Sijueni sababu nyingine zilizonifanya niunge mkono harakati za m4c. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sijueni sababu nyingine zilizonifanya niunge mkono harakati za m4c.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kiwera Mikaeli, Sep 4, 2012.

 1. K

  Kiwera Mikaeli Senior Member

  #1
  Sep 4, 2012
  Joined: Aug 11, 2012
  Messages: 121
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  ONLY IN TANZANIA - Ni Aibu, tuondoe aibu hii sasa.
  Yapo Maajabu mengi sana...Ila maajabu haya ni moja ya mambo yaliyonisukuma na kuona kuna haja ya mimi, familia yangu, ukoo wangu na marafiki zangu Kuona wakati umefika wa Kukiweka Chama Kilichotufikisha mahali hapa.


  1. Mmoja wa Majaji Walioteuliwa kwa Mujibu wa Tundu Lissu Kumbe ndo kwanza anasoma shahada so darasani nae anasoma"What is Law of Torts" then anapata SUP...U can Only find in TZ....afu mwalimu wake ni advocate inakuwaje akimpelekea kesi Jaji wa aina hiyo??
  2. Serikali Makini ambayo sio dhaifu ina Watumishi Hewa 9,949 wanaopata Mshahara ambao Jumla ya hela inayopotea ni kama Bil 70 ambazo zingetumika kulipa Madaktari na walimu, lakini Serikali inasema haina hela, hawana hela ya kulipa walimu na Madaktari ila wanazo za Watumishi hewa...Only u can find in TZ.
  3. Serikali Ya Uingereza Ilirudisha Chenji ya RADA, Serikali ikasema hela inapeleka Kununulia Vitabu kwa Ajili ya Shule Nchi nzima, Kumbe Kampuni iliyopewa tenda ya Kusambaza Vitabu nchi nzima ilitoa rushwa ya US$ 500,000 kupata tender Serikali ya Uingereza imeifungia miaka 7, You Can Only find in TZ.
  4. Wanafunzi Waliofaulu Darasa la Saba get me well waliofaulu darasa la 7 kwenda Sekondary Hawajui Kusoma wala Kuandika, Je waliofeli Watakuwa hawajui kufanya nini??...You Can Only Find In Tanzania
  5. Washiriki wa Michezo ya Kimataifa (sijataja Mchezo wala mashindano) wako watano (5) lakini wanaowasindikiza Washiriki wako 12. You can Only find in Tanzania......
  6. Sehemu Pekee ambaye Mtu uliyetaka Kumdhuru kwa Kukusumbua then unaomba Umlinde (refer to Dr. Ulimboka's Case)..Yaani Mbwa Mwitu anaomba kazi ya Kulinda Mbuzi......You Can Only find in Tanzania.
  7. Only in Tanzania serekali inaweza kabisa kulipisha watu ushuru wa sticker ya fire bila kuuliza kama una huomtungiwa kuzimia moto wala kukagua gari wala kukupa hiyo sticker Na wananchi wake wakakubali na kunyamaza tu.
  8. Only in Tanzania hata rais hajui ni kwanini raia wake ni masikini?

  Tuendelee kusubiri na kuongeza maajabu haya!
   
 2. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #2
  Sep 4, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Wivu wa kijinga
   
Loading...