Mauaji na demokrasia tz | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mauaji na demokrasia tz

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by bainamugisha, Sep 4, 2012.

 1. b

  bainamugisha Member

  #1
  Sep 4, 2012
  Joined: Jun 16, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Eti niliona swali la kipima joto juzi ITV kwamba kuongezeka kwa mauaji katika mikutano ya vyama vya siasa ni kukua kwa demokrasia nchini???
  Kweli jamani mtu anayetengeneza au kuhariri mada hizi ana uwezo wa kufikiria???ushauri wangu wachunguze mada zao kabla hazijaluka hewani
   
Loading...