PICHA: Ufunguzi wa tawi la CCM DC wafunika bovu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

PICHA: Ufunguzi wa tawi la CCM DC wafunika bovu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nngu007, Aug 27, 2012.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  Aug 27, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145

  [​IMG]
  MH. Abdulhaman Kinana akiingia ukumbini uku akiongozana na viongozi wa tawi la CCM hapa DC.
  [​IMG]


  MH. Abdulhaman Kinana akipiga makofi uku hakiingia ukumbuni hapo tayari kwa ufunguzi wa tawi la CCM, watu wengi walijitokeza katika ufunguzi huo na kujipatia kadi za chama chao tawala cha CCM.
  [​IMG]
  Picha ya pamoja ya viongozi wote wa matawi mengine ya CCM kutoka sehemu tofauti za nje ya DC kama Minnesota kiongozi wake alikuwepo, North Carolina, New York na Taxas.
  [​IMG]
  Meza kuu na ya viongozi wakiwa wametulia kabisa wakisikiriza lisara lilikuwa lina sumwa ukumbuni hapo
  [​IMG]
  Loveness mwenyeketi wa tawi la CCM, DC akiongea maneno mawili matatu kabla ya kumkaribisha mgeni rasm katikia shughuri hizo za ufunguzi wa tawi la CCM hapa DC.


  [​IMG]
  MH. Abdulahaman Kinana akiongea baada ya kukaribishwa na mwenyekiti wa tawi la CCM, DC Loveness. Kwa picha zaidi bofya ready more.

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]  [​IMG]

  [​IMG]  [​IMG]

  [​IMG]  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  Picha kwa hisani ya Vijimambo Blog
   
 2. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #2
  Aug 27, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145


  Ulaji wa Taifa la Tanganyika huo... Mapesa ya MADINI na GAS yananenepesa Wana DMV...

  Waache tu wasigombane wakaitiana MAPOLISI...
   
 3. p

  politiki JF-Expert Member

  #3
  Aug 27, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
  Katibu Mkuu wa Chamacha Demokrasia na Maendeleo - Sunday, 26 August 2012

  inabidi CCM mufundishwe nini maana ya kufurika kama hao watu walioukuja kula vitumbua kwenye ukumbi wa kuchukua watu 50 wamefurika na hao hapo kwenye mkutano wa slaa ambapo hakuna vitumbua, mahandazi, hakuna a/c wala kivuli wakipigwa na jua kali utasema wamefurika au vipi ?? labda mmekaa sana usa mmesahahu maana ya neno kufurika . chadema oyee kaeni na vitumbua na maandazi yenu sisi na Tanzania yetu na chadema yetu.
   
 4. Gobret

  Gobret JF-Expert Member

  #4
  Aug 27, 2012
  Joined: Jun 11, 2010
  Messages: 320
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  :yawn: KUMBE WENGI SIO WATZ. :nerd: NILIDHANI NA HAO WANAWAKE WALIKAA UCHI NI WATZ. DU! :sleepy:WAGENI NI WENGI, CHEKI NA HILO DUME LA MBEGU LILILOVAA HERENI, NILIDHANI NA YEYE NI MTZ. :shut-mouth: mhhhhhhhhhhhhhhhhhhh!
   
 5. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #5
  Aug 27, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,568
  Likes Received: 1,933
  Trophy Points: 280
  hawa ni mafisadi na wachumia tumbo tu wanakula ambavyo tayari washaiba.Hilo grupu la mafisadi na relatives wao na wapambe kadhaa ndo mnasema watanzania wa DC.Hiyo pati mngefanyia nyumbani tu kwa mmoja wenu,otherwise ni propaganda tu za magamba na maslahi binafsi ya "nitokeje", hakuna lolote hapo.Kama unakaa nje ya nchi halafu unaufagilia utendaji wa serikali ya ccm basi unanufaika na matendo hayo maovu!
   
 6. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #6
  Aug 27, 2012
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Sharti la kwanza kama wewe ni mfanyakazi wa ubalozi au una uhusiano na serikali ni lazima uhudhurie. Lakini kinachonishangaza ni kuona baadhi ya watu ambao walikuwa kwenye ufunguzi wa tawi la CDM leo hii wapo hapo, ina maana wamerudisha kadi au wamefuata mnuso?. Dickson vipi mwana Kazima leo hii unatafuta suruali nyeusi na shati la kijani ili kuhudhuria party ya CCM.

  Hizi si events za kuhudhuria kwani hela inayotumika hapo ni ya walipa kodi wa Tanzania na hivyo kupata mlo ni sehemu ya kula jasho la watanzania waliopo nyumbani.
   
 7. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #7
  Aug 27, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Hayo marangi siyapendi kabisa mimi.
   
 8. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #8
  Aug 27, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mbona kuna sehemu nimeona kama mashindano ya mavazi vile au macho yangu!
   
 9. J

  JokaKuu Platinum Member

  #9
  Aug 27, 2012
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,769
  Likes Received: 4,982
  Trophy Points: 280
  ..naona kuna mambo yasiyokuwa na heshima yalikuwa yanaendelea huko.

  ..sasa naelewa kwanini walisubiri mwezi mtukufu uishe ndiye wafanye madudu yao.

  ..hebu oneni kama hao kina mama watatu hapo. hivi kweli hiyo ni picha ya heshima kweli??
   
 10. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #10
  Aug 27, 2012
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,109
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Yaani Mbowe amekuja Houston na ameongea mambo ya muhimu kwa nchi na ni serious issue. Sasa DC Kinana ameenda kuwapa watu mashati na magauni ya kijani na kucheza mduara. Je hii inasaidia vipi nchi yetu Tanzania. Ukweli ni kwamba kila mtu wa USA makini anajua kwamba mambo yote makini ya Watanzania Marekani yanaanzia Houston, TX na hiyo haitabadilika. DICOTA imeanzia wapi?? Houston!
   
 11. b

  bagamoyo JF-Expert Member

  #11
  Aug 27, 2012
  Joined: Jan 14, 2010
  Messages: 4,528
  Likes Received: 2,113
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Naona Mh. sana Kinana kakumbatia kitu kwa mbali ktk picha hapo juu.

  Mi nina shaka kama kuna jambo lolote muhimu juu ya mustakhabali wa nchi yetu Tanzania na wananchi wanyonge yaligusiwa.

  Hali hapa ni kama ukumbi wa 'Lango- la- Jiji' , Magomeni Mapipa jijini Dar-es-Salaam watu kujirusha kwa raha zao! 'Kila-Mtu-na- Mtuwe!
   
 12. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #12
  Aug 27, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Mizee mingi hapo imekwenda kutembelea watoto wao waliowapeleka nje na baadhi nyumba zao ndogo zilipo huko hivyo kwao hiyo ilikuwa ni likizo time.

  Kwa chaa kisanii ni kama wanaendeza usanii.
   
 13. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #13
  Aug 27, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,933
  Likes Received: 670
  Trophy Points: 280
  Hawa wapo nyuma sana na Tanzania ya leo .... mikutano hii ni tofauti kabisa na hali halisi
   
 14. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #14
  Aug 27, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,568
  Likes Received: 1,933
  Trophy Points: 280
  Yani mkuu ndo umepatia kabisa.Ndo ukweli wenyewe huo.Hapo ni hizo kijani tu ndo wanazugia as usual kutumia kivuli cha chama kumbe wana agenda zao tofauti kama ulivyosema hapo juu.
  Ccm ina wenyewe na wenyewe ndo hao.
   
 15. b

  bagamoyo JF-Expert Member

  #15
  Aug 27, 2012
  Joined: Jan 14, 2010
  Messages: 4,528
  Likes Received: 2,113
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Katika hii picha sera gani tena hapa CCM wanaleta?? kwenye kiti kina mama wanafanya nini tena!
   
 16. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #16
  Aug 27, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,568
  Likes Received: 1,933
  Trophy Points: 280
  Huo ni "mduara" mkuu,mdada anaingia anakaa hapo kwenye kiti katikati anafanya mambo kisha watu wanamtuza.Mambo ya mduara bado yapo sana kwenye party za wabongo.Bongo nasikia kiduku ndo iko juu?
   
 17. Deus F Mallya

  Deus F Mallya Verified User

  #17
  Aug 27, 2012
  Joined: Jul 28, 2011
  Messages: 707
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kwani ubalozi wa Tanzania una wafanyakazi wangapi? Ni simple kuwaalika kwenye 'Mnuso' na pengine bila kuwaambia malengo ya 'Mnuso huo'. Inavyoonekana ilikuwa mini party ndo maana ajenda kuu iliyotawala (Kwa mujibu wa picha) ni Unenguaji. Wadada wanaonekana ni wa 'Khanga moko ndembendembe'.. Waambieni huo mchezo uishie huko huko huku umeshapigwa marufuku. Labda waje na kiduku wakachezee Manzese na Tandale kwa tumbo.
   
 18. m

  majebere JF-Expert Member

  #18
  Aug 27, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 4,520
  Likes Received: 567
  Trophy Points: 280
  Haya watawi yanafaida gani jamani? CCM na CDM wanapoteza hela kwa hawa walio kimbia kwao,sio bora hizo hela zingeliwa hapa TZ.
   
 19. M

  Mwikimbi JF-Expert Member

  #19
  Aug 27, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,745
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  cdm inafaidika zaidi kwenye haya matawi ya nje, wanachama wapenda mabadiliko wanapata wasaa wa kuchangia m4c kwa hali na mali. ccm wanaiga, na hasa hawa ccm diaphora sana sana wanajipendekeza kwa ccm kupata ulaji.
   
 20. Medical Dictionary

  Medical Dictionary JF-Expert Member

  #20
  Aug 27, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 1,053
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  ballali alikuwepo.???
   
Loading...