nimelipitia jarida la kila wiki ( Pichani)...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Ni saa chache zimebaki kabla ya wananchi wa manispaa ya Iringa mjini na viunga yake kukutana na makamanda, wabunge na viongozi wa kitaifa wa Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA katika...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Monday, 27 August 2012 20:31 Waandishi Wetu MCHAKATO wa kuwania uongozi ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), umeshika kasi baada ya mahasimu wawili wilayani Nzega mkoani Tabora, Hussein...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeanza kutumia katika mikutano yake kitabu kilichotungwa na Katibu Mkuu Mstaafu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Yusuph Makamba, kinachoeleza sababu za...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Katika mkutano wake wa leo kidudwe mtibwa 27.08.2012 Makala anaacha kuongea mambo ya maana anakalia mambo ya kinafiki na ya kipuuzi mno. kweli JK ulikosa waziri wa kumteua? Angalia hoja zake hapa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
....Amewaomba polisi wamuombe Dr Slaa ushahidi kuwa CCM wameingiza silaha kwa ajili ya vijana wao waliopo makambini, akiri kuwa uwa CCM uwa wanawaweka vijana makambini kujadili mambo mbalimbali...
1 Reactions
140 Replies
10K Views
  • Closed
​​​​Mwalimu nyerere katika kitabu chake cha Uongozi wetu na hatima ya Tanzania aliwahi kuandika, Chama legelege huzaa serikali regelege. Nami nasema, kama hiyo ikitokea...
2 Reactions
48 Replies
6K Views
Back
Top Bottom