Chengi ya rada kulikoni na ahadi ya elimu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chengi ya rada kulikoni na ahadi ya elimu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jethro, Aug 29, 2012.

 1. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #1
  Aug 29, 2012
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Wana JF,

  Napenda kuja na hoja hii ya CHANGI YA RADA na KUHAIDIWA KUWA ITATUMIKIKA KUBORESHA MAHITAJI YETU KATIKA ELIMU E.S.P VITABU

  Waziri mkuu pinda alitetea Bungeni hoja ya changi ya rada kupelekwa Elimu na wakasisitiza kabisa itakuwa kwa ajili ya kuchapisha vitabu.

  Cha kustahajabisha sana leo asubuhi wakati nasikiliza kipindi cha magazeti - Radio Free Africa katiki kati kukawekwa tangazo na lina dhaminiwa na AirTel na tangazo lenyewe ni changia Elimu na ndani mwa tangazo kukatajwa kuchangia VITABU sasa hapo nashindwa kuelewa. Kulikoni Chengi ya Rada na ahadi kwa Elimu imekuwaje tena ????

  Kulikoni AirTel muje na hoja ya changia Elimu tena esp Vitabu?? Hapa si nikutia shaka wananchi.

  Rais Majuzi amesikika akisema hakuna mwenye kosa kwenye issue ya RADA, Bado Bunge la Uingereza lina tunyooshea vidole kwa issue ya RADA, na matumizi ya Misaada kwa Kodi za wananchi wa Uingeraza kutumika vibaya nchini.

  Jamani huku tuendako ni sawa IKULU/SERIKALI "wish to turn deaf ear to this RADA scandal" mnafanya kazi gani, Mkikosolewa hamfanyii kazi kwa yale munayo ambiwa.

  My Take;


  IKULU/SERIKALI "wish to turn deaf ear to this RADA scandal"
   
 2. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #2
  Aug 29, 2012
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  kuhusu kuchangia acha tu tuchangie kwani hata hiyo chenji ikirudi bado si kitu katika elimu, ila wale wote wa rada siku nikiwa madarakani nitawashitaki na kama wamekufa nitashitaki mpaka makaburi yao. ninahasira ile mbaya.
   
Loading...