Mliopo kwenye sekta ya magazeti Fanyeni hili

Mpitagwa

JF-Expert Member
Feb 10, 2012
2,339
1,119
WanaJF, nimeona vema nitumie jukwaa hili kuwaomba wenzetu waliopo kwenye sekta ya magazeti wapeleke rambi rambi morogoro kwani kijana aliyeuwawa kwa kutupiwa bomu la machozi alikuwa anauza magazeti. Na kwa mtazamo wangu huyu ni mdau mhimu sana katika sekta hii. Hivyo niwaombe ndugu zetu waliopo kwenye sekta ya magazeti wapeleke rambi rambi kwa marehemu madau wao. Na ni magazeti yote bila ya kujali itikadi za vyama. Kila la kheri
 
Back
Top Bottom