Je wana ccm wanajua walichopoteza kwa wananchi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je wana ccm wanajua walichopoteza kwa wananchi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mwinukai, Aug 29, 2012.

 1. m

  mwinukai JF-Expert Member

  #1
  Aug 29, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 1,448
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Inaonekana dhahiri kuwa CCM haijuia na wala haijiatambui kuwa nini imekipoteza toka kwa Wananchi, kwa mda mwingi CCM imekuwa ikitumia vizuri sana PROPAGANDA kutokana na mtaji mkubwa wa ujinga wa Watanzania, kiasi kwamba propaganda zimegeuka kuwa msingi wa kuendesha chama.

  Kutokana na matumizi mabovu ya propaganda CCM imepoteza imani toka kwa Wananchi, wakisema la uongo hata la ukweli Wananchi hawawaamini, kwani uongo ndio msingi mkuu wa CCM kwasasa hata uongo wenyewe unaotolewa kwa sasa haukidhi hata kiwango cha ujinga walionao Watanzania, kwani uongo wanaousema/ongea kwa sasa unakidhi viwango vya wapumbavu tuu kuwaamini na sio wajinga na ndio sababu wamepoteza imani.
   
Loading...