Kifo cha mwandishi wa Channel Ten: Kauli za Polisi na mwitikio wa Wanahabari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kifo cha mwandishi wa Channel Ten: Kauli za Polisi na mwitikio wa Wanahabari

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Neiwa, Sep 3, 2012.

 1. Neiwa

  Neiwa JF-Expert Member

  #1
  Sep 3, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 730
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Kulikuwa na kipindi asubuhi hii kinaongelea kama Kifo cha mwandishi huyu ni cha bahati mbaya au kimepangwa.

  Hicho kipindi kiliwekwa katika vipengele, pia nipo kukitazama na nilikuta Mkuu wa Polisi akizungumzia kifo na vurugu hizo huku akisisitiza kuwa vyama vya Siasa vifuate taratibu zilizowekwa ili kuepusha vurugu, kwa mtazamo wangu ni dhahiri kuwa hizo lawama kuhusu kifo cha marehemu wanawatupia CDM.

  Muasisi wa kipindi hicho cha Channel Ten cha Baragumu ambaye kwa sasa ni mfanyakazi wa Vodacom, kamzunguzia wasifu wa marehemu David Mwambosi kwa upana akisisitiza alivo mchapa kazi na jinsi alivokuwa akipenda kwazi na kufanya hio kazi kwa staili yake ya pekee.

  Wakati wowote ataongea kiongozi wa CDM (Afisa habari) ambae hadi wakati huu inaonesha kwa bahati mbaya sana kapigiwa simu na hayupo hewani. Nia ya mtangazaji ni swali kwa wana CDM kama ilikuwa maandamano ama kufunguliwa kwa tawi na nini neno lao kuhusu tukio.

  Wananchi mbali mbali wamepiga simu kutoa maoni... Ni wazi kuwa wote wanalaumu Jeshi la polisi.
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Sep 3, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Kwa faida ya watu ambao hawapo majumbani ebu tiririka tupe muktasari kwa jinsi inavyoona.
   
 3. Asterisk

  Asterisk JF-Expert Member

  #3
  Sep 3, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 215
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Namwona mwongoza kipindi amemind sana, anasema nia si kulishutumu jeshi la police lakin indirectly naona wanalishutumu jeshi la police,

  Mungu awalaani hhao police walio muua, ni wazi kuwa ni wao police waliomuua.
   
 4. dedam

  dedam JF-Expert Member

  #4
  Sep 3, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 846
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  picha za gazet la mwananchi zinawaumbua polisi. tatizo la viongozi wetu hawapitii mitandao ya kijamii
   
 5. t

  thatha JF-Expert Member

  #5
  Sep 3, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Mbona anahususha CCM na maandamano? kwa nini asiongelee tukio lililotokea na hasa Polisi na Chadema.
   
 6. Neiwa

  Neiwa JF-Expert Member

  #6
  Sep 3, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 730
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Tumaini Makene yupo hewani sasa akizungumzia hio habari.
   
 7. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #7
  Sep 3, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,823
  Likes Received: 10,120
  Trophy Points: 280
  rekebisha heading basi maana umeandika startv content ukaandika chanel ten
   
 8. t

  tenende JF-Expert Member

  #8
  Sep 3, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 6,560
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mnajadili kama vile wote tumeona na kusikia. Hapa giza tupu!.
   
 9. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #9
  Sep 3, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,249
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  Mwongoza kipindi iki lzm yuko njia panda, nasikia wamiliki wake ni maswaiba wakuu wa magamba na uwa wanajitaid kuilinda ccm pale inapofanya vibaya
   
 10. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #10
  Sep 3, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,695
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Mambo mengine ni sawa na kukuta kinyesi cha tembo na kutaka kumsingizia panya. Chadema wamekosa nini katika hili?? Hata kama watu wamefanya makosa, je taratibu za polisi zinaruhusu kuua mtu ambaye hana silaha wala hafanyi fujo zozote?? Hapa polisi huu mzigo waubebe, kuwasingizia Chadema sio sawa. Hata kama walifanya mkutano bila kibali bado sio justification ya kuua mtu bila sababu.
   
 11. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #11
  Sep 3, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Police wengi wanavuta bangi, unategemea nini kuhusu usalama wa raia? Jeshi la police limejaa wavuta bangi!

  Ni polisi wachache sana wanaofanya kazi kwa kufuata maadili ya kazi yao, wengi utawaona walivyo na hasira na raia hata kama mtu hana kosa/hatia yeyote.

  Pamoja na hayo, kulikuwa na fujo gani hadi kuamua kutumia nguvu kiasi hicho? Tufike mahali tuanze kuhoji matumizi ya siraha kama mabomu ni nani anagharamia? Tufahamu nani ni nani, amefikaje hapo alipo?
   
 12. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #12
  Sep 3, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Sio siri anaongea kwa uchungu sana......yaani angekuwa na uwezo sijui angefanya nini!
   
 13. Neiwa

  Neiwa JF-Expert Member

  #13
  Sep 3, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 730
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Tumaini Makene amekiri kuwepo katika eneo la tukio. Kazungumzia kwa kirefu sana jinsi hali ilivokuwa hapo jana wakati wa vurugu. Na pia imezungumziwa kuwa marehemu kabla ya kusambazwa kwa mwili wake kwa silaha iliomfumua utumbo wote kuwa nje alipigwa sana.

  Kuna mahala hadi kataja Maremu David aliomba msaada kwa jeshi la polisi huku akilalama kuwa anauwawa. Hii imenifanya nijiulize na kutaka kujua, hicho kipigo alichopata marehemu ilikuwa imesababishwa na Polisi mbele ya macho ya wanachi ama alichukuliwa kando?
   
 14. Neiwa

  Neiwa JF-Expert Member

  #14
  Sep 3, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 730
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Mtangazaji kajitahidi sana kutaka kuonesha hasira zake dhidi ya jeshi la polisi kwa kauli ya moja wa Viongozi wa Polisi kwa wananchi kuambiwa kuwa hawana nguvu dhidi ya jeshi la polisi. Amekuwa akiuliza mara kwa mara kuwa polisi wapo wangapi ukifananisha na idadi ya wananchi?

  Na pia kusisitiza viongozi wa polisi na hata wanasiasa kuwa makini kwa kauli wanazotoa.
   
 15. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #15
  Sep 3, 2012
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Ipo Star TV kweli? Mbona sioni hapa online? Au ni Channel 10? Radio Free Africa Tanzania*|* STARTV LIVE
   
 16. Neiwa

  Neiwa JF-Expert Member

  #16
  Sep 3, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 730
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45

  Invisible ipo channel Ten (ingawa kwa sasa kuna habari nyingine); ni wazi kuwa watairusha tena na kuendelea na mjadala hasa ukizingatia ni marehemu ni mtangazaji wa kituo hicho.
   
 17. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #17
  Sep 3, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. Jaffary

  Jaffary JF-Expert Member

  #18
  Sep 3, 2012
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 758
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 60
  Asubh njema ch10
   
 19. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #19
  Sep 3, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Mungu atulipe kulingana na matendo yetu
   
 20. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #20
  Sep 3, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  wameunda tume nyingine kuchunguza kifo? fu@#$!
   
Loading...