CHADEMA, msifanye kosa kuendelea na ziara kabla ya kumzika marehemu Morogoro

USTAADHI

JF-Expert Member
May 10, 2011
1,516
136
Kwa wale wote mnaoweza kuufikisha ujumbe huu kwa Katibu Mkuu Mh DR. SLAA, kulingana na tukio la jana mjini hapa, kuna propaganda nzito sana ilikuwa inajengwa na makada viongozi na wabunge wa CCM hapa mkoani kwa nyakati tofauti wakinyatia kuona kama ushiriki wa CHADEMA kwenye msiba wa marehemu kamanda ALLY ZONA, aliyepigwa risasi na polisi waliokuwa wanazuia maandamano ya amani jana litachukuliwa uzito kama lile la ARUSHA, ama hawa watapewa mtu wa uwakilishi kwa ajili ya chama kujitoa lawama?

Cha msingi hapa na ushauri wangu kama mpenda mabadiliko ni kutowapa nafasi hawa mashetani wa kijani wauwaji kujenga hoja yoyote ya kupumbaza watu.

1. VIONGOZI WA CHADEMA WASHIRIKI KIKAMILIFU AKIWEMO KATIBU MKUU
2. TAMKO ZITO LA KUTOENDELEA KUVUMILIA MAUAJI LITOLEWE
3. IFIKE SEHEMU POLISI WAOMBWE MAJIBU YA SABABU ZA KUUA WANANCHI BILA SABABU

TUANZIE HAPA MOROGORO

AHSANTENI
 
Mimi mwenyewe nimepata habari kwamba CCM wameandaa propaganda kwamba CDM wao wapo kikanda zaidi na msiba uliowauma zaidi ni ule wa Arusha
 
Ustaadhi umeongea Neno la maana Mno Mno. Najua wakuu wengi wanapita humu watafikisha hizi taarifa, Pia naamin Chadema wanatakiwa wawe na uwezo wa kuwaza ulichowaza. Nitashangaa sana kama hawakufikiria hilo
 
Umenena vyema sana mkuu,naomba ujumbe huu uwasilishwe kwa viongozi wa chama mapema iwezekanavyo!
 
Nami ntashiriki nikipewa ratiba mapema, ofcoz Ally amekuwa shujaa wa mabadiliko mkoan Morogoro, napendekeza hilo tamko litolewe na mnafiki Zitto, ama yeye haguswi? ama ndio kutoikosoa serikali ya JK? anajitega vijana wanakufa?
 
mjumbe mzito sana huu mkuu USTAADHI

asante kwa fikra chanya. Hakika CHADEMA mazishi ya shujaa ALLY yawe ya kitaifa kwa chama yaani ÇDM.

Fursa hii pia ni nzuri kujenga publicity na kuwajibisha jeshi la polisi kwa umma
 
Kwa wale wote mnaoweza kuufikisha ujumbe huu kwa Katibu Mkuu Mh DR. SLAA, kulingana na tukio la jana mjini hapa, kuna propaganda nzito sana ilikuwa inajengwa na makada viongozi na wabunge wa CCM hapa mkoani kwa nyakati tofauti wakinyatia kuona kama ushiriki wa CHADEMA kwenye msiba wa marehemu kamanda ALLY ZONA, aliyepigwa risasi na polisi waliokuwa wanazuia maandamano ya amani jana litachukuliwa uzito kama lile la ARUSHA, ama hawa watapewa mtu wa uwakilishi kwa ajili ya chama kujitoa lawama?

Cha msingi hapa na ushauri wangu kama mpenda mabadiliko ni kutowapa nafasi hawa mashetani wa kijani wauwaji kujenga hoja yoyote ya kupumbaza watu.

1. VIONGOZI WA CHADEMA WASHIRIKI KIKAMILIFU AKIWEMO KATIBU MKUU
2. TAMKO ZITO LA KUTOENDELEA KUVUMILIA MAUAJI LITOLEWE
3. IFIKE SEHEMU POLISI WAOMBWE MAJIBU YA SABABU ZA KUUA WANANCHI BILA SABABU

TUANZIE HAPA MOROGORO

AHSANTENI

"Tuko tayari kushirikiana na familia ya kijana huyo kwa ajili ya taratibu zote za mazishi. Tutamzika kishujaa kwa kuwa alikufa akikipigania chama," alisema Dk Slaa.
Aliwataka wananchi kuonyesha uchungu kwa kifo cha mfuasi huyo kwa kutupa kadi za CCM na kuchukua za chama hicho cha upinzani.
 
.....[/QUOTE]

A big up, well stated. of course CCM ni kama fisi lizee linalosubiri mkono udondoke liule, fursa kama hizo wanazisubiria sana, wameshindwa kuwa proactive sasa wamebaki kuwa reactive to CDM for everything. Bravo for forward thinking.
 
Uko sawa ustadh na naomba uwambie pia maustadh wengne tuwe pamoja ktka kukataa unyanyasaji wa serikali ya mashetwani wa kijani.

Wasitutenge kwa dini zetu na makabila yetu kama wanavyofanya.INA NIUMA SANA MTU KUPOTEZEWA MAISHA YAKE PASIPOKUWA NA SABABU YA MSINGI.KWA UJUMLA HAKUNA SABABU YOYOTE YA KUPOTEZA MAISHA YA MTU.

Polisi na serikali dhalimu ya kijani wajiulize.

1.Wangeruhusu maandamano ya amani yafanyike,je angekufa mtu?

2.Watu walipoandamana na polisi kuzuia hayo maandamano,je shughuli zilikuwa zinaendelea? Kwa sababu walisema maandamano kufanyika yangevuruga shughuli za maendeleo kufanyika.Je, wakati wanapiga mabomu shughuli gani ya maendeleo ilikuwa inafanyika? Watuambie.

3.RPC shilogile (shilogile =amerogwa) anaposema kwamba policcm hawakutumia risasi za moto anamaanisha marehem ameuawa kwa risasi toka bunduki ya nani? Raia au policcm?

4.Kwa nn watu pamoja na kutawanywa kwa mabomu walikuwa na ujasiri wa kuhudhuria mkutano tena kwa wingi hivyo?

5.Nawauliza pia polis,mnajua kufiria kwa kutumia masaburi? Kama hamjui nawaambia hv akili za kufundishwa na mashetani wa kijani,jumlisheni na za kwenu hapo mtakuwa mnafikiria kwa kutumia lisu (kichwa)
 
....[/quote]

kwani huyu ni mwanachama wa CHADEMA? Kama siyo mwanachama ni jukumu la familia na jeshi laa polisi.
 
kwani huyu ni mwanachama wa chadema? Kama siyo mwanachama ni jukumu la familia na jeshi laa polisi

kweli wewe siyo muungwana!!! waungwana hutenda yaliyo mema na kuwasitiri wafu katika nyumba zao za milele ni jambo jema.
 
ukiondoa ajali mbalimbali,polisi tanzania wanaongoza kuua binadamu,kisha magonjwa!msiba ni wetu sote except wanaccm!
 
Back
Top Bottom